Ilala ni Dar,Temeke ni Dar ,Mbagala ni Dar,etc na zote hizi zipo Tanzania
Zote hizo zinasimamiwa na CCM,kuleta hoja ya mafuriko Kawe ni nonsense....Mafuriko kawe ni ishu sio pressing kama ya Ilala Jangwani au Temeke huko miaka zaidi ya 100 sasa!
Wewe unamdiss Halima wa CDM na mafuriko Basihaya na mimi nikakukumbusha Ilala ni mara 1000 ya mafuriko ya Basihaya na CCM wapo huko,lakini nothing happened!
Usiniwekee mipaka,tupo TZ,specifically Dar,na tupo na CDM and CCM,siwezi ongelea Guandong province na CCP ya China au Democrats na district ya Maryland nicompee na Chadema ya hapa!
Eti usitoke Kawe....stop this nonsense bwana!
Compared to Ilala,Temeke na Mbagala,mafuriko Basihaya sio pressing issue kama mambo mengine aliyoyapa kipaumbele Halima!
Tuache yote hayo,tutapigiana makelele mpaka kesho...ishu ni kwamba wewe unaamini Gwajima the pornstar kashinda kihalali na mimi naona hajashinda kihalali na wezi wa kura walikamatwa on a national television,tubakie na misimamo yetu binafsi sisi kama sisi!
Cool