Uchaguzi 2020 Je, Gwajima anaandaliwa kuchukua nafasi ya Mch. Getrude Rwakatare (RIP mama)?

Unajua ni kwanini Kanisa katoliki lilimvua kanzu padre aliyetia nia!? Siasa na dini ni vitu viwili tofauti kabisa
Hujui......Hapo Kawe hatuchagui malaika ndugu!!....Sijui......Kama ni kweli myasemayo, mbona alipokuwa hapo...., upuuzi huo hatukusikia? Mungu mwenyewe anapingwa na watu hata wengine hudiliki kupinga uumbaji wake! Pamoja na yote hayo Mungu hakuacha kuonyesha upendo wake ndiyo maana; jua, mvua, hewa, vinapatikana kwa wema na wabaya. Sioni kama wana Kawe wanataka kuongozwa na malaika! Mtasubiri sanaaa!?
 
si bora hata wangempitisha Pascal Mayalla nae si ni ngosha. Gwajima atangukia pua asubuhi na mapema yaani CCM wamefanya mistake ambayo hawatokuja kuisahau kwenye jimbo la Kawe kuliko kipindi chote.
 
Kwani hapo alikuwa mgombea???
 
Mbona gwaji boy asubuh sana mjengoni
Kimaadili hafai kuwa kiongozi. Moja ya sifa ya kiongozi katika jamii ni lazima awe si mbaguzi wa wanajamii hiyo kwa misingi ya dini, kabila, jinsia, uchumi, elimu n.k. Huyu jamaa Gwajima alishatoa cd ya kisiasa kwa lugha ya Kisukuma na kugawa kule Sukumaland akimnadi mmoja wa watia nia ya Uraisi. Huyu jamaa anawatukana Watu wa dini isiyo yake kama Roman Catholic. Anasema ana ndoto ya kuufuta uislamu. Huyu si kiongozi hata kidogo. Tunataka mtu wa kuunganisha watu badala ya kutenga. Kashfa zake kibao zinaonyesha kuwa hana maadili hata ya kikristo. Hatuoni kuwa anafaa kuwa kiongozi, mtu ambaye si msafi kimaadili ya dini yake.
HALIMA TOSHA,!! Gwajima TOKA,!!
 
waliomchagua wanategemea atasaidia Helikopta zake kutafutia kura. nasiia ana ndege pia
Huyo Halima akishambwaga waliomchagua watamkimbia na litakuwa anguko lake la mwisho koleo No 10
Hawezi kupata kura za waumini wengine na wa imani nyingine kwakuwa si mwanasiasa ni kiongozi wa
dini tena binafsI, koleo number 3.
 
Duh...!.
Japo siungi mkono kauli hizi za Gwajima kumtukana Pengo, ila
Wanabodi, kwenye siasa, hakuna rafiki wa kudumu, wala adui wa kudumu, kuna just common interest.
Japo katika bandiko hili, nilitofautiana na Gwajima, lakini kufuatia kwa sasa ni mimi ni kada, na mgombea aliyepitishwa na chama chetu kwa jimbo la Kawe ni Gwajima, naomba kudeclare kuwa sasa namuunga mkono Gwajima 100% kwa 100% nikalikomboe jimbo, tulirejeshe CCM!.
Mimi na Gwaji Boy...dam dam!.
P
 
Ni vizuri kuwa muwazi na mkweli...kwa hili P umefanya jambo zuri mno
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…