Kinyungu
JF-Expert Member
- Apr 6, 2008
- 19,484
- 38,416
Mbona unamuulizia? Hawa ghasia atarudi kupitia viti maalum?Awepo kufanya nini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona unamuulizia? Hawa ghasia atarudi kupitia viti maalum?Awepo kufanya nini?
Nna watu zaidi ya 1,000 wako chini yangu nawaongoza hivyo dharau zako naweka kapuni.Which opinion are you talking about? the whole world observed the irregularities, but you, blind idiot pretending to see something different hiding yourself in that bush you call "opinion", raising unnecessary, stupidity, ideas trying to undermine what actually happened.
Wewe ni mjinga sana, hata nikijaribu kusoma hoja zako ni za kipuuzi puuzi tu, hata hujui mapato ya halmashauri yakikusanywa yanaenda wapi, very shallow, unaulizwa maswali ya msingi unajibu kama mtoto mdogo wa std 5! this is only bcoz you are trying your best to hide the reality, then you end up looking like a trash!.
Nimekudharau sana.
Kwa hiyo hiyo iliondoa dhana ya Gwajima kuwaita Wakatoliki manabii wa uongo, waislam waumini majini?Ni kwamba sisi humu JF tupo watu wa aina mbalimbali na sifa tofauti.
Wapo watu humu tukiongelea masuala fulani ni lazima wengine ujiulize hawa wanamaanisha nini?
Mimi niliwahi kusema humu kwamba Kawe ni moja ya majimbo ya kimkakati ambayo CCM ilikuwa imejiandaa kuyapigania kupitia sanduku la kura.
Sasa mmewahi kujiuliza Kawe ni jimbo la kimkakati kwa vipi na ni kwanini CCM inalitaka jimbo hilo?
Lakini si mliona kampeni za Gwajima Kawe?
Lakini Halima Mdee hakuliona hilo na badala yake mkaanza mizaha ya kejeli na kashfa kwa Gwajima.
Wakati mwafanya hivyo mitandaoni, mwenzenu Gwajima akawa pia afanya vikao na wananchi vijiweni akijibu masuali ya papo kwa hapo huku akiomba kura.
Baadae "full CCM Machine" ikaingia Kawe tena kwenye mvua kuomba kura?
Alichofanya Halima Mdee kwenye siku ya kampeni ambayo alipaswa kutema hoja za msingi za kuomba tena kura kwa wananchi ,unakijua.
Sasa msilalamike.
Hiyo sikuisikia.Kwa hiyo hiyo iliondoa dhana ya Gwajima kuwaita Wakatoliki manabii wa uongo, waislam waumini majini?
Mkuu usishangae, kibaraka wa mabeberu na wafuasi wake wote wako hivyo, wakiona hawana cha kukujibu wanaingia kwenye matusi!Nna watu zaidi ya 1,000 wako chini yangu nawaongoza hivyo dharau zako naweka kapuni.
Wengine ni wasomi wazuri tu na wana ujuzi wa aina mbalimbali na wengine wamesoma nje ya nchi.
Mimi mwenyewe hujanisoma uzuri nimesoma ndani na nje ya Tanzania na nimeishi nchi kadhaa za Afrika, Ulaya na Marekani.
Hizi ni siasa hivyo ukiona mtu anapingana na wewe ukubali, usimkejeli wala kumtukana.
Naona waenda personal sana.
Dah,...
Sababu ni hiyo
Hesabu haziendi hivyo, umegeuza.Wanachukua jumla idadi ya kura zote halali za ubunge wanagawanya kwa kura zote ilizopata chama halafu wanazidisha kwa 113 ambayo ni idadi ya wabunge wa Viti maalum inayotakiwa kuwa bungeni.
Nimekusoma mwanzo mpaka mwisho nikitegemea utazungumzia na zile kura zilizokamatwa lakin sijaona.Ni kwamba sisi humu JF tupo watu wa aina mbalimbali na sifa tofauti.