Hili ndio jibu sahihi ule mpira hauku badilisha uelekeo ulipopigwa kichwa na beki kwa sababu hiyo lile goal ni la skudu.Nyie hata mpira wa ulaya hamuangalii? Matukio kama haya yanajitokeza kila siku ila goli anapewa mpigaji na sio beki aliyepelekea mpira ku deflect. Itakua own goal ikiwa mpira uliopigwa haukua unaelekea golini ila beki au mchezaji aliucheza ukabadilisha kabisa uelekeo wa mpira.
LakwakooEmbu tukumbuke sheria za mpira wa miguu zinasemaje kuhusu goli la kujifunga ili tujue kama mtu anayestahili kupewa credit ya goli la nne katika mechi ya jana ya Yanga vs Mtibwa ni Skudu au beki wa Mtibwa.
Skudu alipopiga mpira, kipa alianza kuruka kuufuata ule mpira ila kuna beki wa Mtibwa akaupiga kichwa na kuupeleka mpira juu zaidi ya eneo ambalo kipa alidhani mpira unaelekea matokeo yake akashindwa kuufikia. Ukiangalia vizuri utaona yule beki baada ya kujifunga alishika kichwa.
Hakuna mpira wa kichwa utapigwa usibadili uelekeo. Nilijua kuwa umemgonga mtu baada ya kuona umebadili uelekeo. Ule mpira haujamparaza yule beki, aliupiga kichwa kwa nia ya kuokoa.Hili ndio jibu sahihi ule mpira hauku badilisha uelekeo ulipopigwa kichwa na beki kwa sababu hiyo lile goal ni la skudu.
Mtoa mada hua namuona anajua mpira kumbe mtupu tu.
Weka clip wengine tulikatiwa umeme lilipoingia goli la 3Skudu alipopiga mpira, kipa alianza kuruka kuufuata ule mpira ila kuna beki wa Mtibwa akaupiga kichwa na kuupeleka mpira juu zaidi ya eneo ambalo kipa alidhani mpira unaelekea matokeo yake akashindwa kuufikia. Ukiangalia vizuri utaona yule beki baada ya kujifunga alishika kichwa.
Link tafadhaliIngia mjini youtube
Kama nia yako ni kujifunza basi utajifunza na utaelewa kwa mifano kabisa.Hakuna mpira wa kichwa utapigwa usibadili uelekeo. Nilijua kuwa umemgonga mtu baada ya kuona umebadili uelekeo. Ule mpira haujamparaza yule beki, aliupiga kichwa kwa nia ya kuokoa.
Sasa hiyo Quora si ni kama JF tu kila mtu anatoa maoni yake, yaani ndiyo unatumia kama chanzo chako cha kuja kutunisha kifua. Nimeileta mada ili ijadiliwe na watu wa mpira na si suala la kishabiki au kuna mtu ameita wivu.Kama nia yako ni kujifunza basi utajifunza na utaelewa kwa mifano kabisa.
Huko juu watu wamekupa ufafanuzi lakini ni kama kawaida yako ya kujitia kichwa ngumu kuelewa. Mpira ukipigwa ukalenga goli (on target) goli anapewa aliyepiga ile shuti.
Hapa nimeweka link yenye maelezo ya kina na video za magoli kama mifano imewekwa pia kujua ni mazingira yapi anaandikwa aliyejifunga na yapi anaandikwa aliyepiga shuti.
1) How do we classify an own goal and a deflected goal?
2) Deflection vs Own Goal - How Is It Determined? (2023) - Football HandbookView attachment 2845537
Embu tukumbuke sheria za mpira wa miguu zinasemaje kuhusu goli la kujifunga ili tujue kama mtu anayestahili kupewa credit ya goli la nne katika mechi ya jana ya Yanga vs Mtibwa ni Skudu au beki wa Mtibwa.
Skudu alipopiga mpira, kipa alianza kuruka kuufuata ule mpira ila kuna beki wa Mtibwa akaupiga kichwa na kuupeleka mpira juu zaidi ya eneo ambalo kipa alidhani mpira unaelekea matokeo yake akashindwa kuufikia. Ukiangalia vizuri utaona yule beki baada ya kujifunga alishika kichwa.
Nimetoa link mbili lakini cha ajabu wewe umeona Quora tu na bado majibu yaliyotolewa unabishana nayo.Sasa hiyo Quora si ni kama JF tu kila mtu anatoa maoni yake, yaani ndiyo unatumia kama chanzo chako cha kuja kutunisha kifua. Nimeileta mada ili ijadiliwe na watu wa mpira na si suala la kishabiki au kuna mtu ameita wivu.
Unasema ikiwa on target basi haiwezi kuwa goli la kujifunga na mimi nikasema inaweza kuwa on target lakini kama mazingira yanaonyesha kwa kugongwa mpira unazuia mtu mwingine mfano golikipa asiweze kuuokoa kutokana na jinsi ambavyo alikuwa amejipanga kabla haujaguswa na mchezaji mwenzake hilo ni goli la kujifunga.
Ukitaka mifano, kwenye mechi ya fainali kombe la dunia 2018 Croatia vs Ufaransa alijifunga Mandzukic goli linalofanana kabisa na hilo la Mtibwa na lilikuwa on target.
Ukitaka mifano zaidi angalia hiyo hiyo kombe la dunia 2018, Tunisia vs Panama alilojifunga Yassin Meriah. Angalia Poland vs Senegal, goli alijifunga Cionek. Hizo zote mipira ilikuwa on target na credit ya magoli walipewa hao waliojifunga.
tafuta rede ushabikie, mpira haujui. Mechi ya Senegal vs Poland ule mpira ulikuwa ni off target ila beki ndiye aliyeubadilisha muelekeo na kwenda golini kwake hivyo hivyo ilivyo kwenye mechi ya France vs Crotia.Sasa hiyo Quora si ni kama JF tu kila mtu anatoa maoni yake, yaani ndiyo unatumia kama chanzo chako cha kuja kutunisha kifua. Nimeileta mada ili ijadiliwe na watu wa mpira na si suala la kishabiki au kuna mtu ameita wivu.
Unasema ikiwa on target basi haiwezi kuwa goli la kujifunga na mimi nikasema inaweza kuwa on target lakini kama mazingira yanaonyesha kwa kugongwa mpira unazuia mtu mwingine mfano golikipa asiweze kuuokoa kutokana na jinsi ambavyo alikuwa amejipanga kabla haujaguswa na mchezaji mwenzake hilo ni goli la kujifunga.
Ukitaka mifano, kwenye mechi ya fainali kombe la dunia 2018 Croatia vs Ufaransa alijifunga Mandzukic goli linalofanana kabisa na hilo la Mtibwa na lilikuwa on target.
Ukitaka mifano zaidi angalia hiyo hiyo kombe la dunia 2018, Tunisia vs Panama alilojifunga Yassin Meriah. Angalia Poland vs Senegal, goli alijifunga Cionek. Hizo zote mipira ilikuwa on target na credit ya magoli walipewa hao waliojifunga.
Mbona sasa hujasema sheria inasemaje? Nilitegemea kwa vile wewe una mashaka ungekuja na uchambuzi wa kutumia hoja za kisheria ili utuondolee mashaka sisi tunaosema ni goli la Mkudu Makudubela!Embu tukumbuke sheria za mpira wa miguu zinasemaje kuhusu goli la kujifunga ili tujue kama mtu anayestahili kupewa credit ya goli la nne katika mechi ya jana ya Yanga vs Mtibwa ni Skudu au beki wa Mtibwa.
Skudu alipopiga mpira, kipa alianza kuruka kuufuata ule mpira ila kuna beki wa Mtibwa akaupiga kichwa na kuupeleka mpira juu zaidi ya eneo ambalo kipa alidhani mpira unaelekea matokeo yake akashindwa kuufikia. Ukiangalia vizuri utaona yule beki baada ya kujifunga alishika kichwa.
Yeah, kwa kutumia akili za Mangungu au za Ahmed Ally uko sahihi kabisa mkuu!Ninachojua mimi kwa ufahamu wangu wa mambo ya mpira lile ni goli la kujifunga