Je, gari hii itaenda kuua soko la Kluger na Harrier Tanzania?

Je, gari hii itaenda kuua soko la Kluger na Harrier Tanzania?

Hii gari haijawahi kushuka bei,harrier unaweza kuziona mitandaoni baadhi ya watu wanaziuza kwa bei rahisi,lakini si kluger
Ukisikia item fulani haijafanya vizuri sokoni, moja ya sababu yaweza kuwa ni BEI. Na ndio sababu pia huoni zikiuzwa sana kama Harrier. Magari ya namna hiyo tunayaita NDOA YA KIKATOLIKI, ukilichoka hupati wa kukupokea
 
Kluger ya sasahivi haziendesheki na waoga wa kwenda sheli, mashine ni 3.5L V6 hii hapa, 2020 Toyota Highlander Platinum!
highlander-live-nyias-6_700.jpg
toyota_highlander_ny_19_4.jpg
 
Back
Top Bottom