Je, gari hii itaenda kuua soko la Kluger na Harrier Tanzania?

Hii gari haijawahi kushuka bei,harrier unaweza kuziona mitandaoni baadhi ya watu wanaziuza kwa bei rahisi,lakini si kluger
Ukisikia item fulani haijafanya vizuri sokoni, moja ya sababu yaweza kuwa ni BEI. Na ndio sababu pia huoni zikiuzwa sana kama Harrier. Magari ya namna hiyo tunayaita NDOA YA KIKATOLIKI, ukilichoka hupati wa kukupokea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…