Uchaguzi 2020 Je, Halima Mdee atatimba Bungeni kwa tiketi ya Viti Maalum?

Uchaguzi 2020 Je, Halima Mdee atatimba Bungeni kwa tiketi ya Viti Maalum?

Mkuu

Mabegi yalifunguliwa yana KURA ndani...kwahiyo siku hizi makaratasi ya kura ni nguo?

Punguza unafiki sometimes bwana
Sasa tutafahamu vipi kama hao wabeba mabegi na wafungua mabegi lao ni moja?

Vipi mpiga picha za video yaani nae anakuwa amejiandaa kuchukua tukio hilo?

Yaani tuongee tu ule ukweli.

Na anaefungua begi la mpiga kura mwenzake na afanya hivyo kama nani?
 
Gwajima ndio alikua anaongea "sera" jukwaani?

Stop huu uongo!

Yes,Halima ni mbunge miaka 10,then CCM hakuna wabunge,tena wengi sana wana miaka zaidi ya Halima bungeni na mwaka huu wameingia tena?

Hoja ya miaka bungeni tayari ni mufilisi,iweke pembeni,maana pande zote mbili wapo,na upande wa ccm ni wengi kupita maelezo tofauti na CDM ni wa 5-10!

Hoja ya eti Halima hakutoa "sera",then sijui wewe utanipa sera gani aliyotoa Gwajima???Kuwapeleka watu Birmingham,USA?

Lets stop these lies mzee!
Ntakujibu machache.

Gwajima ameahidi katika kampeni zake mambo mawili makubwa ya kiakili.

1. Akiwa mbunge atahakikisha vijana wavuvi wanawezeshwa kupata boti za uvuvi, Kawe si kuna bahari?

Huyu mtu ana network hivyo atafanya connection na Japan ambako ana connection.

Hivyo hizi boti vijana watafunzwa how to use, operate, na repairing hizi boti.

Sasa vijana wakipiga kura zao Gwajima kwasababu hii utalaumu kweli?

2. Kuhusu Birmingham amesema kwa kuwa yeye ana uhusiano na meya wa Alabama Birmingham atahakikisha ana weka utaratibu wa kuwepo "student exchange programs" ambapo wanafunzi wa kitanzania na wale wanotoka huko Birmingham USA wanabadilishana.

Mbona hii inaeleweka uzuri tu?
 
Mkuu

Wananchi wanampenda Halima,nobody cares about that useless pornstar!

Thats a FACT!

Halima kwenye siasa anapata "A" Gwajima anapata "O"!

Hoja ya sera ulizotoa hapo hizo mbili ni uchafu mtupu,as if Kawe inaendeshwa na uvuvi tu,thats nonsense!

Percent ndogo sana ya wakazi in recent years hawahusiki na uvuvi kama main means of production,ni fraction!

Hebu tuache hizo nonsense,Gwajima can never beat Halima in a sleep!

Ni kama leo uniambie ile takataka ya Hai eti imempita Mbowe kura,never happen...

Uchaguzi huu ni total facade,haijawahi tokea!

Mlidhani CDM ndio adui kumbe mtakuja kugundua healthy percent of opposition in this country is best for all of us!

Na mtakuja kugundua ndani ya CCM humo humo ndio kuna maadui zenu nyie wenyewe wakubwa mno....
Hoja ingine ni mafuriko.

Mimi pia nina makazi Kawe hivyo naifahamu uzuri.

Nikuulize kitu kimoja, Halima Mdee ametatua vipi tatizo la mafuriko jimboni Kawe ambapo mvua ikinyesha uzuri na kisawasawa maeneo yote ya Chasimba, Basihaya, Chatembo, Cha Chui yanaathirika na watu waogelea matope?

Kumbuka mafuriko haya yamedumu kwa miaka 15!

Naomba unijibu uzuri hapa kwanza.
 
Mbona 2015 'waliibiwa' kura lakin Mbowe na wajanja wenzie hawakugoma kwenda kula pesa bungeni?
Lakini nadhani Halima Mdee hawezi kwenda, maana atakuwa amekubaliana na dhuluma hii.

Na ndiyo maana kamanda Khenan ambaye kapata ushindi jimboni, amesema yuko tayari kugoma kwenda bungeni endapo chama kitamtaka kufanya hivyo.
 
Mbona 2015 'waliibiwa' kura lakin Mbowe na wajanja wenzie hawakugoma kwenda kula pesa bungeni?
Siyo kwa kiwango hiki!! Karatasi za kura zinazagaa vituoni!!? Kesho mtatutambia kwenye maandamano
 
Nyie wenye akili mliingia kwny uchaguzi mkaahidi kuigaragaza Ccm huku mkijua Tume ya Uchaguzi imeteuliwa na Mshindani wenu, matokeo yametoka mnagomea na mnatoa visingizio ambavyo mlikuwa navyo kabla ya uchaguzi

Wale wagombea wenu wa Serikali za Mitaa mliowakataza kugombea kwa kisingizio Tume si huru halafu mkawageuka mkagombea mkiamini nyie binafsi mngerudi Bungeeni wanawasalimia
Maccm hayanaga akili mkuu, hayajui hata nchi inaenda vipi. Sijui yamesomea shule gani na vyuo gani?. Au ndio wale wanaomaliza PHD hata kutamka sentence mbili za kingereza tabu, huku yamefundishwa kwa kingereza.
 
Mafuriko???

Like really???

Mafuriko ya Kawe hivi yanafua dafu mafuriko ya Ilala au Kinondoni au Mbagala ndugu yangu?

Na huko kote wapo CCM,walifanya nini?

Mafuriko ya Ilala ni national problem kwa ukubwa wake,nothing has been done....then una compare na Basihaya?

Mkuu acha unafiki,ni mbaya sana!
Sasa hapa ndipo tunapopisha kwenye kufikiri.

Waongelea matatizo ya mafuriko sehemu zingine au katika eneo lako we mwenyewe kwanza?

Halima Mdee katika jimbo lake ametatua vipi tatizo la mafuriko?
 
Kwa hiyo hoja yenu sio wizi bali kiwango cha wizi?
Kama mtu kaiba kikombe nyumbani kwako halafu ukamsamehe. Kesho anakuja anabomoa nyumba mchana kweupe na kuchukua kila kitu, huyu siyo tu tu ni mwizi, bali ana dharau pia.

Magufuli ameiba na ameonesha dharau.
 
Rais wa Beralus kawaambia Polisi ataenda kuandamana na kumgusa Askari wake basi ihakikishwe Mkono wake mmoja unabaki kwny maandamano

Nami nawatahadharisha, sababu za kufuta maandamano ya Ukuta bado zipo
Kama mtu kaiba kikombe nyumbani kwako halafu ukamsamehe. Kesho anakuja anabomoa nyumba mchana kweupe na kuchukua kila kitu, huyu siyo tu tu ni mwizi, bali ana dharau pia.

Magufuli ameiba na ameonesha dharau.
 
Nyie wenye akili mliingia kwny uchaguzi mkaahidi kuigaragaza Ccm huku mkijua Tume ya Uchaguzi imeteuliwa na Mshindani wenu, matokeo yametoka mnagomea na mnatoa visingizio ambavyo mlikuwa navyo kabla ya uchaguzi

Wale wagombea wenu wa Serikali za Mitaa mliowakataza kugombea kwa kisingizio Tume si huru halafu mkawageuka mkagombea mkiamini nyie binafsi mngerudi Bungeeni wanawasalimia
Tukutane barabarani we mzee, wakati wenu umeshaisha mnataka kutuharibia nchi yetu sie vijana .
 
Its is very technical issues ambazo ni CCM pekee wanafahamu namna za kuzishughulikia.

Lakini nafikiri, kulikuwa na ulazima wa kumtafuta mgombea wa CCM ili agombee jimbo hilo.

Na waliona waziwazi kuwa Gwajima anafaa na siyo kijana Furaha.
Well and good..... At least umekiri kuwa ni CCM pekee wanajua ila sio sisi wananchi wa kawaida.

Meaning hakuna justification kabisa ya kuhalalisha kumng'oa mdee kwa wizi.
 
Lakini nadhani Halima Mdee hawezi kwenda, maana atakuwa amekubaliana na dhuluma hii.

Na ndiyo maana kamanda Khenan ambaye kapata ushindi jimboni, amesema yuko tayari kugoma kwenda bungeni endapo chama kitamtaka kufanya hivyo.
Sidhani
 
Ukutane na mimi? Utakutana na waliosomea kupiga binadamu wenzie

Mie labda useme nijiandae kuwadraftia ndugu zako barua za kukudhamini mahabusu au kuwaelekeza jinsi ya kumchua mtu alievunjwa viungo kwa kipigo

Tukutane barabarani we mzee, wakati wenu umeshaisha mnataka kutuharibia nchi yetu sie vijana .
 
Hiyo percent uliyoitaja ni ya urais waliyoipata, inayozingatiwa kwenye kupata nafasi za ubunge wa viti maalumu ni percent ya kura za ubunge chama kilizopata kwa nchi nzima, na inatakiwa iwe angalau 5% ndio chama kinakuwa na sifa ya kutoa wabunge wa viti maalumu.
Ok!!!,asante kwa kutujuza
 
Halima Mdee kwa nafasi yake kama mwenyekiti wa BAWACHA ndio Mbunge wa Viti Maalumu namba moja kama CHADEMA itapata sifa ya kuwa na wabunge hao.

Ngoja niangalie jumla ya kura na uwiano wake nione kama CHADEMA ina qualify kutoa wabunge wa viti maalumu ( Wanawake)

Nitarejea.

Maendeleo hayana vyama!
Kumbe na wewe ni takataka , unashabikia ubatili hata haya huna. Mgelikuwa mmeshinda kihalali nami ningeliwapongeza. Mmeiba from zero to 100%, halafu bila haya unajisifu.
 
Halima Mdee kwa nafasi yake kama mwenyekiti wa BAWACHA ndio Mbunge wa Viti Maalumu namba moja kama CHADEMA itapata sifa ya kuwa na wabunge hao.

Ngoja niangalie jumla ya kura na uwiano wake nione kama CHADEMA ina qualify kutoa wabunge wa viti maalumu ( Wanawake)

Nitarejea.

Maendeleo hayana vyama!
Ndiyo maana nasema kesi za mwaka huu kama zitakuwepo zitakuwa rahisi. Mawakala wore walinyimwa, in one way or another kusimamia kura, what do you expect? Jaji Mugasha Alisha harishia sheria na haki, what do you expect!
 
Back
Top Bottom