Kama watu walikutwa na ushahidi wa kura zilizokuwa zimepigwa tayari basi badala ya kuzichoma kura hizo zingetumika kama ushahidi au vidhibiti.
Hilo la vijana kutumika mitandaoni wewe hulifahamu?
Vijana wenu wengi walikuwa wakitumika na yule dada ambae alihakikisha picha mbalimbali zinatumwa mitandaoni kujaribu kuaminisha (kwa wazungu) kwamba mikutano yenu inajaza watu na kwamba mnakubalika na mtashinda uchaguzi.
Serikali inafahamu kila kitu mlichokuwa mkipanga na kuratibu ingawa CCM wao walikuwa busy na kampeni.
Soma hapa:
"Tunajua wanapolala, wanachopanga" - IGP Sirro
Mnashindwa kuelewa kwamba hata kama CCM ilikuwa na mgombea wao kwenye kampeni lakini pia akiwa raisi alie madarakani yaani "incumbent" bado serikali yake ilikuwa iko kazini.
Tusitake tena kurudi huko maana ilikuwa ni wakati wa kampeni.