Ndiyo muendelee kujitolea sasa msilalamike kwa kisingizio cha kupata ujuzi, huku wenzenu wanachuma pesa kisha wanaondoka.Mashirika ya serikali, taasisi, NGO, makampuni binafsi mengi sana yanayo watu wengi mno wa kujitolea. Mpaka hawa wawekezaji wanaokuja kuwekeza Tanzania na wenyewe wamesomba ma intern, volunteer wa kutosha.
Wengine hawakupi hata buku la maji.
Ni unyonyaji wa nguvu kazi unaoendekezwa na sekta binafsi kwa baraka ya serikali. Unakuta wanazungusha tu watu wakiwalipa peanut huku wahitimu wakiwa na matumaini kuajiriwa lakini wanahakikisha hawawaajiri.Siku hizi kumeibuka tabia ya mashirika na makampuni binafsi na ya serikali kupenda ma intern/volunteer/wa kujitolea kwa sana.
Je, ni jambo jema? Wengine hawalipwi kabisa, wengine wanalipwa kidogo. Pia wanatoa ahadi hewa za kukupa ujuzi au kukupa mkataba ambao hautaupata bila connection.
NB: Leo kuna mlevi mmoja aliropoka "Nyie mnaojitolea mkipata ajira au mkataba niiteni mbwa, nimekaa paleee."
Kabisa yaaniUpo sahihi mkuu. Maana unachoma nauli na kuingia gharama bure bila kufaidika lolote.
Kwanini lakini umesema weupe??!!!! Mbona mnatuonea sana?!Yaani wanakupa moyo balaa. Ukisepa tu hawakutafuti na inapita hata miaka mitano [emoji1787]. Halafu wiki inayofuata baada ya kumaliza internship unaona wanatangaza wanahitaji interns wengine.
NB: Kuna mashirika mengine intern wanaorudi ni wadada weupe wenye TAKO KUBWA ambao wapo tayari kugawa utamu
fresh graduates wao wenyewe wanapenda ku volunteer. wanapenda ile hali ya kuonekana kwenye corridors za jengo la taasisi/kampuni fulani huku wakijifariji kwa hisia za kujiona na wao ni sehemu ya waajirwa.Siku hizi kumeibuka tabia ya mashirika na makampuni binafsi na ya serikali kupenda ma intern/volunteer/wa kujitolea kwa sana.
Je, ni jambo jema? Wengine hawalipwi kabisa, wengine wanalipwa kidogo. Pia wanatoa ahadi hewa za kukupa ujuzi au kukupa mkataba ambao hautaupata bila connection.
NB: Leo kuna mlevi mmoja aliropoka "Nyie mnaojitolea mkipata ajira au mkataba niiteni mbwa, nimekaa paleee."
Duh!fresh graduates wao wenyewe wanapenda ku volunteer. wanapenda ile hali ya kuonekana kwenye corridors za jengo la taasisi/kampuni fulani huku wakijifariji kwa hisia za kujiona na wao ni sehemu ya waajirwa.
ktk taasisi niliyokuwa nafanyia kazi siku za nyuma, ilikuwa ni kawaida kukutana na vijana getini na bahasha zao za kaki, wakiulizia masuala ya internship au kufanya kazi kwa kujitolea(volunteering).
yaani hata uweeleweshe vipi, hawakuelewi. yupo mmoja aliwahi kuniambia yeye shida yake sio kuajiriwa bali aonekane tu anashinda maeneo yale ili apate exposure.
Tusamehe 🙏🏿Kwanini lakini umesema weupe??!!!! Mbona mnatuonea sana?!
Ofisi za private wanapenda kutengeneza pesa pasipo kutumia pesaHuu ujinga ni wa kukemewa kabisa
Unakuta mtu yupo Bank kubwa za binafsi
Anafanya interm mpk unajiuliza hii bank imeshindwa kumuajiri huyu
Unapiga intern sjui miaka miwili
Unavoluntia miaka mitatu, hivi miaka mitatu unavoluntia nn sasa? Upumbavu
Intern ni aina fulani ya kujifunzia ulichosoma kwa vitendo. Kuliko kukaa mtaani Bora intern
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]fresh graduates wao wenyewe wanapenda ku volunteer. wanapenda ile hali ya kuonekana kwenye corridors za jengo la taasisi/kampuni fulani huku wakijifariji kwa hisia za kujiona na wao ni sehemu ya waajirwa.