Je, Harmonize alifanya uamuzi sahihi kuuza nyumba zake 3 katika harakati za kujitoa WCB? Wewe ungefanyaje?

Tatizo harmo ni jina tu lakini ukija kwenye sekta zingine kisanaa anapwaya. Hicho ndo kitu WCB iliweza kucheza nacho, sasa new management kazi wanayo maana ni rahisi kuipandisha brand ya Ruby kuliko ya Harmo. Kama unaelewa ni nini namaanisha
Nimekuelewa sana, tena kwa HERUFI KUBWA kwa sababu hicho unachoongea nimeshakisema sana, tena sana siku za nyuma!! Nimeshasema sana ni namna gani kama si WCB mtu kama Harmonize asingeweza kuchomoza hata mbele ya mtu kama Mario!! Leo hii mtu kama Aslay anaonekana si lolote si chochote mbele ya Harmonize wala si kwa sababu ya uwezo wa Harmonize binafsi bali kutokana na pale alipokuwa hapo kabla!
 
Tatizo harmo ni jina tu lakini ukija kwenye sekta zingine kisanaa anapwaya. Hicho ndo kitu WCB iliweza kucheza nacho, sasa new management kazi wanayo maana ni rahisi kuipandisha brand ya Ruby kuliko ya Harmo. Kama unaelewa ni nini namaanisha
Sekta zipi anapwaya?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na kuna mtu alifikia hadi kusema kwamba Diamond anadaiwa mamilioni ya pesa na Harmonize na kwavile Diamond ameshindwa kulipa, basi kulikuwa na uwezekano mkubwa akawa amepewa shares pale Wasafi Media!!! Nikabaki kucheka tu!
 
Aslay anaimba sana yule mtoto jamani ila huyo marioo moyo wangu umegoma kumpokea kabisa kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wa Tanzania huwa mazwazwa, yaan kabisa umeamin kua ni kweli alikuwa na hizo nyumba, yaani nyie hamjawajua tuu bado wasanii wa Bongo kwa uongo.

Kwa jinsi wanavyopenda sifa hizo nyumba tungezijua, iweje ulishwe tango por nawee ukubali.
 
Aslay anaimba sana yule mtoto jamani ila huyo marioo moyo wangu umegoma kumpokea kabisa kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
Aslay habari nyingine ile lakini angalia leo hii, Harmonize ana thamani kubwa maradufu kumlinganisha na Aslay!!! Hata huyo Mario, labda hujamsikiliza vizuri tu au inawezekana tastes zake huzi-feel! But all in all, bado huwezi kumlinganisha Mario na Harmonize ambae kwangu namuona ni kama clone ya Diamond!!

Advantage ya Harmo kwa WCB ni kama aliyokuwa nayo Nandy kwa Clouds! Leo hii watu wanadiriki kumlinganisha Nandy na Ruby; are we serious?! Unamlimganisha vp Nandy na Ruby!! Lakini ukweli wenyewe ndo huo; Nandy ana thamani kubwa kuliko Ruby ingawaje Ruby ana uwezo mkubwa sana kumlinganisha na Nandy!!! Wakati Nandy ni mwanamuziki wa kutenegenezwa, Ruby ni natural born but still she's very far compared to Nandy linapokuja suala la uwezo binafsi!
 
wcb pia wametumia gharama kubwa sana mpaka alipo sasa..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hebu nipe dedication ya nyimbo ya marioo unayoikubali [emoji4][emoji4][emoji4]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bado nauli,kula na kulala...
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wa tz huwa mazwazwa ,yan kabisa umeamin kua ni kwel alikua na hzo nyumba,..yaan nyie hamjawajua tuu bado wasanii wa bongo kwa uongo,

Kwa jins wanavyopenda sifa hzo nyumba tungezijua,iweje ulishwe tango por nawee ukubali
Zwazwa mwenyewe!! Wewe una proof kwamba anadanganya? Au sababu artist fulani alidanganya ndio hata Harmo mwongo? Tunajua artists wengi wana-exagerate vitu au zile music videos kila kitu ni acting tu hawana hayo magari, nyumba, wala mademu wanaoringisha nao kwa music videos. Ila kwa Harmonize kati ya hizo 3... nyumba 1 hio ya ghorofa kajenga mwanzo mwisho, na hizo 2 alizinunua. Sitaki kusema zaidi ya hapo.
 
Hivi hawa wasanii kumbe bado kuna sehemu wanaendelea kutushika mimi mpk sasa sijaamini Hamornize aliuza nyumba ili awalipe wcb nilichokinote mimi ni wote wawili hamornize na wcb walikuwa wanadanganya uma tu mana kwa kumbukumbu zangu ile nyumba moja ya hamornize haijauzwa na mpk sasa yupo mlinzi analinda pale mivumoni na nyumba yenyewe haijaisha na hata hivyo harmonize angekua na nyumba 2 au 3 kwa hawa wasanii tunavyowajua watanzania wote tungeshajua mana kwa kupenda sifa hawa hawajambo ila ndio hivyo tena
 
Hicho kiwanja cha karibu na Madale aliachana na huo mradi wa ujenzi bro. Aliamua kufanya kwingine kwa ajili ya privacy zaidi. Shida ni kwamba kila mtu alijua kuhusu huo mjengo wa Mivumoni. Na pako remote kidogo. Unafikiria kwa tz yetu ingekuwa salama kwake? Alijifunza baada ya hapo kutotoa sana information kuhusu nyumba zake ili ku-maintain anonymity kwa usalama wake na privacy.
 
Je, unaamini kwa msanii kama Harmonize anaweza kulipwa 20M kwenye shoo?!
 
Inawezekana ila ww unaamini kuhusu kuwa alikuwa na nyumba 3 mana nakumbuka mwaka jana grobal walienda pale na wakamhoji mlinzi wa pale akasema hajui kama pameuzwa na akaulizwa babutale akasema hajui kuhusu harmonize kulipa 500mil je why babu tale akwepe swali hilo na huku tunajua WCB walivyo kiujumla inawezekana kweli hamornize alitakiwa kulipa ila sio hiyo 500mil kwa sisi tuliowazoea wasanii hatuwezi kushangaa kuongopa.
 
Je, unaamini kwa msanii kama Harmonize anaweza kulipwa 20M kwenye shoo?!
20M hata USD 10,000 haifiki? Sana tu. Akifanya shows nzuri including nje ya Tz atatengeneza $$$ nzuri sana.
 
Nasema hivi,mim nina uthibitisho..rafik yangu ni mpiga picha wa hao majamaa kwa taarifa yako,hata hilo bifu .harmo kuhama ni made up saga,..hata hyo hamo kumpa platnmuz 500mil,..si kwel,..ila hamo ndo anajenga sasa hiv mjengo
 
Nasema hivi,mim nina uthibitisho..rafik yangu ni mpiga picha wa hao majamaa kwa taarifa yako,hata hilo bifu .harmo kuhama ni made up saga,..hata hyo hamo kumpa platnmuz 500mil,..si kwel,..ila hamo ndo anajenga sasa hiv mjengo
Duh! Eti kuhama ni made-up saga!! Ili kiwe nini?! Si ajabu utasema ili kummaliza Kiba!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…