Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nenda kaangalie goli la liver vs crystal palace la kusawazisha halafu uone nani kaandikwa mfungajiEmbu tukumbuke sheria za mpira wa miguu zinasemaje kuhusu goli la kujifunga ili tujue kama mtu anayestahili kupewa credit ya goli la nne katika mechi ya jana ya Yanga vs Mtibwa ni Skudu au beki wa Mtibwa.
Skudu alipopiga mpira, kipa alianza kuruka kuufuata ule mpira ila kuna beki wa Mtibwa akaupiga kichwa na kuupeleka mpira juu zaidi ya eneo ambalo kipa alidhani mpira unaelekea matokeo yake akashindwa kuufikia. Ukiangalia vizuri utaona yule beki baada ya kujifunga alishika kichwa.
Angalia goli hili katika fainali ya kombe la dunia 2018, Ufaransa vs Croatia. Goli hili linafanana sana na hili la Skudu na lilihesabika kama goli la kujifunga kwa mchezaji wa Croatia aliyeuparaza mpira kwa kichwa.
View attachment 2846487
Mmeangalia goli la liver vs crystal palace?Kama mpira haukubadili direction yake goli ni la skudu ila kama ungeenda direction nyingine lingekua own goal
Hili ni jibu zuri kwa wale waliokuwa wanasema mpira usipobadili uelekeo ni la kujifunga, hili limebadili uelekeo. Lile shuti la Mo Salah limebadili uelekeo na pia lisingemgonga mchezaji mwingine ule mpira ulikuwa unaenda nje ila bado amepewa Mo Salah.Nenda kaangalie goli la liver vs crystal palace la kusawazisha halafu uone nani kaandikwa mfungaji