Uchaguzi 2020 Je, Gwajima anaandaliwa kuchukua nafasi ya Mch. Getrude Rwakatare (RIP mama)?

This is a theological if not a biblical
test of his life to see if he can just ignore voice populi ( God's voice for that matter) and go ahead and be a CCM flag bearer for Kawe constituency.
The right to represent Kawe constituency through CCM for up coming general election has been robbed from elected member and instead he has been nominated to do just that. This means, the whole process was just a waste of time, declared null and void, and may leave a constancy in disarray in up coming general election.
Was he the most competent, I don't think so. As man of God, after he lost in the first leg, he was supposed to exclude or recuse himself from nomination process by the party committee as gesture of right and justice and leave the Czar' stuff for others to take care.
If there were any shortcomings in the process, they were supposed to be highlighted or put forward by the contestants themselves before voting starts in order to avoid complaints after in house election process.
Time will be the judge.
 
Hahaha hiyo nafasi ina nini hadi aandaliwe Gwajima?! Kuliombea Bunge?!
Kama anampenda, amateur tu.
 
Mshana Jr,

Napata Shida sana mkuu. Hukipendi chama hicho cha CCM. Lakini unapata muda wa kujiuliza maswali mengi. Hivi wabunge wa CHadema
Mnawafahamu. Mfano. Leo hao CCM wamemtoa gwajima, wewe ulipaswa kuandika strong points za Halima Mdee.
Mmh umetoa mfano ambao sio Hai...Mada yangu ilihusu makandokando mengi ya Gwajima yale ambayo yalihit sana naomba niambie moja tu nililomsingizia tafadhali
 
Gwajima
1. Tapeli kupitia kivuli cha dini(Fake pastor)
2. Mla wake za watu
3. Ana kibuli cha kulevya na sadaka za masikini
4. Mhubiri siasa badala ya kuhubiri neno la Mungu
5. ONGEZEA

6.Ndyo mbunge wako mpya huko kawe 2020-2025
 
Mara kadha nimeshawahi kuuliza kama ni nani anaihujumu CCM na kwanini anafanya hivyo. Nimeandika na mada pia kulihusu hili
Matokeo ya teuzi za ubunge yametoka, hayakuangalia kigezo cha aliyepata kura nyingi za wajumbe na kushika number moja. Hili majibu pekee yana CCM huko kwenye Kamati Kuu.

Tunatambua wote hali ilivyokuwa kwenye mchuano wa wana CCM Kawe; watia nia walikuwa si chini ya 176. Mshindi hakutarajiwa na wengi lakini ndio lilikuwa chaguo la wajumbe.

Serikali yetu haina dini lakini bungeni alipenyezwa mama Getrude Lwakatare aliyekuwa na Kanisa rasmi la Mlima wa Moto. Mama huyu hayupo tena duniani na pengine bado CCM inamhitaji mchungaji mwingine bungeni.

Je, katika wagombea wote 176 CCM wameona Gwajima ndio anafaa? Hivi hata kwa usafi na weledi wa kiroho na kimwili huyu mtu ni chaguo sahihi kweli? Hasa kwa jimbo kama la Kawe!?

Ni Gwajima huyu aliyeshikwa uongo wa kumfufua mwanafunzi wa shule ya msingi Kurasini
Ni Gwajima huyu aliyekamatwa na uongo wa kufufua misukule
Ni Gwajima huyu aliyemtukana kiongozi wa kiroho wa Kanisa Katoliki Tanzania Mhashamu Polycap Pengo
Ni Gwajima huyu aliyeshikwa ugoni na wake za watu ama waumini wake
Ni Gwajima huyu mwenye tuhuma za ngono kila kona
Ni Gwajima huyu aliyetaka kuwatoroka polisi akijifanya mgonjwa wakati alipokuwa anakabiliwa na kesi fulani..begi lake lilikutwa na silaha mbili za moto na risasi zake
Ni Gwajima huyu mwenye kashfa na mwenye misuguano na watu wa kila aina

Kuna baadhi wanasema kapita kwa sababu ya kabila, hii ni dhana lakini inaweza kuwa potofu.

Kuna wanaosema kapita kwakuwa ana waumini wengi sana. Hii ni dhana dhaifu sana kwakuwa hao waumini wake wanatoka sehemu mbalimbali, si wakazi wa Kawe wote. Dhana moja halisi ni moja au mbili:

1. Gwajima ni bilionea kwa viwango vyetu, lakini je ubilionea wake ni sadaka tu? Hana mishe nyingine nyuma ya uchungaji!? Tunafahamu kwa ukubwa wa chama kama CCM ni vigumu mno kuwakwepa wafadhili. Je, Gwajima ni mmojawapo?

2. Gwajima ni sehemu ya mamlaka!? Hili tuliache kama lilivyo.

Vyovyote iwavyo, Gwajima sio chaguo sahihi la mgombea wa kisiasa:

. Alishasema wazi kuwa mbunge ni kujishusha kwakuwa yeye ni mtumishi wa Mungu, koleo number 1
. Alishawatukania Wakatoliki kiongozi wao, koleo number 2
. Hawezi kupata kura za waumini wengine na wa imani nyingine kwakuwa si mwanasiasa ni kiongozi wa dini tena binafsI, koleo number 3
. Hawezi kupata kura zote za waumini wake, wote si wakazi wa Kawe wana kwao na hao wana itikadi tofauti na wana viongozi wao wa kisiasa wanaowakubali, koleo number 4
. Kuna wapinzani wake ndani ya CCM ambao hawajaridhika na uteuzi wake, koleo number 5

Sasa kwanini katika watia nia 176 kachukuliwa yeye!? Je, ni nguvu ya Shekeli!? Muda utasema.

RIP Mchungaji Dr. MB Getrude Lwakatare. Mlima wa Moto umeondoka nao!
Naona unampigia chapuo mpare mwenzako mdee
 
K

Koleo number 6 atageuza misikiti kuwa Sunday School
 
Mshana Jr, Mkuu Hakuna kiongozi mkuu wa Kanisa Katoliki Tanzania.

Yaani sikutegemea kukuta flaw kama hii kwenye thread ya Gwiji kama wewe

Cardinal huyu anahusika kimchagua Papa ni kiongozi mzito kweli kweli sasa anapotokea mtumishi mwingine wa dhehebu tofauti kumdhihaki Cardinal Pengo eti amekula maharage ya wapi sijui nini kwa kweli siwezi kumpatia kura yangu.

Chama kinachoweza kutuletea mgombea wa kiwango cha Gwajima maana yake kimetudharau Wakatoliki wote Tanzania na Duniani.

Chama kinachoweza kutuletea mgombea wa kiwango cha Gwajima maana yake kimewadharau WaIslam wote Tanzania na kimeona ni sawa misikiti na madrasa yote ya Kawe igeuzwe Sunday School.
 
Cardinal huyu anahusika kimchagua Papa ni kiongozi mzito kweli kweli sasa anapotokea mtumishi mwingine wa dhehebu tofauti kumdhihaki Cardinal Pengo eti amekula maharage ya wapi sijui nini kwa kweli siwezi kumpatia kura yangu.

Chama kinachoweza kutuletea mgombea wa kiwango cha Gwajima maana yake kimetudharau Wakatoliki wote Tanzania na Duniani.

Chama kinachoweza kutuletea mgombea wa kiwango cha Gwajima maana yake kimewadharau WaIslam wote Tanzania na kimeona ni sawa misikiti na madrasa yote ya Kawe igeuzwe Sunday School.
 
Gwajima
1. Tapeli kupitia kivuli cha dini(Fake pastor)
2. Mla wake za watu
3. Ana kibuli cha kulevya na sadaka za masikini
4. Mhubiri siasa badala ya kuhubiri neno la Mungu
5. ONGEZEA
6.Ndoto ya kugeuza Misikiti na Madrasa kuwa Makanisa.
7.Kuanzisha vikundi vya kikabila mithili ya interahamwe.......
 
Cardinal huyu anahusika kimchagua Papa ni kiongozi mzito kweli kweli sasa anapotokea mtumishi mwingine wa dhehebu tofauti kumdhihaki Cardinal Pengo eti amekula maharage ya wapi sijui nini kwa kweli siwezi kumpatia kura yangu.

Chama kinachoweza kutuletea mgombea wa kiwango cha Gwajima maana yake kimetudharau Wakatoliki wote Tanzania na Duniani.

Chama kinachoweza kutuletea mgombea wa kiwango cha Gwajima maana yake kimewadharau WaIslam wote Tanzania na kimeona ni sawa misikiti na madrasa yote ya Kawe igeuzwe Sunday School.
1. Mwenyekiti wa hicho chama cha gwajima, alishaasi kanisa katoliki kitambo sana, huwa anasali kwa kujikosha tu ila moyoni mwake halipo kabisaaaa.

Unategemea jiwe atakuwa na heshima yeyote kwa hilo kanisa ?

2. Maaskofu baadhi wa hilo hilo kanisa wamekuwa wanafki tu, jiwe anafanya mambo yake ya ajabu lakini hatuwaoni wakimkemea muumini wao zaidi ya kumsifia kwa mambo ya kipuuzi.

Unategemea Jiwe atawaheshimu watu anaojua amewaweka mfukoni ?
 
This is a theological if not a biblical
test of his life to see if he can just ignore voice populi ( God's voice for that matter) and go ahead and be a CCM flag bearer for Kawe constituency.
The right to represent Kawe constituency through CCM for up coming general election has been robbed from elected member and instead he has been nominated to do just that. This means, the whole process was just a waste of time, declared null and void, and may leave a constancy in disarray in up coming general election.
Was he the most competent, I don't think so. As man of God, after he lost in the first leg, he was supposed to exclude or recuse himself from nomination process by the party committee as gesture of right and justice and leave the Czar' stuff for others to take care.
If there were any shortcomings in the process, they were supposed to be highlighted or put forward by the contestants themselves before voting starts in order to avoid complaints after in house election process.
Time will be the judge.

[https://www]

31/3/2015

Gwajima: Niliagiza bastola hospitali kujilinda

>Utata umeibuka kuhusu bastola waliyodaiwa kukamatwa nayo wafuasi wa Kiongozi wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Askofu Josephat Gwajima baada ya kiongozi huyo kusema anaimiliki kihalali kinyume na maelezo ya polisi.

[https://www]

Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda (kushoto) akizungumza na Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima alipokwenda kumjulia hali katika Hospitali ya TMJ, Dar es Salaam jana. Na Mpigapicha Maalumu

Kwa ufupi

Asema ni mali yake halali, ashangaa wachungaji wake kukamatwa

Waandishi Wetu, Mwananchi

Dar es Salaam. Utata umeibuka kuhusu bastola waliyodaiwa kukamatwa nayo wafuasi wa Kiongozi wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Askofu Josephat Gwajima baada ya kiongozi huyo kusema anaimiliki kihalali kinyume na maelezo ya polisi.

Gwajima aliyetolewa kwenye chumba cha uangalizi maalumu cha Hospitali ya TMJ jana, amelitaka Jeshi la Polisi kurudisha bastola hiyo, akisema ni mali na aliiagiza ipelekwe hospitalini kwa sababu ya kujilinda.

Akizungumza na waandishi wa habari hospitalini hapo alipolazwa baada ya kuishiwa nguvu na kupoteza fahamu akiwa katika mahojiano na polisi, Gwajima alisema anashangaa kukamatwa kwa wachungaji wake waliokuwapo kwa ajili ya kumlinda.

Hata hivyo, katika kwa upande mwingine, Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Suleiman Kova alisema bunduki hiyo haina umiliki halali wa Gwajima wala wa wachungaji 15 waliokamatwa lakini baadaye jioni baada ya maelezo ya Gwajima, alitoa taarifa akisema bastola hiyo ni mali halali ya askofu huyo. Pia alisema kuhusu risasi 17 za bunduki aina ya Shortgun, Gwajima anamiliki bunduki ya aina hiyo lakini akasema uchunguzi kuhusu watu hao 15 unaendelea.

Kauli ya Gwajima

Akizungumza kwa shida akiwa amejishika tumbo, Gwajima alisema alipopata taarifa za uvumi kwenye mitandao ya kijamii kuwa amefariki dunia, aliagiza wachungaji waende hospitalini kwa ajili ya kumlinda, lakini wakaishia mikononi mwa polisi wakidaiwa kutaka kumtorosha.

Alisema alihofia kuwapo kwa watu wabaya ambao wangeweza kumdhuru halafu wakasingizia kitendo hicho kufanywa na polisi kwa kuwa alipata tatizo akiwa mikononi mwao.

“Usiku wasiwasi ulizidi, huku kila mmoja akiwa hafahamu kwa nini ujumbe wa namna ile unasambazwa kwenye mitandao, msambazaji ni nani, ana nia gani, nikaamua kuwaagiza waniletee silaha yangu iliyokuwa kwenye begi ili likitokea lolote niweze kujilinda,” alisema Gwajima.

Alisema alishangaa kukamatwa wachungaji wake na kuchukua silaha iliyokuwa ndani ya begi na hadi jana hakuwa ameulizwa chochote kuhusu umiliki wa silaha hiyo.

“Kabla sijazungumza na waandishi kueleza ukweli wa kinachodaiwa kuwa nilitaka kutoroshwa na wachungaji wangu, nilitaka kuzungumza na ZCO (Mkuu wa Upelelezi Kanda Maalumu), lakini hajaja, kadi ya ile silaha ninayo,” alisema Gwajima.

Alisema madai kuwa alitaka kutoroka ilihali polisi alikwenda mwenyewe akitokea Arusha baada ya kusoma katika vyombo vya habari kuwa anatafutwa.

Alifafanua kuwa hata alipofika polisi kwa ajili ya mahojiano hakuwa na shaka hata kidogo, lakini alishangaa kuona anaishiwa nguvu kila baada ya muda na alipoona kichwa kinamuuma, akawaomba wampeleke hospitali ili mambo mengine yafuate baadaye, kitu ambacho hakikufanyika kwa wakati.

Wasiwasi kwa polisi

Alisema alijaribu kuomba apelekwe hospitali mara kadhaa, lakini hakuna aliyekubaliana naye hadi alipopoteza fahamu na kupelekwa hospitali ya Polisi Kurasini.

“Hivi hata kama ni chombo cha usalama, nimepata matatizo nipo mikononi mwao, halafu nikubali kutibiwa katika hospitali yao, sikulitaka hilo na hata waliposema nikatibiwe Muhimbili pia sikutaka, ndiyo maana nilikuja hapa, sisemi moja kwa moja kama Polisi wanahusika lakini kuna vitu vinanitia shaka,” alisema Gwajima.

Alieleza kuwa anatilia shaka Jeshi la Polisi kutokana na kuwapo vitu vingi vinavyoashiria wana kitu kingine wanatafuta, kwani jana tulikuwa na hofu ya kuvamiwa, waliokuja kutuvamia ni wao, sikugombana na Pengo, nilikuwa namkemea kama kiongozi mwenzangu wa kiroho wao, wameligeuza ni kesi.

“Sijawahi kulitilia shaka Jeshi la Polisi lakini katika hili napata wasiwasi mwingi, sina ugomvi na Kardinali Pengo, nampenda, hajanilaumu, wala kunishtaki, nilikuwa namkemea katika masuala yetu ya mabaraza ya dini na siyo vinginevyo,” alisema Gwajima.

Gwajima pia alionyesha wasiwasi wake kwa kile kilichokuwa kinang’ang’aniwa na polisi kwenda kupekua nyumbani kwake kuwa hakikuwa kitu kizuri.

Kova alipinga

Wakati Gwajima akisema hayo, Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Suleiman Kova alisema bastola waliyokutwa nayo wafuasi wa Gwajima haimilikiwi kihalali.

“Tumegundua kuwa katika wale watu waliokuwa pale akiwamo Gwajima mwenyewe, (bastola) haikuwa katika umiliki wao halali, kwa hiyo hapa kuna kesi ya kupatikana na silaha bila kibali.”

Alizungumzia tuhuma kwamba polisi walimpekua mke wa Gwajima, Kova alisema hakuna polisi waliofika nyumbani kwake kufanya upekuzi wowote na kama wakitaka kufanya hivyo watafuata taratibu maalumu za upekuzi.

Akijibu swali kuhusu mahali Gwajima alipotakiwa kutoroshewa, Kova alisema uchunguzi huo bado unaendelea na utakapomalizika wahusika watafikishwa mahakamani.

Pia alipoulizwa kama Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo amemsamehe Gwajima, kwani polisi imng’ang’anie, Kova alisema; “amesema anamsamehe lakini haingilii mambo ya sheria.”

Kuhusu sababu za Gwajima kuzimia wakati akihojiwa, Kova alisema anayepaswa kuulizwa kwa nini alianguka wakati akihojiwa na polisi ni Gwajima mwenyewe.

“Siri za mahojiano huwa hazitolewi kabla ya ushahidi mahakamani, sababu ya kupata shock (mshtuko) atajua mwenyewe, kwa kuwa ukifanyiwa jambo ukafurahi au ukachukia wewe ndiyo unajua ilikuwaje, chochote kitakachotokea ukicheka, ukinuna, ukizimia, wewe ndiyo tukuulize ilikuwaje mpaka ukazimia kwa sababu hisia unazipata wewe,” alisema Kova.

Wakili wa Gwajima

Wakili wa Gwajima, John Mallya alisema wakati wa mahojiano, hawakutumia muda mrefu baina ya mteja wake na Polisi na kwa kuwa mahojiano hayo hayajakamilika, yataendelea baada ya kutoka hospitali.

“Muda mwingi waliutumia polisi kujiandaa, walidai kwamba walikuwa hawajajiandaa, hivyo kusema kwamba alihojiwa muda mrefu si sahihi.”

Akizungumzia waliotaka kumtorosha alisema: “Jana (Juzi) nilikwenda Oysterbay Polisi nikaambiwa wamehamishiwa Central (Kituo Kikuu) lakini sijapata taarifa za kina za tukio hilo.”

Alisema silaha iliyokamatwa hajaiona wala kuthibitisha kwamba ni ya mteja wake, hivyo ukweli wa tukio hilo ataueleza baada ya kupata taarifa za kina.

“Tuna mambo ya kujiuliza. Je, kipindi polisi wanakagua hilo begi kulikuwa na mtu gani asiyefungamana nao? Haya ni mambo ambayo yanahitaji ufafanuzi lakini kwa sasa nipeni muda nifuatilie,” alisema.

Makonda amtembelea

Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda ambaye alikuwa amemwandikia Gwajima barua akimwita ofisi kwake, jana mchana alimtembelea hospitalini hapo kwa ajili ya kumjulia hali kiongozi huyo lakini akasisitiza kuwa nia yake bado ipo palepale.

“Nilimtaka leo aripoti ofisini kwangu lakini kwa bahati mbaya anaugua na amelazwa. Nitakwenda kumuona ili nijue hali yake ikoje,” alisema Makonda kabla ya kufunga safari kwenda hospitali alikolazwa.

Alisema pia atataka kiongozi huyo wa kiroho amweleze anavyoelewa maana ya uhuru wa kuabudu unaoelezwa katika Katiba, usajili wa taasisi yake na katiba ya taasisi hiyo. “Mimi ni mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Wilaya ya Kinondoni. Niliagiza polisi wamkamate na baadaye wakimaliza kumhoji aje kwangu pia atahojiwa na jopo la watu 20,” alisema Makonda.

Viongozi wamiminika

Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), Profesa Ibrahim Lipumba jana alikuwa kiongozi wa pili wa kisiasa kufika hospitalini hapo kumjulia hali Gwajima, baada ya Katibu Mkuu wa Chadema, Dk Willibrod Slaa aliyefika kwa mara ya kwanza Jumamosi na kurudi tena jana.

Profesa Lipumba ambaye hivi karibuni pia aliishiwa nguvu wakati akihojiwa na polisi, alisema kitendo kinachofanywa na jeshi hilo cha kutumia nguvu kinatakiwa kukemewa kwa nguvu zote.

Akizungumza baada ya kumjulia hali Gwajima, alisema yeye ni miongoni mwa waliopatwa na hali hiyo akiwa mikononi mwa polisi kutokana na kuacha kuuliza suala husika na kutishatisha, kusumbua sumbua, kitu kinachomfanya anayehojiwa kujisikia vibaya na hata kupoteza fahamu.

Dk Slaa alisema kinachofanywa na polisi ni upotoshaji na hapingi wala haingilii kinachoendelea kati Gwajima na Pengo, bali analaani kitendo cha polisi kupotosha ukweli.

Dk Slaa alisema polisi wanapotosha ukweli kwa kuwaeleza wananchi kitu ambacho hakina ukweli kwa masilahi yao kama ambavyo wamekuwa wakiwafanyia viongozi wa siasa, akiwamo yeye.

Alisema kitendo kilichomkuta Gwajima hata yeye kiliwahi kumkuta alikamatwa na bastola aliyoisajili na kuilipia kila kitu, siku iliyofuata polisi wakamtuhumu kuwa ni jambazi anamilikia silaha isivyo halali.

“Mimi nasema waache wawapeleke mahakamani, ukweli utabainika,” alisema Slaa.

Maaskofu wahoji mambo manne

Wakati huohuo; maaskofu na wachungaji kutoka makanisa mbalimbali wametoa tamko wakihoji maswali matatu kuhusu tukio lililompata Askofu Gwajima.

Akitoa tamko hilo, Askofu wa Kanisa la Pentekoste Agizo Kuu, Dk Mgullu Kilimba alisema wanajiuliza ilikuwaje Gwajima aende akiwa mzima atoke akiwa mahututi?

“Tumeshindwa kuelewa nini kimempata mwenzetu huyu. Tunajiuliza je, vyombo vya usalama vimekuwa siyo sehemu salama kama zamani?” alihoji.

Kuhusu tuhuma za kutoroshwa kwa Gwajima, maaskofu hao wamehoji: “Kama alikuwa anaona ugumu wa kutoroka akiwa mwenye afya tele, itakuwaje rahisi kutoroshwa akiwa mahututi na kwenye ulinzi mkali wa polisi?”

Pia walihoji kuhusu mlalamikaji wa kesi dhidi ya Gwajima aliyetajwa kwa jina la Aboubakar, wakisema si mtu sahihi kwa sababu hawezi kuonyesha ameumizwa kiasi gani na matamshi ya Gwajima. Hata hivyo, Kova alisema hawamtambui mtu huyo wala hajui lolote kuhusiana na mlalamikaji huyo aliyetajwa.

Imeandikwa na Kalunde Jamal, Ibrahim Yamola, Julius Mathias na Goodluck Eliona
 
Gwajima ndio mbunge wa Kawe hadi 2025 hutaki kajinyonge.

Back
Top Bottom