Teko Modise JF-Expert Member Joined May 20, 2017 Posts 2,331 Reaction score 7,733 Oct 15, 2022 #1 Vipi huko kanda ya ziwa hasa Chato, mkoani Geita ni eneo hatari sana? Inakuaje walinzi wa Rais Samia kusimama juu ya gari? Ndiyo wanawaogopa Sukuma Gang?
Vipi huko kanda ya ziwa hasa Chato, mkoani Geita ni eneo hatari sana? Inakuaje walinzi wa Rais Samia kusimama juu ya gari? Ndiyo wanawaogopa Sukuma Gang?
mjingamimi JF-Expert Member Joined Aug 3, 2015 Posts 42,209 Reaction score 51,004 Oct 15, 2022 #2 KIZAZI CHA KUHOJI
C Chiumbe JF-Expert Member Joined Jun 27, 2017 Posts 566 Reaction score 828 Oct 15, 2022 #3 Wenye elimu ya mambo ya usalama watu dadavulie vzr
Zanzibar-ASP JF-Expert Member Joined Nov 28, 2013 Posts 11,550 Reaction score 40,697 Oct 15, 2022 #4 Kwani wewe hujui hilo? Wasukuma wa Geita wanajua kile kitu alichofanyiwa mwendazake na lile genge, hivyo bado wana machungu.
Kwani wewe hujui hilo? Wasukuma wa Geita wanajua kile kitu alichofanyiwa mwendazake na lile genge, hivyo bado wana machungu.