johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Wamepata 13% tu. Je, wanastahili viti maalumu???Ngoja niangalie jumla ya kura na uwiano wake nione kama Chadema ina qualify kutoa wabunge wa viti maalumu ( Wanawake)
Wamepata 13% tu. Je, wanastahili viti maalumu???
Hiyo percent uliyoitaja ni ya urais waliyoipata, inayozingatiwa kwenye kupata nafasi za ubunge wa viti maalumu ni percent ya kura za ubunge chama kilizopata kwa nchi nzima, na inatakiwa iwe angalau 5% ndio chama kinakuwa na sifa ya kutoa wabunge wa viti maalumu.Wamepata 13% tu. Je, wanastahili viti maalumu???
Siyo kwamba aligombea. Lumumba bhana, yaani huna unachojua. Anapata viti maalumu kutokana na nafasi yake ktk chama. Yeye ni mwenyekiti taifa wa BAWACHA.Halima aligombea pia viti maalum, ndio uone watu walivyo wabinafsi.
Mtu anagombea nafasi mbilimbili, ili akikosa moja apate nyingine
Ok! Sawa.Hiyo percent uliyoitaja ni ya urais waliyoipata, inayozingatiwa kwenye kupata nafasi za ubunge wa viti maalumu ni percent ya kura za ubunge chama kilizopata kwa nchi nzima, na inatakiwa iwe angalau 5% ndio chama kinakuwa na sifa ya kutoa wabunge wa viti maalumu.
Halima aligombea pia viti maalum, ndio uone watu walivyo wabinafsi. Mtu anagombea nafasi mbilimbili, ili akikosa moja apate nyingine
Wanatakiwa wapate angalau 5% ya jumla ya kura zote halali za ubunge ndo wataqualify kupata Viti Maalum.Wamepata 13% tu. Je, wanastahili viti maalumu???
Na kupata ruzuku!Hiyo percent uliyoitaja ni ya urais waliyoipata, inayozingatiwa kwenye kupata nafasi za ubunge wa viti maalumu ni percent ya kura za ubunge chama kilizopata kwa nchi nzima, na inatakiwa iwe angalau 5% ndio chama kinakuwa na sifa ya kutoa wabunge wa viti maalumu.
Mi naombea chama kimtake afanye hivyo. Ili wananchi waliemchagua wajue kwamba yupo kwa ajili ya chama chake na siyo kwa ajili yao.Lakini nadhani Halima Mdee hawezi kwenda, maana atakuwa amekubaliana na dhuluma hii.
Na ndiyo maana kamanda Khenan ambaye kapata ushindi jimboni, amesema yuko tayari kugoma kwenda bungeni endapo chama kitamtaka kufanya hivyo.
Wanastaili maana 5% ndio minimum %Wamepata 13% tu. Je, wanastahili viti maalumu???
Kwani chama kina wanyama? Nacho kinq wananchi. Kwahiyo akiikubali nafasi batili atakuwa kakubali kulitumikia tumbo lakeMi naombea chama kimtake afanye hivyo. Ili wananchi waliemchagua wajue kwamba yupo kwa ajili ya chama chake na siyo kwa ajili yao.
Hawa watu ni vilaza waliotukuka. Wasikusumbue sana. Hawaelewi hata wanachoongea ndiyo maana wamedakwa na kura fekiAisee!
Soma tena ulichoandika hapa!
Ukiwa na 5% unapewa wabunge wangapi? Au mgawo unakuwa sawa Kati ya chama chenye 80% na chenye 5%??? Tunaomba elimu hii tafadhali.Wanatakiwa wapate angalau 5% ya jumla ya kura zote halali za ubunge ndo wataqualify kupata Viti Maalum.
Ruzuku kwa chama inazingatiwa idadi ya wabunge (wote wa majimbo na viti maalumu) wa chama husika wanaoingia bungeni. CCM itapiga hela ya kutosha.Na kupata ruzuku!