Uchaguzi 2020 Je, Gwajima anaandaliwa kuchukua nafasi ya Mch. Getrude Rwakatare (RIP mama)?

Unajua ni kwanini Kanisa katoliki lilimvua kanzu padre aliyetia nia!? Siasa na dini ni vitu viwili tofauti kabisa
Hilo ni kanisa katoliki. Kila kanisa na msimamo wake. Mbona unataka kutufokea ? Nani kakwambia kwamba wakristo wote hapa Tanzania ni wakatoliki?
 
Gwajima ndio mbunge wa Kawe hadi 2025 hutaki kajinyonge.
Unapokurupuka usingizini usikimbilie kushika simu...tulia kwanza fanya ibada...Mshukuru Mungu kwa kukuamsha salama...kisha perusi sasa JF ..ukiona mada inayofaa kuchangia isome kwa makini ielewe kisha ndio uchangie..kwa njia hiyo utajenga afya ya akili yako
 
Hilo ni kanisa katoliki. Kila kanisa na msimamo wake. Mbona unataka kutufokea ? Nani kakwambia kwamba wakristo wote hapa Tanzania ni wakatoliki?
Unapokurupuka usingizini usikimbilie kushika simu...tulia kwanza fanya ibada...Mshukuru Mungu kwa kukuamsha salama...kisha perusi sasa JF ..ukiona mada inayofaa kuchangia isome kwa makini ielewe kisha ndio uchangie..kwa njia hiyo utajenga afya ya akili yako
 
Unapoteza muda tu kwa kampeni uchwara
Watumishi wa umma mateso ya miaka 5 ya hakuna increments, kupanda vyeo (walimu),ongezeko la mshahara,kutolipwa malimbikizo yenu n.k iwe ni fundisho na akili zenu kuikataa ccm kwa nguvu zote.Familia zenu ziikatae ccm.

Msiwapigie kura ya urais,wabunge wala madiwani.Ndiyo wadhalilishaji wenu
 
Mbona hujatoa makando makando ya Halima Mdee ambayo yamekuwa yakihit sana ? Au kwa sababu ni mpare mwenzio ? Sisi wana kawe hatudanganyiki.
Mmh umetoa mfano ambao sio Hai...Mada yangu ilihusu makandokando mengi ya Gwajima yale ambayo yalihit sana naomba niambie moja tu nililomsingizia tafadhali
 
Mbona hujatoa makando makando ya Halima Mdee ambayo yamekuwa yakihit sana ? Au kwa sababu ni mpare mwenzio ? Sisi wana kawe hatudanganyiki.
Bado nakusisitiza Unapokurupuka usingizini usikimbilie kushika simu...tulia kwanza fanya ibada...Mshukuru Mungu kwa kukuamsha salama...kisha perusi sasa JF ..ukiona mada inayofaa kuchangia isome kwa makini ielewe kisha ndio uchangie..kwa njia hiyo utajenga afya ya akili yako
 
Kwani papa ni Mungu. We vipi mbona ni binadamu tu ambaye naye anapambana na hali yake ili siku moja akakubaliwe na Mungu
Cardinal huyu anahusika kimchagua Papa ni kiongozi mzito kweli kweli sasa anapotokea mtumishi mwingine wa dhehebu tofauti kumdhihaki Cardinal Pengo eti amekula maharage ya wapi sijui nini kwa kweli siwezi kumpatia kura yangu.

Chama kinachoweza kutuletea mgombea wa kiwango cha Gwajima maana yake kimetudharau Wakatoliki wote Tanzania na Duniani.

Chama kinachoweza kutuletea mgombea wa kiwango cha Gwajima maana yake kimewadharau WaIslam wote Tanzania na kimeona ni sawa misikiti na madrasa yote ya Kawe igeuzwe Sunday School.
 
Usinifundishe ibada kama ambavyo mimi siwezi kukufundisha kuwanga, maana ndio maisha yangu halisi ya kumwabudu Mungu Muumba mbingu na nchi kama wewe ulivyozoea kuleta hoja za kuwanga. Nadhani umenielewa.
Unapokurupuka usingizini usikimbilie kushika simu...tulia kwanza fanya ibada...Mshukuru Mungu kwa kukuamsha salama...kisha perusi sasa JF ..ukiona mada inayofaa kuchangia isome kwa makini ielewe kisha ndio uchangie..kwa njia hiyo utajenga afya ya akili yako
 
Usinifundishe ibada kama ambavyo mimi siwezi kukufundisha kuwanga, maana ndio maisha yangu halisi ya kumwabudu Mungu Muumba mbingu na nchi kama wewe ulivyozoea kuleta hoja za kuwanga. Nadhani umenielewa.
Ni ushauri uchukue utakufaa sana kwa afya yako ya akili na kuna siku utanikumbuka
 
Koleo la tano;-

Shabaha yake ya kugeuza misikiti & madrasa kuwa makanisa na Sunday schools.

Kwa hapo tu ameshakosa kura zetu ma 'Alwatan'

Mohamed Said karibu utie neno hapa Maalim wangu

ETI KUNA VIDEO YA GWAJIMA AKILA BOGA LA KONDOO WAKE , KANISANI KWAKE ??? NI KWELI HII HABARI ????

Hee wabunge wapya hawa ??? Dodoma kutakuwa na kazi
 
Mara kadha nimeshawahi kuuliza kama ni nani anaihujumu CCM na kwanini anafanya hivyo. Nimeandika na mada pia kulihusu hili
Matokeo ya teuzi za ubunge yametoka, hayakuangalia kigezo cha aliyepata kura nyingi za wajumbe na kushika number moja. Hili majibu pekee yana CCM huko kwenye Kamati Kuu.

Tunatambua wote hali ilivyokuwa kwenye mchuano wa wana CCM Kawe; watia nia walikuwa si chini ya 176. Mshindi hakutarajiwa na wengi lakini ndio lilikuwa chaguo la wajumbe.

Serikali yetu haina dini lakini bungeni alipenyezwa mama Getrude Lwakatare aliyekuwa na Kanisa rasmi la Mlima wa Moto. Mama huyu hayupo tena duniani na pengine bado CCM inamhitaji mchungaji mwingine bungeni.

Je, katika wagombea wote 176 CCM wameona Gwajima ndio anafaa? Hivi hata kwa usafi na weledi wa kiroho na kimwili huyu mtu ni chaguo sahihi kweli? Hasa kwa jimbo kama la Kawe!?

Ni Gwajima huyu aliyeshikwa uongo wa kumfufua mwanafunzi wa shule ya msingi Kurasini
Ni Gwajima huyu aliyekamatwa na uongo wa kufufua misukule
Ni Gwajima huyu aliyemtukana kiongozi wa kiroho wa Kanisa Katoliki Tanzania Mhashamu Polycap Pengo
Ni Gwajima huyu aliyeshikwa ugoni na wake za watu ama waumini wake
Ni Gwajima huyu mwenye tuhuma za ngono kila kona
Ni Gwajima huyu aliyetaka kuwatoroka polisi akijifanya mgonjwa wakati alipokuwa anakabiliwa na kesi fulani..begi lake lilikutwa na silaha mbili za moto na risasi zake
Ni Gwajima huyu mwenye kashfa na mwenye misuguano na watu wa kila aina

Kuna baadhi wanasema kapita kwa sababu ya kabila, hii ni dhana lakini inaweza kuwa potofu.

Kuna wanaosema kapita kwakuwa ana waumini wengi sana. Hii ni dhana dhaifu sana kwakuwa hao waumini wake wanatoka sehemu mbalimbali, si wakazi wa Kawe wote. Dhana moja halisi ni moja au mbili:

1. Gwajima ni bilionea kwa viwango vyetu, lakini je ubilionea wake ni sadaka tu? Hana mishe nyingine nyuma ya uchungaji!? Tunafahamu kwa ukubwa wa chama kama CCM ni vigumu mno kuwakwepa wafadhili. Je, Gwajima ni mmojawapo?

2. Gwajima ni sehemu ya mamlaka!? Hili tuliache kama lilivyo.

Vyovyote iwavyo, Gwajima sio chaguo sahihi la mgombea wa kisiasa:

. Alishasema wazi kuwa mbunge ni kujishusha kwakuwa yeye ni mtumishi wa Mungu, koleo number 1
. Alishawatukania Wakatoliki kiongozi wao, koleo number 2
. Hawezi kupata kura za waumini wengine na wa imani nyingine kwakuwa si mwanasiasa ni kiongozi wa dini tena binafsI, koleo number 3
. Hawezi kupata kura zote za waumini wake, wote si wakazi wa Kawe wana kwao na hao wana itikadi tofauti na wana viongozi wao wa kisiasa wanaowakubali, koleo number 4
. Kuna wapinzani wake ndani ya CCM ambao hawajaridhika na uteuzi wake, koleo number 5

Sasa kwanini katika watia nia 176 kachukuliwa yeye!? Je, ni nguvu ya Shekeli!? Muda utasema.

RIP Mchungaji Dr. MB Getrude Lwakatare. Mlima wa Moto umeondoka nao!
Gwaji boy ndo kiboko ya Halima Mdee, subirini atakavyoliwasha dudeeeeeee
 
Gwajima kama Mtanzania ana haki ya kushiriki kwenye harakati za kisiasa yaani kuchagua na kuchaguliwa kwenye nafasi yoyote ya Uongozi, muhimu ana sifa stahiki hivyo sioni tatizo hapo.
 
Porn star atamshinda nani labda ashinde njaa
 
Back
Top Bottom