Je, halimashauri wangekodi mabasi jua lisingezama? Ni lazima kila mmoja awe na gari Arusha?

Lazima tutenganishe Halmashauri na serikali kuu. Na Halmashauri idhibitiwe na wananchi moja kwa moja...wananchi ndo waajiri wakurugenzi wa Halmashauri, na wawe na nguvu za kuwafukuza wakati wowote.
Sheria hiyo ipo sasa?
 
Sasa tunaanza kuelewa kwa nini marais wa Afrika walipandishwa basi moja kwenye mazishi ya Malkia Elizabeth.
 
Hii Nchi bwana ni shida
 
Sasa tunaanza kuelewa kwa nini marais wa Afrika walipandishwa basi moja kwenye mazishi ya Malkia Elizabeth.
Hata wabunge wakitaka kutembelea miradi nk Huwa wanakodi basi na shabiby ndio Huwa wanatumia sana bus zake..
 
Wafe tuu Ded ana ishu gani akifa Hadi iwe spesho?
 
Lazima tutenganishe Halmashauri na serikali kuu. Na Halmashauri idhibitiwe na wananchi moja kwa moja...wananchi ndo waajiri wakurugenzi wa Halmashauri, na wawe na nguvu za kuwafukuza wakati wowote.
Nadhani Baraza la madiwani ndiyo huwa wanadhibiti halmashauri
 
Marais walipopandishwa kwenye mabasi kule UK nilimsikia mkurugenzi mmoja akisema yeye haweZi kupandishwa staff bus!
NB: mtoa mada usiishie tu kutaja idadi ya magari weka pia be na gharama za uendeshaji. Mwisho weka idadi ya magari yaliyotelekezwa kwenye parking za halmashauri!

Nchi hii tatizo kubwa ni wengi akili hazijakaa mahala pake
 
Hawajui kama kuna teleconference
 
Unataka kusema asilimia kubwa vichwa ni kwa ajili ya kufugia nywele tu mkuu?
 
Basi kaa kwa kutulia, nilijua umewekeza kwenye uchimbaji wa gas, kumbe una salon ya kunyoa ndio unapata woga hivyo wa mabadiliko.
Hata saloon ni uwekezaji kuliko kukaa sebuleni kwa shemeji na kutaka machafuko kisa nyumba ya shemeji ina ukuta unahisi kikinuka utakua salama
 
Kodi.zetu zinaliwa kindezi sana
 
Mkuu umewekeza kiasi gani nchi hii? Kwa taarifa yako hicho ulichowekeza kitakuwa bora zaidi baada ya wimbi hilo. Labda useme ww ni mfaidika wa mfumo huu, hivyo unaogopa yakitokea mabadiliko ya kweli utaathirika.
Huyo unakuta ni HoD wa council hivyo anakula kilaini sn
 
Hata saloon ni uwekezaji kuliko kukaa sebuleni kwa shemeji na kutaka machafuko kisa nyumba ya shemeji ina ukuta unahisi kikinuka utakua salama
Narudia tena, machafuko au serikali kupinduliwa ndio yataleta mabadiliko ya kweli. Hutaki jinyonge.
 
Kwa nchi zilizoendelea mara nyingi wanakodi magari au wenye magari Yao wanapewa posho ya mafuta . Ukikodi gari kwa siku hata ukilipa Lak mbili haiwezi kumfikia gharama ya kununua mavx au ukiwapa posho ya usafirin milioni Moja kwa mwezi Bado utaokoa kiasi kikubwa Cha pesa hapo nazungumzia mahesabu ya miakab5 ambaye ni uhai wa hayo magari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…