johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Edit hapo juu futa hiyo mtumishi wa MUNGU Hana sifa hiyoKwa muda sasa pamekuwepo tetesi kwamba mbunge wa Arusha mjini mtumishi Godbless Lema ataachana na jimbo lake la sasa la Arusha mjini na kuhamia Hai.
Tetesi hizo zilishika kasi baada ya mbunge wa Hai mzee Mbowe kutia nia ya kugombea urais.
Hata hivyo ilisemekana pia Lema ana hali ngumu sana ya kisiasa jijini Arusha.
Nauliza tu Lema bado ana nia ya kuhama jimbo?
Maendeleo hayana vyama!
Sasa hivi wako kwenye heat wanajilengesha lengesha tu.Mbuzi jike wa lumumba bana
Wanataka dyudyu WANASURUFU.Sasa hivi wako kwenye heat wanajilengesha lengesha tu.
Ukiijua kamanda naomba uni tagNataka Kujua ID ya aliyetumbuliwa Arusha ilikuwa ni ipi JF bado nafanya utafiti.
Vurugu huwa zinaanzishwa na vyombo vya dola,kaa chini think straight ukiwa neutral boss.Au una ushetani shetani?Lema asipoteze muda wake bure.....afyte mkia arudi tu Moshi kijijin akalime mahindi.....tunataka maendeleo kwa sasa sio vurugu ambazo hazijengi chochote na kukosoa kila siku ukiamin wewe unajua sana kuliko wengne........jimbo wanachukua CCM na sio Arusha mjin tu bali ni majimbo yote Arusha....Chadema hawana jipya.
Lema asipoteze muda wake bure.....afyte mkia arudi tu Moshi kijijin akalime mahindi.....tunataka maendeleo kwa sasa sio vurugu ambazo hazijengi chochote na kukosoa kila siku ukiamin wewe unajua sana kuliko wengne........jimbo wanachukua CCM na sio Arusha mjin tu bali ni majimbo yote Arusha....Chadema hawana jipya.
Mafioso baba kwa hiyo Lema ashawahi Leta vurugu Arusha lini?Aliyetumbuliwa juzi na ngazi yote ya juu alikuwa ni Lema?kweli kuwa CCM inahitaji kuwa mpumbavu wa Hali ya juu.Lema asipoteze muda wake bure.....afyte mkia arudi tu Moshi kijijin akalime mahindi.....tunataka maendeleo kwa sasa sio vurugu ambazo hazijengi chochote na kukosoa kila siku ukiamin wewe unajua sana kuliko wengne........jimbo wanachukua CCM na sio Arusha mjin tu bali ni majimbo yote Arusha....Chadema hawana jipya.