Uchaguzi 2020 Je, Gwajima anaandaliwa kuchukua nafasi ya Mch. Getrude Rwakatare (RIP mama)?

Ndiyo hali ilivyo kwa sasa
IMG-20200821-WA0005.jpg
 
Unajua ni kwanini Kanisa katoliki lilimvua kanzu padre aliyetia nia!? Siasa na dini ni vitu viwili tofauti kabisa
Hujui......Hapo Kawe hatuchagui malaika ndugu!!....Sijui......Kama ni kweli myasemayo, mbona alipokuwa hapo...., upuuzi huo hatukusikia? Mungu mwenyewe anapingwa na watu hata wengine hudiliki kupinga uumbaji wake! Pamoja na yote hayo Mungu hakuacha kuonyesha upendo wake ndiyo maana; jua, mvua, hewa, vinapatikana kwa wema na wabaya. Sioni kama wana Kawe wanataka kuongozwa na malaika! Mtasubiri sanaaa!?
Screenshot_20200724-175445.jpg
 
Mara kadha nimeshawahi kuuliza kama ni nani anaihujumu CCM na kwanini anafanya hivyo. Nimeandika na mada pia kulihusu hili
Matokeo ya teuzi za ubunge yametoka, hayakuangalia kigezo cha aliyepata kura nyingi za wajumbe na kushika number moja. Hili majibu pekee yana CCM huko kwenye Kamati Kuu.

Tunatambua wote hali ilivyokuwa kwenye mchuano wa wana CCM Kawe; watia nia walikuwa si chini ya 176. Mshindi hakutarajiwa na wengi lakini ndio lilikuwa chaguo la wajumbe.

Serikali yetu haina dini lakini bungeni alipenyezwa mama Getrude Lwakatare aliyekuwa na Kanisa rasmi la Mlima wa Moto. Mama huyu hayupo tena duniani na pengine bado CCM inamhitaji mchungaji mwingine bungeni.

Je, katika wagombea wote 176 CCM wameona Gwajima ndio anafaa? Hivi hata kwa usafi na weledi wa kiroho na kimwili huyu mtu ni chaguo sahihi kweli? Hasa kwa jimbo kama la Kawe!?

Ni Gwajima huyu aliyeshikwa uongo wa kumfufua mwanafunzi wa shule ya msingi Kurasini
Ni Gwajima huyu aliyekamatwa na uongo wa kufufua misukule
Ni Gwajima huyu aliyemtukana kiongozi wa kiroho wa Kanisa Katoliki Tanzania Mhashamu Polycap Pengo
Ni Gwajima huyu aliyeshikwa ugoni na wake za watu ama waumini wake
Ni Gwajima huyu mwenye tuhuma za ngono kila kona
Ni Gwajima huyu aliyetaka kuwatoroka polisi akijifanya mgonjwa wakati alipokuwa anakabiliwa na kesi fulani..begi lake lilikutwa na silaha mbili za moto na risasi zake
Ni Gwajima huyu mwenye kashfa na mwenye misuguano na watu wa kila aina

Kuna baadhi wanasema kapita kwa sababu ya kabila, hii ni dhana lakini inaweza kuwa potofu.

Kuna wanaosema kapita kwakuwa ana waumini wengi sana. Hii ni dhana dhaifu sana kwakuwa hao waumini wake wanatoka sehemu mbalimbali, si wakazi wa Kawe wote. Dhana moja halisi ni moja au mbili:

1. Gwajima ni bilionea kwa viwango vyetu, lakini je ubilionea wake ni sadaka tu? Hana mishe nyingine nyuma ya uchungaji!? Tunafahamu kwa ukubwa wa chama kama CCM ni vigumu mno kuwakwepa wafadhili. Je, Gwajima ni mmojawapo?

2. Gwajima ni sehemu ya mamlaka!? Hili tuliache kama lilivyo.

Vyovyote iwavyo, Gwajima sio chaguo sahihi la mgombea wa kisiasa:

Alishasema wazi kuwa mbunge ni kujishusha kwakuwa yeye ni mtumishi wa Mungu, koleo number 1. Alishawatukania Wakatoliki kiongozi wao, koleo number 2. Hawezi kupata kura za waumini wengine na wa imani nyingine kwakuwa si mwanasiasa ni kiongozi wa dini tena binafsI, koleo number 3.

Hawezi kupata kura zote za waumini wake, wote si wakazi wa Kawe wana kwao na hao wana itikadi tofauti na wana viongozi wao wa kisiasa wanaowakubali, koleo number 4.

Kuna wapinzani wake ndani ya CCM ambao hawajaridhika na uteuzi wake, koleo number 5

Sasa kwanini katika watia nia 176 kachukuliwa yeye!? Je, ni nguvu ya Shekeli!? Muda utasema.

RIP Mchungaji Dr. MB Getrude Lwakatare. Mlima wa Moto umeondoka nao!
si bora hata wangempitisha Pascal Mayalla nae si ni ngosha. Gwajima atangukia pua asubuhi na mapema yaani CCM wamefanya mistake ambayo hawatokuja kuisahau kwenye jimbo la Kawe kuliko kipindi chote.
 
Hujui......Hapo Kawe hatuchagui malaika ndugu!!....Sijui......Kama ni kweli myasemayo, mbona alipokuwa hapo...., upuuzi huo hatukusikia? Mungu mwenyewe anapingwa na watu hata wengine hudiliki kupinga uumbaji wake! Pamoja na yote hayo Mungu hakuacha kuonyesha upendo wake ndiyo maana; jua, mvua, hewa, vinapatikana kwa wema na wabaya. Sioni kama wana Kawe wanataka kuongozwa na malaika! Mtasubiri sanaaa!? View attachment 1544549
Kwani hapo alikuwa mgombea???
 
Mbona gwaji boy asubuh sana mjengoni
Kimaadili hafai kuwa kiongozi. Moja ya sifa ya kiongozi katika jamii ni lazima awe si mbaguzi wa wanajamii hiyo kwa misingi ya dini, kabila, jinsia, uchumi, elimu n.k. Huyu jamaa Gwajima alishatoa cd ya kisiasa kwa lugha ya Kisukuma na kugawa kule Sukumaland akimnadi mmoja wa watia nia ya Uraisi. Huyu jamaa anawatukana Watu wa dini isiyo yake kama Roman Catholic. Anasema ana ndoto ya kuufuta uislamu. Huyu si kiongozi hata kidogo. Tunataka mtu wa kuunganisha watu badala ya kutenga. Kashfa zake kibao zinaonyesha kuwa hana maadili hata ya kikristo. Hatuoni kuwa anafaa kuwa kiongozi, mtu ambaye si msafi kimaadili ya dini yake.
HALIMA TOSHA,!! Gwajima TOKA,!!
 
waliomchagua wanategemea atasaidia Helikopta zake kutafutia kura. nasiia ana ndege pia
Huyo Halima akishambwaga waliomchagua watamkimbia na litakuwa anguko lake la mwisho koleo No 10
Hawezi kupata kura za waumini wengine na wa imani nyingine kwakuwa si mwanasiasa ni kiongozi wa
dini tena binafsI, koleo number 3.
 
Mara kadha nimeshawahi kuuliza kama ni nani anaihujumu CCM na kwanini anafanya hivyo. Nimeandika na mada pia kulihusu hili
Matokeo ya teuzi za ubunge yametoka, hayakuangalia kigezo cha aliyepata kura nyingi za wajumbe na kushika number moja. Hili majibu pekee yana CCM huko kwenye Kamati Kuu.

Tunatambua wote hali ilivyokuwa kwenye mchuano wa wana CCM Kawe; watia nia walikuwa si chini ya 176. Mshindi hakutarajiwa na wengi lakini ndio lilikuwa chaguo la wajumbe.

Serikali yetu haina dini lakini bungeni alipenyezwa mama Getrude Lwakatare aliyekuwa na Kanisa rasmi la Mlima wa Moto. Mama huyu hayupo tena duniani na pengine bado CCM inamhitaji mchungaji mwingine bungeni.

Je, katika wagombea wote 176 CCM wameona Gwajima ndio anafaa? Hivi hata kwa usafi na weledi wa kiroho na kimwili huyu mtu ni chaguo sahihi kweli? Hasa kwa jimbo kama la Kawe!?

Ni Gwajima huyu aliyeshikwa uongo wa kumfufua mwanafunzi wa shule ya msingi Kurasini
Ni Gwajima huyu aliyekamatwa na uongo wa kufufua misukule
Ni Gwajima huyu aliyemtukana kiongozi wa kiroho wa Kanisa Katoliki Tanzania Mhashamu Polycap Pengo
Ni Gwajima huyu aliyeshikwa ugoni na wake za watu ama waumini wake
Ni Gwajima huyu mwenye tuhuma za ngono kila kona
Ni Gwajima huyu aliyetaka kuwatoroka polisi akijifanya mgonjwa wakati alipokuwa anakabiliwa na kesi fulani..begi lake lilikutwa na silaha mbili za moto na risasi zake
Ni Gwajima huyu mwenye kashfa na mwenye misuguano na watu wa kila aina

Kuna baadhi wanasema kapita kwa sababu ya kabila, hii ni dhana lakini inaweza kuwa potofu.

Kuna wanaosema kapita kwakuwa ana waumini wengi sana. Hii ni dhana dhaifu sana kwakuwa hao waumini wake wanatoka sehemu mbalimbali, si wakazi wa Kawe wote. Dhana moja halisi ni moja au mbili:

1. Gwajima ni bilionea kwa viwango vyetu, lakini je ubilionea wake ni sadaka tu? Hana mishe nyingine nyuma ya uchungaji!? Tunafahamu kwa ukubwa wa chama kama CCM ni vigumu mno kuwakwepa wafadhili. Je, Gwajima ni mmojawapo?

2. Gwajima ni sehemu ya mamlaka!? Hili tuliache kama lilivyo.

Vyovyote iwavyo, Gwajima sio chaguo sahihi la mgombea wa kisiasa:

Alishasema wazi kuwa mbunge ni kujishusha kwakuwa yeye ni mtumishi wa Mungu, koleo number 1. Alishawatukania Wakatoliki kiongozi wao, koleo number 2. Hawezi kupata kura za waumini wengine na wa imani nyingine kwakuwa si mwanasiasa ni kiongozi wa dini tena binafsI, koleo number 3.

Hawezi kupata kura zote za waumini wake, wote si wakazi wa Kawe wana kwao na hao wana itikadi tofauti na wana viongozi wao wa kisiasa wanaowakubali, koleo number 4.

Kuna wapinzani wake ndani ya CCM ambao hawajaridhika na uteuzi wake, koleo number 5

Sasa kwanini katika watia nia 176 kachukuliwa yeye!? Je, ni nguvu ya Shekeli!? Muda utasema.

RIP Mchungaji Dr. MB Getrude Lwakatare. Mlima wa Moto umeondoka nao!

Duh...!.
Japo siungi mkono kauli hizi za Gwajima kumtukana Pengo, ila
Wanabodi, kwenye siasa, hakuna rafiki wa kudumu, wala adui wa kudumu, kuna just common interest.
Japo katika bandiko hili, nilitofautiana na Gwajima, lakini kufuatia kwa sasa ni mimi ni kada, na mgombea aliyepitishwa na chama chetu kwa jimbo la Kawe ni Gwajima, naomba kudeclare kuwa sasa namuunga mkono Gwajima 100% kwa 100% nikalikomboe jimbo, tulirejeshe CCM!.
Mimi na Gwaji Boy...dam dam!.
P
 
Ni vizuri kuwa muwazi na mkweli...kwa hili P umefanya jambo zuri mno
 
Back
Top Bottom