mi_mdau
JF-Expert Member
- Oct 29, 2010
- 1,170
- 1,708
Spare zake sasa ha ha ha ni konyo na wese
Sidhani kama spare zitatofautiana sana na Subaru
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Spare zake sasa ha ha ha ni konyo na wese
Hivi wazee wa kukesha hawapo usiku.... Traffic?!Utam wake uwe na masafa ya mbali alafu gari liwe moya kidogo sisi tulitoka na breavs hapa dar hadi moshi masaa 5 kasori point ila usiku saa saba tulitoka dar
Wako kabuku pale ila tuliwapigia full mara mbili wenyewe wakatuambia nyooshaHivi wazee wa kukesha hawapo usiku.... Traffic?!
No brother, darksilver na maroon (damu ya mzee iliyikoza) hizo ndizo rangi asilia kwa hili gari.Hiyo Subaru ukiipata nyeusi mambo yanakua motoo
Unajua hii ni cross breed ya SUV na WAGON. Sababu iliyotangulia ilikuwa chini kabisa yaani ni almost kama hizi carina kwa kimo. Then hii wakaadopt looks za gari kama rav 4 but haijaifikia rav 4 kwa kimo i think.Hio gari nimeiendesha juzi tu. Ni ya best yangu plate DSF. Kiukweli ni gari ambayo nje ina muonekano wa kibabe ila ndani full plastics. Dashboard haivutii kabisa halafu pia kiti chake kiko chini sana. Kiukweli sikufeel kama niko ndani ya suv. Japo inaitwa SUV.
The next day niliendesha Suzuki Sport Grand Vitara V6 2.7ltr toka beforward DSM to Moshi. Aisee gari lina pulling kinoma yani. Linatembea balaa yani full kukata upepo. Halafu ndani liko very spacious ukikaa unakuwa juu juu yani una feel umekalia SUV kabisa. Naona Suzuki iko comfortable kuliko hio Subaru.
Yeah kile chuma sasa..... Mashine ya maana ile.Hakika mkuu, yani choice ni Suzuki Grand Vitara over Subaru anyday!
Wanaboa wale machoko. Kuharibu stimu tu za kudrive.... Mtu unataka uendeshe gari wao wanataka uende kwa limit ya speed yao.Wako kabuku pale ila tuliwapigia full mara mbili wenyewe wakatuambia nyoosha
Ana ndoto za kupata mojawapoWewe unamiliki gari ipi hapo mzee
Why mkuu?Forester za 2006 kurudi nyuma ndio subaru,hizo za 2007 kuja juu ni upuuzi tu(kwa mtizamo wangu lkn).
Hahahaaa wale wakikusimamisha kwwnye gari isishuke wee shusha kioo kidoogo waangalie alafu unawaambia "hali zenu poleni na kazi" wenyewe unasikia wanasema pita mkuu safari njema [emoji2][emoji2][emoji2] yaani wanajishtukiaga sanaWanaboa wale machoko. Kuharibu stimu tu za kudrive.... Mtu unataka uendeshe gari wao wanataka uende kwa limit ya speed yao.
Mkuu Subaru Forester zenye attention ukiifanyia mapping ni matoleo ya 2005 kushuka chini hapo ndipo utaisikia Boxer engine ikikohoa.Kwanzia 2009 ndo naona wametoka kwenye sport look na kuingia ushindan na kina rav4 .yan zimekuwa za kiutu uzima sana ila crossport ya 2008 ni kali sana ukiweka wa BOV yako map ya maana ni gari flan hivi unaeza chukua attention muda wowote
Nadhani design wao wana tabia za ki sports maana sports car nyingi unazama kwenye seat ila nilitabili bila kukosea naona Subaru imeanza kuwa hotUnajua hii ni cross breed ya SUV na WAGON. Sababu iliyotangulia ilikuwa chini kabisa yaani ni almost kama hizi carina kwa kimo. Then hii wakaadopt looks za gari kama rav 4 but haijaifikia rav 4 kwa kimo i think...
Kluger unamuuzia Nani 3000cc hakuna mtu anataka stress za mafuta na spea.Mtego wa panya huo, watu wanataka kuuza magari yao.