Kama management yake inafahamu vizuri biashara ya muziki, basi alikuwa sahihi kuuza hizo nyumba kwa sababu wakati yupo WCB, Harmonize alikuwa na thamani zaidi ya hiyo 500M. Changamoto ya uongozi wake mpya ni kuendelea kuipandisha thamani yake ili kazi zake mpya ziweze kurejesha hiyo 500M anayotakiwa kulipa.
Alisema mambo ya mahakama hataki. Anataka waachane kwa amani. Issue ni kwamba - Mambo ya fedha hayanaga amani. Atajua hilo hivi punde au baadaye. Kama ulivyosema sometimes inabidi kutafuta namna kupambana mahakamani japo hatima yake most likely WCB wangemshinda tu.Huyu dawa yake aende mahakamani aka u-chalenge huo mkataba kwamba hakuuelewa, hakufafanuliwa. Pili alikuwa haimudu lugha ya kingereza vizuri wakati anasainishwa mkataba. Mkataba gani huo? Jela tupu hapo.
Hizo nyumba zilikua wapi?
Mkataba wake ungeisha lini?
Ulikua na thamani kiasi gani?
Ikiweza kuuweka hapa itakua poa sana!
500 million cash ukiambiwa uikohoe mara moja na kwa mkupuo ni pesa mingi aisee kwa msanii wa bongo aliyeajiriwa. Labda sio mingi kwa Mondi, ila kwa Konde boy ndio unaona imebidi auze mali na bado anahaha tu.
Hii ni kudhihirisha kuwa hawa wasanii ni makapuku tu.
Usiseme kwa sauti basi. Mpaka kila mtu asikie? Duh!
Ndo kitu ambacho nimekuwa nikiwaambia watu hicho! Thamani ya Harmonize pale alipo ni zaidi ya 500M! Na nina uhakika kama WCB wangefahamu in advance kwamba Harmonize angefikia level zile basi mkataba wake ungemtaka kuuvunja kwa zaidi ya hiyo 500M kwa sababu thamani yake ni kubwa maradufu, labda management yake mpya ndo ichemshe ku-maintain na kuongeza status yake!
Tena naamini thamani ya Harmonize ni zaidi ya hiyo 500M, tena kama ulivyosema, wamemfanyia fair kweli kweli! Watu wanachukulia simple sana haya mambo.Bora umeweka vitu sawa. 500M kwa Harmo ni fair kabisaa maana mwanzoni Diamond alitumia nguvu nyingi sana kumpromote na huwezi jua ni lini alianza kumuingizia faida nzuri
Leo Harmo anapiga show hadi Kenya na anajaza stadium yaani hilo ni soko la EA tu. Kwa thamani kama hiyo watu walitegemea WCB imuache bure au kwa 100M !!!.. it doesnt make sense
Alipe tu deni la watu kaokotwa Saiv anajikuta mwamba acha apambane na hari yakeHamna kitu cha bure utolewe huko kwenye uaunderground kabisa upromotiwe utafutiwe makollabo ya nje shows mbalimbali upewe exposure then ujitoe kirahisirahisi hivi haaahhhah hata kama ni uhuru inabidi ujitathmini umetolewa wapi sehem gani na umefikia wapi .Amlipe tu Mondi hizo ela afanye yake.
Ukwasi nini !?
Kabsaa Harmo ashatengenezewa thamani zaidi ya hiyo. Wajiulize tu akipata endorsements za makampuni labda kwa mwaka ataingiza sh ngapi yaani hapo toa shows, malipo ya online platforms na vitu vingineTena naamini thamani ya Harmonize ni zaidi ya hiyo 500M, tena kama ulivyosema, wamemfanyia fair kweli kweli! Watu wanachukulia simple sana haya mambo.
Tatizo harmo ni jina tu lakini ukija kwenye sekta zingine kisanaa anapwaya. Hicho ndo kitu WCB iliweza kucheza nacho, sasa new management kazi wanayo maana ni rahisi kuipandisha brand ya Ruby kuliko ya Harmo. Kama unaelewa ni nini namaanishaNdo kitu ambacho nimekuwa nikiwaambia watu hicho! Thamani ya Harmonize pale alipo ni zaidi ya 500M! Na nina uhakika kama WCB wangefahamu in advance kwamba Harmonize angefikia level zile basi mkataba wake ungemtaka kuuvunja kwa zaidi ya hiyo 500M kwa sababu thamani yake ni kubwa maradufu, labda management yake mpya ndo ichemshe ku-maintain na kuongeza status yake!
Let me tell you something! Harmonize sio Mpumbavu ingawaje anaweza kuwa mjinga!! Sio mpumbavu kwa sababu wakati yupo WCB alikuwa anafahamu thamani ya shows zake! Kwa maana hiyo, kwa kuangalia thamani ya shows zake TU bila kuangalia issues zingine kama endorsement, tayari alishafahamu idadi fulani ya shoo zake zinaweza kabisa kufidia hiyo 500M.500 million cash ukiambiwa uikohoe mara moja na kwa mkupuo ni pesa mingi aisee kwa msanii wa bongo aliyeajiriwa. Labda sio mingi kwa Mondi, ila kwa Konde boy ndio unaona imebidi auze mali na bado anahaha tu.
Unaenda mahakamani, unashindwa ..wanaongeza mil 100 juu kama usumbufu na gharama za caseHuyu dawa yake aende mahakamani aka u-chalenge huo mkataba...
kwamba hakuuelewa.....
hakufafanuliwa...
pili alikuwa haimudu lugha ya kingereza vizuri wakati anasainishwa mkataba...
mkataba gani huo?
jela tupu hapo