Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanabodi,
Mimi ni mkazi wa Kawe, kwa vile sasa tuko kwenye kampeni za uchaguzi, ili tumtendee haki Mbunge wetu, kama kuna mtu anaweza kutueleza humu, Jee Mbunge wetu Mhe. Halima Mdee, ameufanyia nini Kawe Kawe katika kipindi chake chote cha miaka 10, ili tumfanyie assessment kama anastahili kuongezewa miaka mitano mingine, au apumzishwe?.
Declaration of Interest
Japo mimi Paskali Mayalla kwa sasa ni kada wa Chama Cha Mapinduzi, CCM, lakini bandiko hili sio la ukada au propaganda za kampeni za uchaguzi, bali ni bandiko hojaji la kweli kuuliza Mhe. Halima Mdee ameifanyia nini Kawe in the past 10 years kustahili kuendelea?.
Rais John Kennedy wa Marekani aliwahi kusema, " usijiulize Marekani ikufanyie nini, bali ujiulize, utaifanyia nini Marekani. Mhe. Halima Mdee ndie Mbunge wetu Kawe kwa kipindi cha miaka 10, naomba kuuliza kwa anayejua, Jee Halima Mdee ameifanyia nini Kawe?.
Leo nilikuwa mahali nikamsikia Askofu Gwajima, kumbe ni mdau wa maendeleo ya Kawe kwa kipindi kirefu na ameisha fanya makubwa kwa Kawe kama Mwananchi tuu wa kawaida!.
Kumbe Askofu Gwajima baada ya kuhamia Kunduchi Salasala, alikuta kuna tatizo la maji. Kwanza alichimba visima virefu 12 kwenye misikiti ya Salasala na kuwapatia maji Waislamu, kisha akanunua pump ya mamilioni kutoka Ujerumani, akanunua mabomba na mita za maji na kusambaza maji kwa kaya 250 za majirani wake wanaomzunguka, sasa wanapata maji safi na salama!.
Askofu Gwajima tayari ameisha saidia magari 7 ya ambulance za wagonjwa kwa hospitali mbalimbali, na kuahidi atazipatia magari ya wagonjwa hospitali za Kawe na Kinondoni.
Gwajima amesema, kazi ya kuwaletea maendeleo Watanzania sio kazi ya serikali pekee, ni kazi ya wananchi kwa kushirikiana na serikali, hivyo hapo alipo, tayari ameagiza tinga tinga la kuchonga barabara na malori mawili ya tipper, ambapo barabara zote za Kawe na Kinondoni zitachongwa, vijana wa Kawe watapatiwa ajira za kuchimba mitaro ya maji, hivyo kama ni serikali, itabaki kazi ya kuziwekea tuu lami!.
Mwana Kawe yoyote akiyasikia haya Askofu Gwajima aliyoyafanya Kawe, kabla hata hajawa Mbunge, ukilinganisha na alichofanya Halima Mdee kipindi chake chote cha miaka yake 10!, Utakubaliana na mimi, Jee is it, it's high time, tumshukuru Mhe Halima Mdee kwa utumishi wake wa miaka 10 Kawe?, na tumuage kwa heshima na upendo na taadhima kwa kumwambia, Bye Bye Mhe. Halima Mdee Kawe, asante sana kwa utumishi wako Kawe?, na Jee tumkaribishe Askofu Dr. Josephat Gwajima kwa kunwambia, "karibu, Kawe Askofu Gwajima?.
Nauliza tuu!.
Paskali
Kwa hiyo miaka yote 10 kazi yake ilikuwa kula tu posho bungeni?Mdee anakusanya Kodi? Shida yako kuu ni Njaaaa hakuba kitu kingine unacho tafuta humu bali ni jinsi utakavyo mfurahisha mtu akupe cheo.
Mdee n9ll m
Kwa hiyo miaka yote 10 kazi yake ilikuwa kula tu posho bungeni?
Jimbo la Kawe si ndiko kulikuwaga na migogoro ya ardhi isiyoisha? Hiyo ni credit kwa Mdee!Wanabodi,
Mimi ni mkazi wa Kawe, kwa vile sasa tuko kwenye kampeni za uchaguzi, ili tumtendee haki Mbunge wetu, kama kuna mtu anaweza kutueleza humu, Jee Mbunge wetu Mhe. Halima Mdee, ameufanyia nini Kawe Kawe katika kipindi chake chote cha miaka 10, ili tumfanyie assessment kama anastahili kuongezewa miaka mitano mingine, au apumzishwe?.
Declaration of Interest
Japo mimi Paskali Mayalla kwa sasa ni kada wa Chama Cha Mapinduzi, CCM, lakini bandiko hili sio la ukada au propaganda za kampeni za uchaguzi, bali ni bandiko hojaji la kweli kuuliza Mhe. Halima Mdee ameifanyia nini Kawe in the past 10 years kustahili kuendelea?.
Rais John Kennedy wa Marekani aliwahi kusema, " usijiulize Marekani ikufanyie nini, bali ujiulize, utaifanyia nini Marekani. Mhe. Halima Mdee ndie Mbunge wetu Kawe kwa kipindi cha miaka 10, naomba kuuliza kwa anayejua, Jee Halima Mdee ameifanyia nini Kawe?.
Leo nilikuwa mahali nikamsikia Askofu Gwajima, kumbe ni mdau wa maendeleo ya Kawe kwa kipindi kirefu na ameisha fanya makubwa kwa Kawe kama Mwananchi tuu wa kawaida!.
Kumbe Askofu Gwajima baada ya kuhamia Kunduchi Salasala, alikuta kuna tatizo la maji. Kwanza alichimba visima virefu 12 kwenye misikiti ya Salasala na kuwapatia maji Waislamu, kisha akanunua pump ya mamilioni kutoka Ujerumani, akanunua mabomba na mita za maji na kusambaza maji kwa kaya 250 za majirani wake wanaomzunguka, sasa wanapata maji safi na salama!.
Askofu Gwajima tayari ameisha saidia magari 7 ya ambulance za wagonjwa kwa hospitali mbalimbali, na kuahidi atazipatia magari ya wagonjwa hospitali za Kawe na Kinondoni.
Gwajima amesema, kazi ya kuwaletea maendeleo Watanzania sio kazi ya serikali pekee, ni kazi ya wananchi kwa kushirikiana na serikali, hivyo hapo alipo, tayari ameagiza tinga tinga la kuchonga barabara na malori mawili ya tipper, ambapo barabara zote za Kawe na Kinondoni zitachongwa, vijana wa Kawe watapatiwa ajira za kuchimba mitaro ya maji, hivyo kama ni serikali, itabaki kazi ya kuziwekea tuu lami!.
Mwana Kawe yoyote akiyasikia haya Askofu Gwajima aliyoyafanya Kawe, kabla hata hajawa Mbunge, ukilinganisha na alichofanya Halima Mdee kipindi chake chote cha miaka yake 10!, Utakubaliana na mimi, Jee is it, it's high time, tumshukuru Mhe Halima Mdee kwa utumishi wake wa miaka 10 Kawe?, na tumuage kwa heshima na upendo na taadhima kwa kumwambia, Bye Bye Mhe. Halima Mdee Kawe, asante sana kwa utumishi wako Kawe?, na Jee tumkaribishe Askofu Dr. Josephat Gwajima kwa kunwambia, "karibu, Kawe Askofu Gwajima?.
Nauliza tuu!.
Paskali
Nakazia hapaKwa jinsi siku zinavyokwenda toka upigwe chini kura za maoni ndivyo nazidi kujiridhisha kuwa sikuwa nimekosea kutokukuchukulia mtu makini toka nijiunge Jamii Forums.
Ni mtu unayejifanyaga impartial lakini kumbe sio kweli. Mnafiki na mganga njaa kama wapuuzi wenzio wengi tu.
Pathetic.
Mithread yako huwa imejaa maneno meeengi...lakini mostly ni upumbavu mtupu.
Wanabodi,
Mimi ni mkazi wa Kawe, kwa vile sasa tuko kwenye kampeni za uchaguzi, ili tumtendee haki Mbunge wetu, kama kuna mtu anaweza kutueleza humu, Jee Mbunge wetu Mhe. Halima Mdee, ameufanyia nini Kawe Kawe katika kipindi chake chote cha miaka 10, ili tumfanyie assessment kama anastahili kuongezewa miaka mitano mingine, au apumzishwe?.
Declaration of Interest
Japo mimi Paskali Mayalla kwa sasa ni kada wa Chama Cha Mapinduzi, CCM, lakini bandiko hili sio la ukada au propaganda za kampeni za uchaguzi, bali ni bandiko hojaji la kweli kuuliza Mhe. Halima Mdee ameifanyia nini Kawe in the past 10 years kustahili kuendelea?.
Rais John Kennedy wa Marekani aliwahi kusema, " usijiulize Marekani ikufanyie nini, bali ujiulize, utaifanyia nini Marekani. Mhe. Halima Mdee ndie Mbunge wetu Kawe kwa kipindi cha miaka 10, naomba kuuliza kwa anayejua, Jee Halima Mdee ameifanyia nini Kawe?.
Leo nilikuwa mahali nikamsikia Askofu Gwajima, kumbe ni mdau wa maendeleo ya Kawe kwa kipindi kirefu na ameisha fanya makubwa kwa Kawe kama Mwananchi tuu wa kawaida!.
Kumbe Askofu Gwajima baada ya kuhamia Kunduchi Salasala, alikuta kuna tatizo la maji. Kwanza alichimba visima virefu 12 kwenye misikiti ya Salasala na kuwapatia maji Waislamu, kisha akanunua pump ya mamilioni kutoka Ujerumani, akanunua mabomba na mita za maji na kusambaza maji kwa kaya 250 za majirani wake wanaomzunguka, sasa wanapata maji safi na salama!.
Askofu Gwajima tayari ameisha saidia magari 7 ya ambulance za wagonjwa kwa hospitali mbalimbali, na kuahidi atazipatia magari ya wagonjwa hospitali za Kawe na Kinondoni.
Gwajima amesema, kazi ya kuwaletea maendeleo Watanzania sio kazi ya serikali pekee, ni kazi ya wananchi kwa kushirikiana na serikali, hivyo hapo alipo, tayari ameagiza tinga tinga la kuchonga barabara na malori mawili ya tipper, ambapo barabara zote za Kawe na Kinondoni zitachongwa, vijana wa Kawe watapatiwa ajira za kuchimba mitaro ya maji, hivyo kama ni serikali, itabaki kazi ya kuziwekea tuu lami!.
Mwana Kawe yoyote akiyasikia haya Askofu Gwajima aliyoyafanya Kawe, kabla hata hajawa Mbunge, ukilinganisha na alichofanya Halima Mdee kipindi chake chote cha miaka yake 10!, Utakubaliana na mimi, Jee is it, it's high time, tumshukuru Mhe Halima Mdee kwa utumishi wake wa miaka 10 Kawe?, na tumuage kwa heshima na upendo na taadhima kwa kumwambia, Bye Bye Mhe. Halima Mdee Kawe, asante sana kwa utumishi wako Kawe?, na Jee tumkaribishe Askofu Dr. Josephat Gwajima kwa kunwambia, "karibu, Kawe Askofu Gwajima?.
Nauliza tuu!.
Paskali
Swali la msingi hiliPascal ulikuwa mtia nia chama Cha makada kawe,ungeshinda na kupewa nafasi ya kupeperusha bendera ya ccm,je ungeonesha vitu gani au umewahi fanya nini kawe?
Jibu hoja ,acha ufala ,Halima Mdee kaifanyia nini Kawe ndani ya miaka kumi akiwa mwakilishi wa jimbo ?Paskali nisiwe mnafiki siwezi mchagua Gwajima kwakuwa alishasema anataka kuigeuza misikiti kuwa Sunday schools, nikiwa kama muislam nawaza huyu hakuwa na madaraka aliongea vile je nikimkabidhi madaraka itakuwaje? Mimi ni muislam na najivunia kuwa muislam
kumbe mbunge sio majukumu yake kuleta maendeleo na mbunge sio sehemu ya serikali ? Naomba ufafanuzi hapo tafadhaliNadhani swali ni serikali imefanya nini kwenye jimbo la Kawe maana jukumu la kuleta maendeleo ni serikali na sio la mbunge. Kama katika miaka 10 ya ubunge wa Halima hapajakuwa na maendeleo Kawe inayopaswa kuhojiwa ni serikali na sio mbunge.
Swali kwa Halima ni je katika muda wake huo amewapigania watu wa Kawe na Tanzania ili wapate maisha bora zaidi? Kwa vile chama chake hakikuwa madarakani, wananchi wanapaswa kuwauliza waliokuwa madarakani kwa nini hawakutilia maanantaina kilio cha mbunge wao?
Kumchagua mtu kwa vile ana pesa za kuchonga barabara ni kujidhalilisha maana mtakuwa mmenunuliwa. Chagueni mtu atakayewapigania ili mtendewe haki kutokana na kodi mnayolipa. Maendeleo sio fadhila, ni haki yenu.
Amandla...
Aje akanishe! Unamsemea wewe kama nani?Uchumi wa Halima ni sawa na uchumi wa Gwajima? Hiyo misikiti aliyoichimbia visima ndio hiyo anataka iwe sunday schools ?
Wanabodi,
Mimi ni mkazi wa Kawe, kwa vile sasa tuko kwenye kampeni za uchaguzi, ili tumtendee haki Mbunge wetu aliyemaliza muda wake, Mhe. Halima Mdee, ambaye, baada ya kuwa Mbunge wa Kawe kwa vipindi viwili mfululizo, na sasa anaomba tena tumchague, hivyo nauliza kama kuna mtu yoyote anaweza kutueleza humu, hata jambo moja tuu, Jee Mbunge wetu Mhe. Halima Mdee, amelifanyia nini jimbo la Kawe katika kipindi chake chote cha miaka 10?, ili tumfanyie assessment kama anastahili jee anastahili kuongezewa miaka mitano mingine, or she did nothing hivyo anastahili apumzishwe?.
Declaration of Interest
Japo mimi Paskali Mayalla kwa sasa ni kada wa Chama Cha Mapinduzi, CCM, lakini bandiko hili sio la ukada au propaganda za kampeni za uchaguzi, bali ni bandiko hojaji ya halali na swali la ukweli la mwana Kawe, kuuliza Mhe. Halima Mdee ameifanyia nini Kawe in the past 10 years kustahili kuendelea?.
Rais John Kennedy wa Marekani aliwahi kusema, " usijiulize Marekani imekufanyia nini, bali ujiulize, wewe utaifanyia nini Marekani". Mhe. Halima Mdee ndie Mbunge wetu Kawe kwa kipindi cha miaka 10, naomba kuuliza kwa anayejua, Jee Halima Mdee ameifanyia nini Kawe?.
By the way: Leo nilikuwa mahali nikamsikia Askofu Gwajima, kumbe huyu Askofu ni mdau mkubwa wa maendeleo ya watu wa Kawe kwa kipindi kirefu na ameisha fanya mambo makubwa kwa wana Kawe kama Mwananchi tuu wa kawaida bila hata kujua kuwa kuna siku atakuja kugombea ubunge wa Kawe.
Kumbe Askofu Gwajima baada ya kuhamia Kunduchi Salasala, alikuta kuna tatizo la maji. Kwanza alichimba visima virefu 12 kwenye misikiti ya Salasala na kuwapatia maji Waislamu, kisha akanunua pump ya mamilioni kutoka Ujerumani, akanunua mabomba na mita za maji na kusambaza maji kwa kaya 250 za majirani wake wanaomzunguka, sasa wanapata maji safi na salama!.
Askofu Gwajima tayari ameisha saidia magari 7 ya ambulance za wagonjwa kwa hospitali mbalimbali, na kuahidi atazipatia magari ya wagonjwa hospitali za Kawe na Kinondoni.
Gwajima amesema, kazi ya kuwaletea maendeleo Watanzania sio kazi ya serikali pekee, ni kazi ya wananchi kwa kushirikiana na serikali, hivyo hapo alipo, tayari ameagiza tinga tinga la kuchonga barabara na malori mawili ya tipper, ambapo barabara zote za Kawe na Kinondoni zitachongwa, vijana wa Kawe watapatiwa ajira za kuchimba mitaro ya maji, hivyo kama ni serikali, itabaki kazi ya kuziwekea tuu lami!.
Mwana Kawe yoyote akiyasikia haya Askofu Gwajima aliyoyafanya Kawe, kabla hata hajawa Mbunge, ukilinganisha na alichofanya Mhe. Halima Mdee kipindi chake chote cha miaka yake 10!, ukiambiwa umchague mmoja kati ya hawa wawili, utamchagua nani?.
Utakubaliana na mimi kuuliza, Jee is it, it's high time, tumshukuru Mhe Halima Mdee kwa utumishi wake wa miaka 10 Kawe?, na tumuage kwa upendo, heshima na taadhima kwa kumwambia, Bye Bye Mhe. Halima Mdee Kawe, asante sana kwa utumishi wako wa miaka 10 Kawe?, na Jee sasa tumkaribishe Askofu Dr. Josephat Gwajima kwa kumwambia, "karibu, Kawe Askofu Gwajima ili kuikamilisha kazi nzuri ulioshaanza kuitenda kabla hata hujawa Mbunge?.
Nauliza tuu!.
Paskali
Na Ubaya wa laana haindoki hata baada ya msamaha kupita.
Kwahiyo misikiti au hizo Sunday school ndo maendeleo siyo?Paskali nisiwe mnafiki siwezi mchagua Gwajima kwakuwa alishasema anataka kuigeuza misikiti kuwa Sunday schools, nikiwa kama muislam nawaza huyu hakuwa na madaraka aliongea vile je nikimkabidhi madaraka itakuwaje? Mimi ni muislam na najivunia kuwa muislam