Ndio shida ya kuwa na watoto wa shule kwenye jukwaa moja madhara yake ndioUmeelewa hicho kilichoandikwa kwenye hiyo 'list' uliyoweka?
Huu ni mwaka wa ngapi mnasema mondi kaisha kimzikiDomo kajiaribia mwenyewe na kiki zake za kibwabwa none take him serious
MKUU HUYO JAMAA HANA AKILI NZURIWewe ulichojibu na alichoandika sinza pazuri ni tofauti mwenzako kaonesha list ya wasanii wa Africa waliofanya vizuri mwaka 2021 wewe unaonesha list ya wasanii matajiri Africa uoni hapa kama unaongozwa na chuki badala ya hoja
Hizo takwimu naona zina ukakasi.. Ni kweli 2face ni mkubwa lkn kwa 2021 kimziki hata level za Mr Flavor yule wa kuimba Baby Nayoka hagusiView attachment 2278824
View attachment 2278825
View attachment 2278870
View attachment 2278871
Endeleeni kutumia jina la Diamond kutafuta ukubwa.
Bado watoto sana tena sana hata nusu yake hamfikii.
Haya nimewaachia kelele zenu tushazizoea siku hizi hata hazisisimui.
hata diamond amewahi kushindanishwa na akina TID na MR NICE[emoji16][emoji16][emoji16]ikaonekana kama utani sana kufanya hivyo,leo hii ni habari nyingine.View attachment 2278824
View attachment 2278825
View attachment 2278870
View attachment 2278871
Endeleeni kutumia jina la Diamond kutafuta ukubwa.
Bado watoto sana tena sana hata nusu yake hamfikii.
Haya nimewaachia kelele zenu tushazizoea siku hizi hata hazisisimui.
Labda Diamond wa buzaJe diamond platinum kapotezwa na Harmonize.. au bado..
piga kura
Hakuna msanii wakifikia diamond sijaona diamond amejitengenezea brand kubwa Sana kimauzo lakini pia ni msanii ambaye anamashabiki wengi Sana diamond akiamua kufanya kiki machawa wake na wafuasi wake watasambaza mtandaoni lakini pia kituo chake Cha media kitafanya hivyo mfano hapo juzi juzi alitengeneza kiki ya ndoa angalia ilivyotrendi sio tu Tanzania mpaka baadhi ya nchi za Africa kenya,Zambia, Rwanda,Ghana na hadi blog za nigeria zilireport hiyo taarifa mwisho wa siku kumbe amepata ubalozi wa airtel hiyo ndio tofauti yake na wasanii wengine huyo harmonize anajitahidi kwenye kufanya kiki ila tofauti yake na diamond ni Moja diamond anafanya kiki kubwa na kazi zake zinaenda mjini ukija kwenye digital platforms Diamond ataongoza Tena kwa tofauti kubwa kuanzia Youtube, sportfy, audio mack ukija kwenye show diamond mpaka sasa ndio msanii mwenye show nyingi kuliko msanii yoyote Huu mwaka kashafanya shows 6 Moja Mwanza nyingine zote nje ya nchi Ivory coast, usa, Uingereza, Senegal na kwenye platform ya Grammy wakati huyo harmonize kafanya show 1 tu pale Kenya nakashindwa kujaza watu hata mwaka jana tu harmonize kashindwa kupata hata show 1 ya nje, kwa hiyo gap unapata ujasiri gani wa kusema anampita Diamond au kumlinganisha nae? Msanii pekee kwangu nilimuona alimchallenge Diamond ni Alikiba alienda nae sambamba ila ndio hivyo kaishia njianihata diamond amewahi kushindanishwa na akina TID na MR NICE[emoji16][emoji16][emoji16]ikaonekana kama utani sana kufanya hivyo,leo hii ni habari nyingine.
harmonize kwa hatua aliyofikia sasa hivi,kumlinganisha na diamond hakuna anashtuka,maana hawapishani kama ilivyokuwa yeye akitajwa na akina nature.na kama atakuwa hivi mwaka mmoja tu,diamond tutakuwa tunamuona kwenye rolls royce tu.
so watu wa usafini acheni roho za kutu,mond kafanikiwa sana ila sio kwamba hatakiwi mwingine kufika au kupita alipo.
Rudi shule teyari shule zimefunguliwaJe diamond platinum kapotezwa na Harmonize.. au bado..
piga kura
Unaweza ukashangaa mtoa mada ni baba kabisa mwenye ndevu zake na ameoa na pia ana watotoTafuta hela wewe...
Harmonize bado anachechemea Sana yupo nyuma kimauzo mtandaonihata diamond amewahi kushindanishwa na akina TID na MR NICE[emoji16][emoji16][emoji16]ikaonekana kama utani sana kufanya hivyo,leo hii ni habari nyingine.
harmonize kwa hatua aliyofikia sasa hivi,kumlinganisha na diamond hakuna anashtuka,maana hawapishani kama ilivyokuwa yeye akitajwa na akina nature.na kama atakuwa hivi mwaka mmoja tu,diamond tutakuwa tunamuona kwenye rolls royce tu.
so watu wa usafini acheni roho za kutu,mond kafanikiwa sana ila sio kwamba hatakiwi mwingine kufika au kupita alipo.
Mind your fckn businesspiga kura
TID na Mr NICE karudie home work yako,haya mambo ya kushindanishwa hasa kwa wasanii wa kuimba yalianza kwa Kiba kipindi alipo taka kurudi baada ya kuachana na jimama lake Madam Rita.hata diamond amewahi kushindanishwa na akina TID na MR NICE[emoji16][emoji16][emoji16]ikaonekana kama utani sana kufanya hivyo,leo hii ni habari nyingine.
harmonize kwa hatua aliyofikia sasa hivi,kumlinganisha na diamond hakuna anashtuka,maana hawapishani kama ilivyokuwa yeye akitajwa na akina nature.na kama atakuwa hivi mwaka mmoja tu,diamond tutakuwa tunamuona kwenye rolls royce tu.
so watu wa usafini acheni roho za kutu,mond kafanikiwa sana ila sio kwamba hatakiwi mwingine kufika au kupita alipo.
mond kaanza kushindanishwa na kiba muda tu,mimi nazungumzia pesa na mafanikio,upo wakati alihisiwa kuwa na pesa watu wakabeza wakiwataja mr nice na TID nk,lakini leo hakuna ubishi,sasa utakuwa ni upumbavu kuamini harmonize hawezi kumvuka diamond kisa mond kaanza kupata pesa kitambo.TID na Mr NICE karudie home work yako,haya mambo ya kushindanishwa hasa kwa wasanii wa kuimba yalianza kwa Kiba kipindi alipo taka kurudi baada ya kuachana na jimama lake Madam Rita.
ni kweli hazipo.Hata humu JF hamna thread za Mondi vs TID & Mr Nice
acheni unafiki bana,mond ameshikwa mkono na kaanza kuvimba kukataa unyonyaji baada ya kuona anaweza kusimama akaenda,kwanini mnataka kuaminisha watu alishindana na wabaya wake akiwa bado kinda!!!ili apewe sifa asizostahili ama?.Na hamna anaye mzuia mtu kufanikiwa ni bidii zako na uwekezaji wako
usimzungumzie mond huyu anayejiita simba,mzungumzie yule rais wa wasafi,halafu zungumzia kunyimwa airtime ndio tutakuelewa.usifanye mchezo na kuzimiwa tochi wewe., Mondi mpaka kasimama hapo kanyimwa airtime kwenye maredio,
hapa sasa unamtaja diamond mkubwa kabisa,ambaye ana nguvu tayari,sawa na huyu harmonize useme eti sasa hivi ananyimwa airtime,itawezekanaje mtu ni mkubwa tayari kuliko media yoyote!!!wasanii wenzake walikatazwa kufanya show za Wasafi na Wengine kufanya intv na Wasafi fm&TV siku , katumia hela kushoot video UK,US,South Africa na UK.
nani sasa hapati airtime hapa!!mond ni wa kupewa airtime huyu?? aliishatoka huko toka 2014.Ukiwa upo vizuri NUMBER zitaongea. Sasa msanii ambaye hapati airtime ya kutosha kwenye maredio anawabania vipi wenzake?
hatuiti kubana ni mambo ya kibiashara tu,wewe unanyanyuliwaje bure??Fitina wanafanya Wanaijeria japo wanajua ila Wanaija wanajua kubana na ndio maana hamna kitu kigumu kama kutoboa kimataifa, Mnaijeria kufanya nae Collabo lazima umlipe na nyimbo yako haipost kwenye page zake za social networks
watu wanataka matokeo ya kupambana kwake vita,kama bado wasanii wakiitwa nje anaimbia sebureni,atapigiwa makofi kwa kununua gari kubwa tu na si kingine.. Mondi mpeni heshima yake vita yake kapambana peke yake na anajua kulazimisha yy kama yy pamoja Industry ya Bongo ishamtenga miaka zaidi ya mitano.
kuna fitna na biashara,sisi wabongo tunapenda sana kubebwa kwenye maslahi,sasa wenzetu hawana hiyo mambo.Huko Trace,MTV, BET waejaa wanaijeria kama madecision maker wa playlist, wiki mbili zilizo pita nilikuwa nipo likizo so mda mwingi nilikuwa natizama MTV Base zaidi ya 50% ni nyimbo zao,nyengine mbovu.
kutoboa masoko ya watu kwa aina ya muziki wa nchi nyingine ni kazi sana,fanyeni biashara hapa bongo inatosha.Kutoboa kimataifa lazima uwe na roho ya chuma na ndio maana Shatta Wale aliwaambia wa Nigeria tabia zao za kuwabania wasanii wengine.
Wasanii wengi wa kibongo wanavuma sana TZ ila wavivu na wabahili kutafuta masoko ya nje na kujua yana hitaji nini, husimuone Mondi kupiga show zaidi ya 95% ya nchi zilizo kusini mwa jangwa la Sahara ukazani kazi ndogo.
Mfank Mario kwa mwaka jana na mwaka huu yy ndiye aliishika TZ yaani kwa kifupi TZ Mario kishamaliza ,ila sasa ile akili na ujasiri wa kutanua wigo wa mziki wake hata kwa East Africa hana,ila ndani dogo anakimbiza.
Kwanza kuna sehemu tunasema hajashikwa mkono mbona kwenye show yake ya miaka kumi aliwa shukuru Papa Misifa na BOB Junior. Ila level za kimataifa Mondi alishikwa mkono na Sallam ila SIO BURE ,collabo yake na Davido,Sallam alitaka dollar 5000 ili amuunganishe na bado hizi Collabo na Neyo,Rick Ross hela zimemtoka kutoka mfukoni mwake so jamaa amefight mwenyewe kwa hela yake kuleta mafaniko yake.mond kaanza kushindanishwa na kiba muda tu,mimi nazungumzia pesa na mafanikio,upo wakati alihisiwa kuwa na pesa watu wakabeza wakiwataja mr nice na TID nk,lakini leo hakuna ubishi,sasa utakuwa ni upumbavu kuamini harmonize hawezi kumvuka diamond kisa mond kaanza kupata pesa kitambo.
ni kweli hazipo.
acheni unafiki bana,mond ameshikwa mkono na kaanza kuvimba kukataa unyonyaji baada ya kuona anaweza kusimama akaenda,kwanini mnataka kuaminisha watu alishindana na wabaya wake akiwa bado kinda!!!ili apewe sifa asizostahili ama?
usimzungumzie mond huyu anayejiita simba,mzungumzie yule rais wa wasafi,halafu zungumzia kunyimwa airtime ndio tutakuelewa.usifanye mchezo na kuzimiwa tochi wewe.
hapa sasa unamtaja diamond mkubwa kabisa,ambaye ana nguvu tayari,sawa na huyu harmonize useme eti sasa hivi ananyimwa airtime,itawezekanaje mtu ni mkubwa tayari kuliko media yoyote!!!
nani sasa hapati airtime hapa!!mond ni wa kupewa airtime huyu?? aliishatoka huko toka 2014.
hatuiti kubana ni mambo ya kibiashara tu,wewe unanyanyuliwaje bure??
davido aliishahojiwa akasema nyimbo zake zinaimbwa na wazungu maana hulipa mpaka $2500 kwa DJ wa majuu kupiga track zake,sasa kwa kupasuka huku aje akubebe wewe tu kizembe upitie mgongo wake!!!,sio mbinguni hapa.
watu wanataka matokeo ya kupambana kwake vita,kama bado wasanii wakiitwa nje anaimbia sebureni,atapigiwa makofi kwa kununua gari kubwa tu na si kingine.
kuna fitna na biashara,sisi wabongo tunapenda sana kubebwa kwenye maslahi,sasa wenzetu hawana hiyo mambo.
kutoboa masoko ya watu kwa aina ya muziki wa nchi nyingine ni kazi sana,fanyeni biashara hapa bongo inatosha.
Sijaona msanii yoyote kwa hawa waliopo anayeweza kumfikia Diamond labda diamond mwenyewe afeli yeye kama yeye au aache mziki.Diamond kawazidi Sana wasanii wenzake kwenye upande wa mentality asilimia kubwa ya wasanii wa ndani wamelizika na soko la ndani ndio maana hata huyo harmonize hana hata show 1 ya nje ukitoa Kenya labda na congo ambako kashindwa kupata idadi kubwa ya watu , Mondi mpaka sasa kafanya shows asilimia 95 karibia nchi zote za Africa kasoro Africa kasikazini kwa Waarabu hapa juzi tu kafanya show uwanjani ivory coast level ya diamond ni kubwa Sana na ni msanii hard worker kitu ambacho wasanii wengi hawana mfano Alikiba alikuwa ana nafasi kubwa ya kufanya vizuri kimataifa ila kwa uzembe wake kabaki hapo hapo na karudi nyuma kwa hatua kubwa.Mondi kawekeza Sana Kwenye Media, Wasafi bet, na sasa anarekebisha hotel yake aliyonunua mikocheni iwe ya nyota tano ukitoa mambo mengi diamond ni balozi wa makampuni makubwa mengi hapa nchini na nje ya nchi na kingine ambacho ni kikubwa ambacho kinambeba Sana Diamond ni kitendo chakuwa na die hard fans wengi wanajulikana kama wafuasi wake kitu ambacho wasanii wengi walikuwa maarufu kipindi Cha nyuma kama TID, MR Nice n.k walikuwa hawana.Diamond asitokea wimbo wowote kwa mwaka mzima lakini ataendelea kupata shows na atajaza kama kawaida kama vile katoa nyimbo.mond kaanza kushindanishwa na kiba muda tu,mimi nazungumzia pesa na mafanikio,upo wakati alihisiwa kuwa na pesa watu wakabeza wakiwataja mr nice na TID nk,lakini leo hakuna ubishi,sasa utakuwa ni upumbavu kuamini harmonize hawezi kumvuka diamond kisa mond kaanza kupata pesa kitambo.
ni kweli hazipo.
acheni unafiki bana,mond ameshikwa mkono na kaanza kuvimba kukataa unyonyaji baada ya kuona anaweza kusimama akaenda,kwanini mnataka kuaminisha watu alishindana na wabaya wake akiwa bado kinda!!!ili apewe sifa asizostahili ama?
usimzungumzie mond huyu anayejiita simba,mzungumzie yule rais wa wasafi,halafu zungumzia kunyimwa airtime ndio tutakuelewa.usifanye mchezo na kuzimiwa tochi wewe.
hapa sasa unamtaja diamond mkubwa kabisa,ambaye ana nguvu tayari,sawa na huyu harmonize useme eti sasa hivi ananyimwa airtime,itawezekanaje mtu ni mkubwa tayari kuliko media yoyote!!!
nani sasa hapati airtime hapa!!mond ni wa kupewa airtime huyu?? aliishatoka huko toka 2014.
hatuiti kubana ni mambo ya kibiashara tu,wewe unanyanyuliwaje bure??
davido aliishahojiwa akasema nyimbo zake zinaimbwa na wazungu maana hulipa mpaka $2500 kwa DJ wa majuu kupiga track zake,sasa kwa kupasuka huku aje akubebe wewe tu kizembe upitie mgongo wake!!!,sio mbinguni hapa.
watu wanataka matokeo ya kupambana kwake vita,kama bado wasanii wakiitwa nje anaimbia sebureni,atapigiwa makofi kwa kununua gari kubwa tu na si kingine.
kuna fitna na biashara,sisi wabongo tunapenda sana kubebwa kwenye maslahi,sasa wenzetu hawana hiyo mambo.
kutoboa masoko ya watu kwa aina ya muziki wa nchi nyingine ni kazi sana,fanyeni biashara hapa bongo inatosha.
usimalize maneno yote ndugu yangu.music umebadilika sana.Sijaona msanii yoyote kwa hawa waliopo anayeweza kumfikia Diamond labda diamond mwenyewe afeli yeye kama yeye au aache mziki.
soko la mziki wa diamond nje ya nchi ni kenya peke yake,wala usijidanganye kuna nchi nyingine anafanya maajabu,hata hapo uganda anapata changamoto wana sapoti vya kwao,sasa kama ni hapo kenya hata harmonize na alikiba wanafanya vyema tu.anawazidi kwa hatua ambazo zipo hata hapa ndani tz.Diamond kawazidi Sana wasanii wenzake kwenye upande wa mentality asilimia kubwa ya wasanii wa ndani wamelizika na soko la ndani ndio maana hata huyo harmonize hana hata show 1 ya nje ukitoa Kenya
kama kuna maisha sana na anaingiza hela nzuri asingekuwa anashinda madale hapo,kila siku angekuwa anatoka kufata hela africa tu kuna mataifa 53,ukitoa nigeria na congo mataifa 50 anawezakwenda kuchukua hela.kafanya kujaribu ila matokeo si kama unayoyaandika hapa.labda na congo ambako kashindwa kupata idadi kubwa ya watu , Mondi mpaka sasa kafanya shows asilimia 95 karibia nchi zote za Africa kasoro Africa kasikazini kwa Waarabu hapa juzi tu kafanya show uwanjani ivory coast level ya diamond
karudi nyuma!!!ni kubwa Sana na ni msanii hard worker kitu ambacho wasanii wengi hawana mfano Alikiba alikuwa ana nafasi kubwa ya kufanya vizuri kimataifa ila kwa uzembe wake kabaki hapo hapo na karudi nyuma kwa hatua kubwa
diamond hana diehard fans ana machawa,angalia app yake ya kununua nyimbo iliishia wapi!!.Mondi kawekeza Sana Kwenye Media, Wasafi bet, na sasa anarekebisha hotel yake aliyonunua mikocheni iwe ya nyota tano ukitoa mambo mengi diamond ni balozi wa makampuni makubwa mengi hapa nchini na nje ya nchi na kingine ambacho ni kikubwa ambacho kinambeba Sana Diamond ni kitendo chakuwa na die hard fans wengi wanajulikana kama wafuasi wake kitu ambacho wasanii wengi walikuwa maarufu kipindi Cha nyuma kama TID, MR Nice n.k walikuwa hawana.Diamond asitokea wimbo wowote kwa mwaka mzima lakini ataendelea kupata shows na atajaza kama kawaida kama vile katoa nyimbo.
Bro umenijibu kishabiki Sanausimalize maneno yote ndugu yangu.music umebadilika sana.
soko la mziki wa diamond nje ya nchi ni kenya peke yake,wala usijidanganye kuna nchi nyingine anafanya maajabu,hata hapo uganda anapata changamoto wana sapoti vya kwao,sasa kama ni hapo kenya hata harmonize na alikiba wanafanya vyema tu.anawazidi kwa hatua ambazo zipo hata hapa ndani tz.
kama kuna maisha sana na anaingiza hela nzuri asingekuwa anashinda madale hapo,kila siku angekuwa anatoka kufata hela africa tu kuna mataifa 53,ukitoa nigeria na congo mataifa 50 anawezakwenda kuchukua hela.kafanya kujaribu ila matokeo si kama unayoyaandika hapa.
karudi nyuma!!!
unamlinganishaje kiba wa 2012 na huyu wa leo??halafu mafanikio kwako nini nini labda?kila mtu ana vipaumbele vyake,ndio maana hata sasa haimbi kwa pupa au atembee na upepo unavyovuma no.
diamond hana diehard fans ana machawa,angalia app yake ya kununua nyimbo iliishia wapi!!
mimi sio shabiki maandazi,wa kumrukia jukwaani mond na kuegemea kifuani kwake.Bro umenijibu kishabiki Sana