Uchaguzi 2020 Je, Halima Mdee atatimba Bungeni kwa tiketi ya Viti Maalum?

TANZIA; NDUGU WA WENJE AUWAWA KWA MKUKI HUKO RORYA NA WANAODAIWA WAFUASI WA CCM. POLE KWA FAMILIA,
HONGERENI WASIMAMIZI WA UCHAGUZI
 
Nna watu zaidi ya 1,000 wako chini yangu nawaongoza hivyo dharau zako naweka kapuni.

Wengine ni wasomi wazuri tu na wana ujuzi wa aina mbalimbali na wengine wamesoma nje ya nchi.

Mimi mwenyewe hujanisoma uzuri nimesoma ndani na nje ya Tanzania na nimeishi nchi kadhaa za Afrika, Ulaya na Marekani.

Hizi ni siasa hivyo ukiona mtu anapingana na wewe ukubali, usimkejeli wala kumtukana.

Naona waenda personal sana.
 
Kwa hiyo hiyo iliondoa dhana ya Gwajima kuwaita Wakatoliki manabii wa uongo, waislam waumini majini?
 
Mkuu usishangae, kibaraka wa mabeberu na wafuasi wake wote wako hivyo, wakiona hawana cha kukujibu wanaingia kwenye matusi!
 
Wanachukua jumla idadi ya kura zote halali za ubunge wanagawanya kwa kura zote ilizopata chama halafu wanazidisha kwa 113 ambayo ni idadi ya wabunge wa Viti maalum inayotakiwa kuwa bungeni.
Hesabu haziendi hivyo, umegeuza.
Ni kura za Chama gawa kwa kura zote ndio X 113.
 
Nimekusoma mwanzo mpaka mwisho nikitegemea utazungumzia na zile kura zilizokamatwa lakin sijaona.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…