Uchaguzi 2020 Je, Halima Mdee amefanya nini Kawe kwa miaka 10 ya ubunge wake kustahili kuendelea? Sikia ya Askofu Gwajima, 28 Oktoba fanya uamuzi sahihi

Kuwakilisha watu wa Kawe. Wana Kawe hatutaki nuksi ya ambulace za utapeli wa sadaka za watu kudanganya kwamba Gwajima anafufua watu waliokufa. Gwajima ni mfanyabiashara mzuri wa dini lakini huwezi kusema utategemea kusaidia jimbo kwa pesa za sadaka ambazo hazina kodi. Wabunge kazi yao sio kufanya vitu! Ni kuwakilisha matatizo ya sehemu na Halima kawakilisha na kusema matatizo yote. Kawe inaonhoza kwa uwekezaji Tanzania sasa mlitaka afanye nini. Kawe hakuna umasikini wa kusaidiwa ambulace na kwanini hajasaidia huko nyuma! Gwajima kawekwa kwasababu ni kabila moja na Magu kila mtu anajua hilo angekuwa rais mwingine asingekuwa mgombea wa Kawe
 
Paskal, there is no way unaweza kujustify na kusema kwamba hili sio bandiko la ukada na propaganda za kampeni za CCM.

Wewe fanya mpango tu uingizwe kwenye team ya kampeni, zunguka nao majukwaani na mkishinda tena labda utakumbukwa kwa teuzi ya aina yoyote.
 
Hata ofisi zao wanashindwa kujenga na kila mwezi wanapata ruzuku ya milioni 300 sasa ulitaka kawe afanye nini zaidi ya kuongeza lipstiki.tulikuwa tunawachagua tu kwasababu hata ccm nao walikuwa wanalala tu bungeni.sasa ccm tuna kina bashe, Jafo, Doto biteko, Majaliwa kwanini tusiendelee kuwachagua .Ningekuwa iringa ningempa Msigwa anakosa hela tu na hata Mbeya Sugu yupo fiti ila kwa Arusha Lema ni kelele tu na fujo
 
Bravo Nimependa sana mtazamo wako. Hawa sasa ndo wanakawe
 
kuna wakazi ambao wanaishi pembezoni mwa Wazo kiwanda cha cement..... Hawa wakazi ni zaidi ya 5000, ilikuwa wafukuzwe na Serikali chini ya Tibaijuka..... Kama unavomjua halima akikomalia jambo, alilikamatia Hilo swala na akawa anaenda uko Chasimba kuwapa elimu wakazi wa uko n namna gani ya kujitetea..... hatimae wakazi takribani 5000 wakarasimishiwa... hivi ninakuandikia ni kwamba tu baada ya urasimishaji viwanja vikapanda bei chetu tukauza pesa nzuri na sasa tumevamia sehem ingine ila sio kawe tena
 
Mkuu je kuhusu Chadema kuwa tawi la kanisa je utawapigia kura, tegeta kwa ndevu kuna msikiti miaka mitano imepita zilipatikana documents zinazozinasibiisha Chadema kuwa ni sehem ya kanisa je hili unalionaje, na je unaijua hukmu ya kupiga kura kwa ww uislamu ipoje, all in all pande zote ni shirkibillah kama umeamua kwa gwaji boy basi usipige kokote coz kupiga itakuwa umefanya unafiki na unafiki ni mmbaya kuliko kuua.
 
Mzee tuelezane kwa fact basi, aliyekwambia mimi ntaipigia kura cdm ni nani?
 
wanaruka ruka tu makida makida na visketi vyao,swali halijibiwi story kibaoooo
Mkuu mimi si mkazi wa Kawe wala Dar, Pascal anayajua majukumu ya wabunge vizuri sana na hayo yote aliyotaja si miongoni mwa majukumu. Kama Gwajima alifanya hivyo basi alifanya kama mwananchi yeyote mwenye kipato na utu kwa wasionacho. Inashangaza sana kwa mkongwe Pascal kuja na hoja mfu kama hizi.
 
Hamkwenda na swal aliloulz p je kafanya nn. Kama hakuna mkaaee kimya bas kukaa kimya nako ni busara
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…