Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,857
- 121,995
- Thread starter
-
- #301
Mimi sikukatwa uchaguzi wa ndani, anayekatwa ni yule aliyeshinda kura za maoni, halafu vikao vya uteuzi vikalikata jina lake na kumchukua mshindi wa pili au watatu.Kwanza jibu hili
WEWE KWANINI ULIKATWA UCHAGUZI WA NDANI?
Wewe si kwamba tu hazikutosha walikuona haufai kabisa, mimi nakufahamu wewe tokea mwanza paschal si mtu sahihi kabisa. Kama unashabikia mtu kama gwajima aisee paschal nazidi kukuondolea nyota kabisa.Mimi sikukatwa uchaguzi wa ndani, anayekatwa ni yule aliyeshinda kura za maoni, halafu vikao vya uteuzi vikalikata jina lake na kumchukua mshindi wa pili au watatu.
Mimi kura hazikutosha.
P
Anamuunga mkono Gwajima ili aonekane alivunja kambi ya kampeni na kurejesha umoja utakaisaidia ushindi ili baadaye ahurumiwe apewe teuzi.Wewe si kwamba tu hazikutosha walikuona haufai kabisa, mimi nakufahamu wewe tokea mwanza paschal si mtu sahihi kabisa. Kama unashabikia mtu kama gwajima aisee paschal nazidi kukuondolea nyota kabisa.
Nani amteue wakati jiwe litapotelea majanini [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Anamuunga mkono Gwajima ili aonekane alivunja kambi ya kampeni na kurejesha umoja utakaisaidia ushindi ili baadaye ahurumiwe apewe teuzi.
Hilo hilo ndilo tumaini lakeNani amteue wakati jiwe litapotelea majanini [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
It's true wajumbe wana uhuru kamili wa mawazo yao, hivyo they are right kumuona mtu yoyote hafai, ila kuna uwezekano baadhi ya waliopitishwa, mimi nina afadhali!.Wewe si kwamba tu hazikutosha walikuona haufai kabisa, mimi nakufahamu wewe tokea mwanza paschal si mtu sahihi kabisa. Kama unashabikia mtu kama gwajima aisee paschal nazidi kukuondolea nyota kabisa.
Wala hakuna kitu usidanganywe na mtu anapokukenulia meno ukadhani anakupenda kura ni siri ya mtu, upepo ukivuma unakusanya kila taka taka ndicho kinachotokea kwa gwajima. Kawe si ya mchezo mchezo tuUkiacha ile kauli yake ya udini, naona Gwaji upepo kdg unaanza kumuendea vzr hii style ya kuzunguka mtaa kwa mtaa ,nyumba kwa nyumba inamuweka karibu na watu
Wanabodi,
Mimi ni mkazi wa Kawe, kwa vile sasa tuko kwenye kampeni za uchaguzi, ili tumtendee haki Mbunge wetu aliyemaliza muda wake, Mhe. Halima Mdee, ambaye, baada ya kuwa Mbunge wa Kawe kwa vipindi viwili mfululizo, na sasa anaomba tena tumchague, hivyo nauliza kama kuna mtu yoyote anaweza kutueleza humu, hata jambo moja tuu, Jee Mbunge wetu Mhe. Halima Mdee, amelifanyia nini jimbo la Kawe katika kipindi chake chote cha miaka 10?, ili tumfanyie assessment kama anastahili jee anastahili kuongezewa miaka mitano mingine, or she did nothing hivyo anastahili apumzishwe?
Declaration of Interest
Japo mimi Paskali Mayalla kwa sasa ni kada wa Chama Cha Mapinduzi, CCM, lakini bandiko hili sio la ukada au propaganda za kampeni za uchaguzi, bali ni bandiko hojaji ya halali na swali la ukweli la mwana Kawe, kuuliza Mhe. Halima Mdee ameifanyia nini Kawe in the past 10 years kustahili kuendelea?
Rais John Kennedy wa Marekani aliwahi kusema, " usijiulize Marekani imekufanyia nini, bali ujiulize, wewe utaifanyia nini Marekani". Mhe. Halima Mdee ndie Mbunge wetu Kawe kwa kipindi cha miaka 10, naomba kuuliza kwa anayejua, Jee Halima Mdee ameifanyia nini Kawe?.
Najua kuna watu watasema kazi ya kuleta maendeleo ni kazi ya serikali, kazi ya Mbunge ni kuisimamia serikali, tumekuwa tukishuhudia wabunge wa majimbo mengine wakipigamia majimbo yao Bungeni, Jee Mbunge wetu Mhe. Halima Mdee, aliwahi kupigania nini cha maendeleo ya Kawe?. Kama kuna anayejua humu, atuambie hata kitu kimoja tuu cha Kawe ambacho Halima Mdee alikipigania?.
Kuna zile fedha za Mfuko wa Jimbo. Jee kuna mwana Kawe yoyote, aliwahi kumshuhudia Mbunge wetu Mhe Halima Mdee akija eneo lolote la Kawe na kuchangia shughuli zozote za maendeleo kupitia fedha za mfuko wa Jimbo?.
By the way: Leo nilikuwa mahali nikamsikia Askofu Gwajima, kumbe huyu Askofu ni mdau mkubwa wa maendeleo ya watu wa Kawe kwa kipindi kirefu na ameisha fanya mambo makubwa kwa wana Kawe kama Mwananchi tuu wa kawaida bila hata kujua kuwa kuna siku atakuja kugombea ubunge wa Kawe.
Kumbe Askofu Gwajima baada ya kuhamia Kunduchi Salasala, alikuta kuna tatizo la maji. Na kufuatia eneo la Kunduchi ni eneo la pembezoni mwa bahari, ukichimba visima vifupi, utapata maji ya chumvi, Hivyo Askofu Gwajima kwanza alichimba visima virefu 12 vya mita 300 kwenda chini ili kupata maji safi na salama kwa ajili ya wana Kawe!. Miongoni mwa wafaidika wa visima hivyo virefu, kwenye misikiti 7 ya Salasala hivyo kuwapatia maji Waislamu, maji ya kutawadha kabla ya kuswali.
Kisha akayatafuta maji ya Dawasco, yanapita mbali, akaomba kibali Dawasco, akanunua manomba kama ya Dawaco ya kusambaza maji, akayatandika kuwatumia mafundi wa Dawasco, anunua pump ya mamilioni kutoka Ujerumani, akanunua mita za maji kama za Dawasco na kusambaza maji kwa kaya 250 za majirani wake wanaomzunguka, sasa wanapata maji safi na salama!.
Askofu Gwajima tayari ameisha saidia magari 7 ya ambulance za wagonjwa kwa hospitali mbalimbali, na kuahidi atazipatia magari ya wagonjwa hospitali za Kawe na Kinondoni.
Gwajima amesema, kazi ya kuwaletea maendeleo Watanzania sio kazi ya serikali pekee, ni kazi ya wananchi kwa kushirikiana na serikali, hivyo hapo alipo, tayari ameagiza tinga tinga la kuchonga barabara na malori mawili ya tipper, ambapo barabara zote za Kawe na Kinondoni zitachongwa, vijana wa Kawe watapatiwa ajira za kuchimba mitaro ya maji, hivyo kama ni serikali, itabaki kazi ya kuziwekea tuu lami!.
Mwana Kawe yoyote akiyasikia haya Askofu Gwajima aliyoyafanya Kawe, kabla hata hajawa Mbunge, ukilinganisha na alichofanya Mhe. Halima Mdee kipindi chake chote cha miaka yake 10!, ukiambiwa umchague mmoja kati ya hawa wawili, utamchagua nani?.
Utakubaliana na mimi kuuliza, Jee is it, it's high time, tumshukuru Mhe Halima Mdee kwa utumishi wake wa miaka 10 Kawe?, na tumuage kwa upendo, heshima na taadhima kwa kumwambia, Bye Bye Mhe. Halima Mdee Kawe, asante sana kwa utumishi wako wa miaka 10 Kawe?, na Jee sasa tumkaribishe Askofu Dr. Josephat Gwajima kwa kumwambia, "karibu, Kawe Askofu Gwajima ili kuikamilisha kazi nzuri ulioshaanza kuitenda kabla hata hujawa Mbunge?.
Kama kuna mtu yoyote ana video clip yoyote ya Mbunge wetu Mhe. Halima Mdee akishiriki shughuli yoyote ya maendeleo Kawe, naomba aielete ili angalau tumuone!
Shuhudia mwana Kawe huyu anavyojituma kwenye kuleta maendeleo
View attachment 1558915
Nauliza tuu!.
Paskali
Ni kweli Mkuu ,ila naona kaamua kuja na style ya kuzunguka mitaani sasaWala hakuna kitu usidanganywe na mtu anapokukenulia meno ukadhani anakupenda kura ni siri ya mtu, upepo ukivuma unakusanya kila taka taka ndicho kinachotokea kwa gwajima. Kawe si ya mchezo mchezo tu
So unasema gwajima hakufaa kabisa kuteuliwa kuwa mgombea wa kawe???It's true wajumbe wana uhuru kamili wa mawazo yao, hivyo they are right kumuona mtu yoyote hafai, ila kuna uwezekano baadhi ya waliopitishwa, mimi nina afadhali!.
Unaweza kuiangalia self assessment yangu kama Mbunge, nilitaka kwenda Bungeni kufanya nini?
Je, wajua kuna watu wazuri, waadilifu wenye uwezo, wanaotaka kuingia Bungeni kulisaidia Taifa, Bunge na kumsaidia JPM kwa dhati, lakini kwa vile...
P
Anajichosha tu kitu cha msingi ataifanyia nini kawe na watu wake?? Swala la nyumba kwa nyumba halisaidii watu watakupokea jinsi unavyokuja kisha wanaachana na wewe na habari inaishia hapo. Afanye vikao atangaze sera zake lakin siyo kudanganya watu kuwapeleka Birmingham.Ni kweli Mkuu ,ila naona kaamua kuja na style ya kuzunguka mitaani sasa
straight talkNaona mlioshindwa kura za maoni mnatekeleza agizo la Mwenyekiti wenu kuwapigia debe waliopita!Hapa unajiwekea kafursa ili ukumbukwe kwenye teuzi kwa kutii maagizo ya mwenyekiti!Huwezi kutenganisha ukada wako na mawazo yako,kwa wanaJF utakuwa mnywa maji ya kijani tu!
Kujijengea heshima fulani na kuaminika inachukua muda mrefu,ila kuvivunja vitu hivyo ni ndani ya sekunde moja tu!
Ulishapoteza hilo na huenda mpaka unaingia kaburini,level ya heshima uliyokuwa nayo JF isirudi tena!
Ni bora ukubaliane na hali na uwe kijani kweli kweli,,kuwa kama polepole tu!
nauona mkono wa baunsaHivi we P mzima kweli ? Halima mdee ndio anakusanya kodi yaani wakusanye kodi wengine , Halima mdee ndio alete maendeleo ? Kama vile hujui kazi za mbunge ? Kumbe unafanya makusudi , kwahiyo wanakawe unawashauri wachague mcheza sinema za utupu sio ? We si mtu mzima kabisa eti msomi ?View attachment 1558786
Naona wewe unajibu swali ambalo halijaulizwa; ingekuwa mtihani ungepata sifuriPaskali nisiwe mnafiki siwezi mchagua Gwajima kwakuwa alishasema anataka kuigeuza misikiti kuwa Sunday schools, nikiwa kama muislam nawaza huyu hakuwa na madaraka aliongea vile je nikimkabidhi madaraka itakuwaje? Mimi ni muislam na najivunia kuwa muislam
Gwajima ndie the best wa KaweSo unasema gwajima hakufaa kabisa kuteuliwa kuwa mgombea wa kawe???