Niliamua kumtajia kiwango cha chini ili aone ni namna gani jambo kama hilo linavyowezekana pasipo na kokoro! Unajua bado watu wanaichukulia poa sana Bongo Flavor!!!20M hata USD 10,000 haifiki? Sana tu. Akifanya shows nzuri including nje ya Tz atatengeneza $$$ nzuri sana.
Mkuu nakubaliana na ww kwa 100% adse. Uhuru ni Jambo la muhimu Sana ni vile watu hawajui haki yao ya kimsingi hiyo ya kuwa huru wengi wanaishi kwa utumwa.Hakuna kitu kikubwa maishani kama kuwa huru haijalishi kwa gharama kiasi gani!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] bestnaso mbona mnamchukulia pouwaHata Bestnaso yupo huru ila Rayvanny hayupo huru.
Inategemea sio kila uhuru mtamu
Sent using Jamii Forums mobile app
Talent kubwa na Haiba ya kisanii..hivi ni vitu major ambavyo hana ila WCB walijitahidi sana kumpush
Marioo ni average singer ila lyrical genius. Ana kipaji kikubwa sana cha kutunga. Binafsi yangu huwa sisikilizi wimbo kwa sababu upo mainstream ila huyu jamaa wimbo wa inatosha na Raha ndio zilinifanya nimkubaliAslay anaimba sana yule mtoto jamani ila huyo marioo moyo wangu umegoma kumpokea kabisa kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaaaaaa hata hii issue ya Harmo bado nina doubt kama ipo real kwa asilimia zoteWa tz huwa mazwazwa ,yan kabisa umeamin kua ni kwel alikua na hzo nyumba,..yaan nyie hamjawajua tuu bado wasanii wa bongo kwa uongo,
Kwa jins wanavyopenda sifa hzo nyumba tungezijua,iweje ulishwe tango por nawee ukubali
Hivi kwanini mnaona 500M ni pesa nyingi sana?! Hivi umeshawahi kujiuliza nyimbo zote za Harmonize zina thamani gani?! Tena hapa usisahau jamaa kipindi cha nyuma video production walikuwa wanafanyia nje ya nchi; na walikuwa wanatoka Bongo kwa kundi!! Piga hesabu za tickets, hotels hata kama tu-assume walikuwa wanalala mchongoma, ingiza gharama za kumlipa video director n.k! Hivi unadhani ngoma moja itagharibu bei gani hapo hasa ukizingatia hata locations in most cases unalipia! Magari unalipia! Nini sijui na nini, unalipia! Chukua hizo gharama kwa wimbo mmoja halafu uangalie na idadi ya nyimbo alizofanya Harmonize!Inawezekana ila ww unaamini kuhusu kuwa alikuwa na nyumba 3 mana nakumbuka mwaka jana grobal walienda pale na wakamhoji mlinzi wa pale akasema hajui kama pameuzwa na akaulizwa babutale akasema hajui kuhusu harmonize kulipa 500mil je why babu tale akwepe swali hilo na huku tunajua wcb walivyo kiujumla inawezekana kweli hamornize alitakiwa kulipa ila sio hiyo 500mil kwa sisi tuliowazoea wasanii hatuwezi kushangaa kuongopa
Tuna same taste kiasi.. hizo mbili za juu [emoji4]Nyimbo nazozikubali zaidi kwa Marioo ni pamoja na
1. RAHA
2. INATOSHA--
3. IFUNANYA-
Hizo 2 za juu ni kweli dogo alitulia!Tuna same taste kiasi.. hizo mbili za juu [emoji4]
Hiyo ni strategy ya kibiashara kuua ushindani na kutawala industry. Angalia Kusaga alichofanya kwa Wasafi media vs clouds na pia angalia makampuni mengi haswa mabasi, unakuta yana majina tofauti ila yanamilikiwa na mmiliki mmoja. Jifunze kiasi kuhusu saikolojia ya wateja maana business moguls dunia ndio hutumia kuuza biashara zaoDuh! Eti kuhama ni made-up saga!! Ili kiwe nini?! Si ajabu utasema ili kummaliza Kiba!!
Kwa mabasi hawana uhakika na branding strategy zao. Pia maajali nk bus line moja ikichafuka kama ndio hio tu unayo basi umekwisha. Kwa hio wanafanya kama insurance moja ikichafuka na kuanguka nyingine inaokoa jahazi. Asante kuendelea kuchangia mada Bwana EyceHiyo ni strategy ya kibiashara kuua ushindani na kutawala industry. Angalia Kusaga alichofanya kwa Wasafi media vs clouds na pia angalia makampuni mengi haswa mabasi, unakuta yana majina tofauti ila yanamilikiwa na mmiliki mmoja. Jifunze kiasi kuhusu saikolojia ya wateja maana business moguls dunia ndio hutumia kuuza biashara zao
Daah hivi upo serious au ndio bando lako tusikupangie cha kuandika.Huyu dawa yake aende mahakamani aka u-chalenge huo mkatabam kwamba hakuuelewa, hakufafanuliwa. Pili alikuwa haimudu lugha ya kingereza vizuri wakati anasainishwa mkataba. Mkataba gani huo? Jela tupu hapo.
Sometimes kisheria hata details za mkataba wa kuachana sio vizuri kuuweka hadharani kama alivyofanya Harmo. Inaweza ikaja kuku-cost mbeleni. Wengine kama babu tale nk hawapendi sana kuongelea hayo masuala ya kiofisi sababu yanatakiwa kuongelewa na mtu mwenye ruhusa na mamlaka ya kufanya hivyo. Huoni hata Mondi tu mwenyewe haongelei details za mkataba wa kuachana?Inawezekana ila ww unaamini kuhusu kuwa alikuwa na nyumba 3 mana nakumbuka mwaka jana grobal walienda pale na wakamhoji mlinzi wa pale akasema hajui kama pameuzwa na akaulizwa babutale akasema hajui kuhusu harmonize kulipa 500mil je why babu tale akwepe swali hilo na huku tunajua WCB walivyo kiujumla inawezekana kweli hamornize alitakiwa kulipa ila sio hiyo 500mil kwa sisi tuliowazoea wasanii hatuwezi kushangaa kuongopa.
Wew wa mkoan huwez elewa.hiv hujui bifu znatengenezwa ili kupiga pesa.hyo ni marketing strategy ,nenda kina tale wakakupe shule,.we hujiuliz wasaf na clouds CEO ni mmoja ila redio ni kama zna bifu,..we hukumwona kusaga anahojiwa na jonijo...wa mkoan buanaDuh! Eti kuhama ni made-up saga!! Ili kiwe nini?! Si ajabu utasema ili kummaliza Kiba!!
Una vituko sana ndugu yangu. Ila jokes zako ni nzuri pia tucheke kidogo ππππNasema hivi,mim nina uthibitisho..rafik yangu ni mpiga picha wa hao majamaa kwa taarifa yako,hata hilo bifu .harmo kuhama ni made up saga,..hata hyo hamo kumpa platnmuz 500mil,..si kwel,..ila hamo ndo anajenga sasa hiv mjengo
FACTLet me tell you something! Harmonize sio Mpumbavu ingawaje anaweza kuwa mjinga!! Sio mpumbavu kwa sababu wakati yupo WCB alikuwa anafahamu thamani ya shows zake! Kwa maana hiyo, kwa kuangalia thamani ya shows zake TU bila kuangalia issues zingine kama endorsement, tayari alishafahamu idadi fulani ya shoo zake zinaweza kabisa kufidia hiyo 500M.
Lakini nimesema anaweza kuwa mjinga kwa sababu inawezekana hakutafakari kwa makini na kujua kwanini thamani/bei ya shoo zake ilikuwa hivyo! Mosi, inawezekana hakuangalia kwamba WCB ni Brand kubwa sana kwenye music industry, na kwahiyo it's obvious bei ya show za wasanii wake lazima itakuwa kubwa tu! Pili, inawezekana hakutafakari kwa makini na kujua WCB kuna negotiators wazuri wanaohakikisha Wateja wanalipa bei mzuri kwa wasanii wao!!
Ni kutokana na hilo ndo maana nikasema thamani yake wakati yupo WCB ilikuwa maradufu kuliko hiyo 500M ukichanganya na nyimbo kadhaa zilizogharamiwa na WCB. Sasa changamoto ni kwa management yake kuendelea ku-maintain na kuikuza zaidi ile status yake aliyokuwa nayo kabla hajaondoka WCB. Kama hivi sasa wanatapata basi wameshindwa ku-maintain level yake aliyokuwa nayo pale WCB. Na kwa bahati mbaya sana, hilo sio tatizo la WCB bali ni la management yake!
Siku zote maishani MWAJIRIWA hana uhuru kabisa. Uhuru ni kwa watu waliofanikiwa sana katika makampuni waliyoyaanzisha. Kama alitaka uhuru, angeanzisha kampuni yake mwenyewe tokea mwanzo kama Mondi alivyoanzisha WCB lakini sio kusafiria nyota ya mwenzako halafu pia utake uhuru wakati huo huo. Mambo hayaendi hivyo kimaisha au kibiashara.Mkuu nakubaliana na ww kwa 100% adse ... Uhuru ni Jambo la muhimu Sana ni vile watu hawajui haki yao ya kimsingi hiyo ..ya kuwa huru ...wengi wanaishi kwa utumwa....
HUNA UNACHOJUA WEWE, kwahiyo piga kimya!!Wew wa mkoan huwez elewa.hiv hujui bifu znatengenezwa ili kupiga pesa.hyo ni marketing strategy ,nenda kina tale wakakupe shule,.we hujiuliz wasaf na clouds CEO ni mmoja ila redio ni kama zna bifu,..we hukumwona kusaga anahojiwa na jonijo...wa mkoan buana
Very true. Hata kwa lugha ya kizungu wanasema Time Will TellPigeni kelele ila muda utaongea tu,uzuri mziki wa hivi sasa upo wazi,mtajua kama kapanda au kashuka ni swala la muda.