Je, Harmonize kampoteza Diamond Platnumz?

View attachment 2278824

View attachment 2278825

View attachment 2278870

View attachment 2278871

Endeleeni kutumia jina la Diamond kutafuta ukubwa.

Bado watoto sana tena sana hata nusu yake hamfikii.

Haya nimewaachia kelele zenu tushazizoea siku hizi hata hazisisimui.
hata diamond amewahi kushindanishwa na akina TID na MR NICE[emoji16][emoji16][emoji16]ikaonekana kama utani sana kufanya hivyo,leo hii ni habari nyingine.

harmonize kwa hatua aliyofikia sasa hivi,kumlinganisha na diamond hakuna anashtuka,maana hawapishani kama ilivyokuwa yeye akitajwa na akina nature.na kama atakuwa hivi mwaka mmoja tu,diamond tutakuwa tunamuona kwenye rolls royce tu.

so watu wa usafini acheni roho za kutu,mond kafanikiwa sana ila sio kwamba hatakiwi mwingine kufika au kupita alipo.
 
Hakuna msanii wakifikia diamond sijaona diamond amejitengenezea brand kubwa Sana kimauzo lakini pia ni msanii ambaye anamashabiki wengi Sana diamond akiamua kufanya kiki machawa wake na wafuasi wake watasambaza mtandaoni lakini pia kituo chake Cha media kitafanya hivyo mfano hapo juzi juzi alitengeneza kiki ya ndoa angalia ilivyotrendi sio tu Tanzania mpaka baadhi ya nchi za Africa kenya,Zambia, Rwanda,Ghana na hadi blog za nigeria zilireport hiyo taarifa mwisho wa siku kumbe amepata ubalozi wa airtel hiyo ndio tofauti yake na wasanii wengine huyo harmonize anajitahidi kwenye kufanya kiki ila tofauti yake na diamond ni Moja diamond anafanya kiki kubwa na kazi zake zinaenda mjini ukija kwenye digital platforms Diamond ataongoza Tena kwa tofauti kubwa kuanzia Youtube, sportfy, audio mack ukija kwenye show diamond mpaka sasa ndio msanii mwenye show nyingi kuliko msanii yoyote Huu mwaka kashafanya shows 6 Moja Mwanza nyingine zote nje ya nchi Ivory coast, usa, Uingereza, Senegal na kwenye platform ya Grammy wakati huyo harmonize kafanya show 1 tu pale Kenya nakashindwa kujaza watu hata mwaka jana tu harmonize kashindwa kupata hata show 1 ya nje, kwa hiyo gap unapata ujasiri gani wa kusema anampita Diamond au kumlinganisha nae? Msanii pekee kwangu nilimuona alimchallenge Diamond ni Alikiba alienda nae sambamba ila ndio hivyo kaishia njiani
 
hata diamond amewahi kushindanishwa na akina TID na MR NICE[emoji16][emoji16][emoji16]ikaonekana kama utani sana kufanya hivyo,leo hii ni habari nyingine.

harmonize kwa hatua aliyofikia sasa hivi,kumlinganisha na diamond hakuna anashtuka,maana hawapishani kama ilivyokuwa yeye akitajwa na akina nature.na kama atakuwa hivi mwaka mmoja tu,diamond tutakuwa tunamuona kwenye rolls royce tu.

so watu wa usafini acheni roho za kutu,mond kafanikiwa sana ila sio kwamba hatakiwi mwingine kufika au kupita alipo.
Harmonize bado anachechemea Sana yupo nyuma kimauzo mtandaoni
 
hata diamond amewahi kushindanishwa na akina TID na MR NICE[emoji16][emoji16][emoji16]ikaonekana kama utani sana kufanya hivyo,leo hii ni habari nyingine.

harmonize kwa hatua aliyofikia sasa hivi,kumlinganisha na diamond hakuna anashtuka,maana hawapishani kama ilivyokuwa yeye akitajwa na akina nature.na kama atakuwa hivi mwaka mmoja tu,diamond tutakuwa tunamuona kwenye rolls royce tu.

so watu wa usafini acheni roho za kutu,mond kafanikiwa sana ila sio kwamba hatakiwi mwingine kufika au kupita alipo.
TID na Mr NICE karudie home work yako,haya mambo ya kushindanishwa hasa kwa wasanii wa kuimba yalianza kwa Kiba kipindi alipo taka kurudi baada ya kuachana na jimama lake Madam Rita.

Hata humu JF hamna thread za Mondi vs TID & Mr Nice.Na hamna anaye mzuia mtu kufanikiwa ni bidii zako na uwekezaji wako, Mondi mpaka kasimama hapo kanyimwa airtime kwenye maredio,wasanii wenzake walikatazwa kufanya show za Wasafi na Wengine kufanya intv na Wasafi fm&TV siku , katumia hela kushoot video UK,US,South Africa na UK.

Ukiwa upo vizuri NUMBER zitaongea. Sasa msanii ambaye hapati airtime ya kutosha kwenye maredio anawabania vipi wenzake?

Fitina wanafanya Wanaijeria japo wanajua ila Wanaija wanajua kubana na ndio maana hamna kitu kigumu kama kutoboa kimataifa, Mnaijeria kufanya nae Collabo lazima umlipe na nyimbo yako haipost kwenye page zake za social networks. Mondi mpeni heshima yake vita yake kapambana peke yake na anajua kulazimisha yy kama yy pamoja Industry ya Bongo ishamtenga miaka zaidi ya mitano. Huko Trace,MTV, BET waejaa wanaijeria kama madecision maker wa playlist, wiki mbili zilizo pita nilikuwa nipo likizo so mda mwingi nilikuwa natizama MTV Base zaidi ya 50% ni nyimbo zao,nyengine mbovu.

Kutoboa kimataifa lazima uwe na roho ya chuma na ndio maana Shatta Wale aliwaambia wa Nigeria tabia zao za kuwabania wasanii wengine.

Wasanii wengi wa kibongo wanavuma sana TZ ila wavivu na wabahili kutafuta masoko ya nje na kujua yana hitaji nini, husimuone Mondi kupiga show zaidi ya 95% ya nchi zilizo kusini mwa jangwa la Sahara ukazani kazi ndogo.

Mfank Mario kwa mwaka jana na mwaka huu yy ndiye aliishika TZ yaani kwa kifupi TZ Mario kishamaliza ,ila sasa ile akili na ujasiri wa kutanua wigo wa mziki wake hata kwa East Africa hana,ila ndani dogo anakimbiza.
 
TID na Mr NICE karudie home work yako,haya mambo ya kushindanishwa hasa kwa wasanii wa kuimba yalianza kwa Kiba kipindi alipo taka kurudi baada ya kuachana na jimama lake Madam Rita.
mond kaanza kushindanishwa na kiba muda tu,mimi nazungumzia pesa na mafanikio,upo wakati alihisiwa kuwa na pesa watu wakabeza wakiwataja mr nice na TID nk,lakini leo hakuna ubishi,sasa utakuwa ni upumbavu kuamini harmonize hawezi kumvuka diamond kisa mond kaanza kupata pesa kitambo.
Hata humu JF hamna thread za Mondi vs TID & Mr Nice
ni kweli hazipo.
.Na hamna anaye mzuia mtu kufanikiwa ni bidii zako na uwekezaji wako
acheni unafiki bana,mond ameshikwa mkono na kaanza kuvimba kukataa unyonyaji baada ya kuona anaweza kusimama akaenda,kwanini mnataka kuaminisha watu alishindana na wabaya wake akiwa bado kinda!!!ili apewe sifa asizostahili ama?
, Mondi mpaka kasimama hapo kanyimwa airtime kwenye maredio,
usimzungumzie mond huyu anayejiita simba,mzungumzie yule rais wa wasafi,halafu zungumzia kunyimwa airtime ndio tutakuelewa.usifanye mchezo na kuzimiwa tochi wewe.
wasanii wenzake walikatazwa kufanya show za Wasafi na Wengine kufanya intv na Wasafi fm&TV siku , katumia hela kushoot video UK,US,South Africa na UK.
hapa sasa unamtaja diamond mkubwa kabisa,ambaye ana nguvu tayari,sawa na huyu harmonize useme eti sasa hivi ananyimwa airtime,itawezekanaje mtu ni mkubwa tayari kuliko media yoyote!!!
Ukiwa upo vizuri NUMBER zitaongea. Sasa msanii ambaye hapati airtime ya kutosha kwenye maredio anawabania vipi wenzake?
nani sasa hapati airtime hapa!!mond ni wa kupewa airtime huyu?? aliishatoka huko toka 2014.
Fitina wanafanya Wanaijeria japo wanajua ila Wanaija wanajua kubana na ndio maana hamna kitu kigumu kama kutoboa kimataifa, Mnaijeria kufanya nae Collabo lazima umlipe na nyimbo yako haipost kwenye page zake za social networks
hatuiti kubana ni mambo ya kibiashara tu,wewe unanyanyuliwaje bure??
davido aliishahojiwa akasema nyimbo zake zinaimbwa na wazungu maana hulipa mpaka $2500 kwa DJ wa majuu kupiga track zake,sasa kwa kupasuka huku aje akubebe wewe tu kizembe upitie mgongo wake!!!,sio mbinguni hapa.
. Mondi mpeni heshima yake vita yake kapambana peke yake na anajua kulazimisha yy kama yy pamoja Industry ya Bongo ishamtenga miaka zaidi ya mitano.
watu wanataka matokeo ya kupambana kwake vita,kama bado wasanii wakiitwa nje anaimbia sebureni,atapigiwa makofi kwa kununua gari kubwa tu na si kingine.
Huko Trace,MTV, BET waejaa wanaijeria kama madecision maker wa playlist, wiki mbili zilizo pita nilikuwa nipo likizo so mda mwingi nilikuwa natizama MTV Base zaidi ya 50% ni nyimbo zao,nyengine mbovu.
kuna fitna na biashara,sisi wabongo tunapenda sana kubebwa kwenye maslahi,sasa wenzetu hawana hiyo mambo.
Kutoboa kimataifa lazima uwe na roho ya chuma na ndio maana Shatta Wale aliwaambia wa Nigeria tabia zao za kuwabania wasanii wengine.

Wasanii wengi wa kibongo wanavuma sana TZ ila wavivu na wabahili kutafuta masoko ya nje na kujua yana hitaji nini, husimuone Mondi kupiga show zaidi ya 95% ya nchi zilizo kusini mwa jangwa la Sahara ukazani kazi ndogo.
kutoboa masoko ya watu kwa aina ya muziki wa nchi nyingine ni kazi sana,fanyeni biashara hapa bongo inatosha.
Mfank Mario kwa mwaka jana na mwaka huu yy ndiye aliishika TZ yaani kwa kifupi TZ Mario kishamaliza ,ila sasa ile akili na ujasiri wa kutanua wigo wa mziki wake hata kwa East Africa hana,ila ndani dogo anakimbiza.
 
mond kaanza kushindanishwa na kiba muda tu,mimi nazungumzia pesa na mafanikio,upo wakati alihisiwa kuwa na pesa watu wakabeza wakiwataja mr nice na TID nk,lakini leo hakuna ubishi,sasa utakuwa ni upumbavu kuamini harmonize hawezi kumvuka diamond kisa mond kaanza kupata pesa kitambo.

ni kweli hazipo.

acheni unafiki bana,mond ameshikwa mkono na kaanza kuvimba kukataa unyonyaji baada ya kuona anaweza kusimama akaenda,kwanini mnataka kuaminisha watu alishindana na wabaya wake akiwa bado kinda!!!ili apewe sifa asizostahili ama?

usimzungumzie mond huyu anayejiita simba,mzungumzie yule rais wa wasafi,halafu zungumzia kunyimwa airtime ndio tutakuelewa.usifanye mchezo na kuzimiwa tochi wewe.

hapa sasa unamtaja diamond mkubwa kabisa,ambaye ana nguvu tayari,sawa na huyu harmonize useme eti sasa hivi ananyimwa airtime,itawezekanaje mtu ni mkubwa tayari kuliko media yoyote!!!

nani sasa hapati airtime hapa!!mond ni wa kupewa airtime huyu?? aliishatoka huko toka 2014.

hatuiti kubana ni mambo ya kibiashara tu,wewe unanyanyuliwaje bure??
davido aliishahojiwa akasema nyimbo zake zinaimbwa na wazungu maana hulipa mpaka $2500 kwa DJ wa majuu kupiga track zake,sasa kwa kupasuka huku aje akubebe wewe tu kizembe upitie mgongo wake!!!,sio mbinguni hapa.

watu wanataka matokeo ya kupambana kwake vita,kama bado wasanii wakiitwa nje anaimbia sebureni,atapigiwa makofi kwa kununua gari kubwa tu na si kingine.

kuna fitna na biashara,sisi wabongo tunapenda sana kubebwa kwenye maslahi,sasa wenzetu hawana hiyo mambo.

kutoboa masoko ya watu kwa aina ya muziki wa nchi nyingine ni kazi sana,fanyeni biashara hapa bongo inatosha.
Kwanza kuna sehemu tunasema hajashikwa mkono mbona kwenye show yake ya miaka kumi aliwa shukuru Papa Misifa na BOB Junior. Ila level za kimataifa Mondi alishikwa mkono na Sallam ila SIO BURE ,collabo yake na Davido,Sallam alitaka dollar 5000 ili amuunganishe na bado hizi Collabo na Neyo,Rick Ross hela zimemtoka kutoka mfukoni mwake so jamaa amefight mwenyewe kwa hela yake kuleta mafaniko yake.

Kwani Diamond amekataa kushindanishwa, haya mmeshindanisha then what?au msanii ana gain nini kwa kushindanishwa na Diamond?Matokeo yake mnajenga madaraja ambayo haya wasaidii wasanii.

Kwa hiyo ukishatoka tokea 2014 hustahili kupewa airtime au akina Wizkid hawastahili kupewa airtime manake ni wa long tokea hala at your boy 2011.Hivi leo hii Mario hasipopewa airtime, unahisi itakuwaje manake Mario first hit yake kaitoa miak 5 iliyopita na 2014 Mondi kwenye game ana miaka 5 tokea atoe first hit yake.

"watu wanataka matokeo ya kupambana kwake vita,kama bado wasanii wakiitwa nje anaimbia sebureni,atapigiwa makofi kwa kununua gari kubwa tu na si kingine."

Kuhusu matokea Mondi unataka afanye nini?Wakati kutwa wanamwita kashuka, akikupa mkono ana ondoka na nyota yako halafu kesho wanamwita mbinafsi sasa mtashirikiana vip bila kupena mikono au may be kuna njia ya wireless wanayoijua wao.

Kuhusu kufanya biashara hapa bongo ni sawa na kummaliza msanii tuu,bongo tunapenda bure hatusupport wasanii wetu hasa kwenye Digital Platforms.Mfano Mario bongo kishamaliza kuishika kuendelea kukomaa na soko hili ataishia kukopwa tu.

Mziki una hela sana nje ya nchi mfano Mondi moja ya nchi anayopiga hela ndefu ni Kenya,mpaka kuingia mkataba binafsi ya Kampuni kubwa ya Safaricom kibiashara ambalo lilikuwa deal kubwa mpaka wasanii Wakenya wakamaind, hiyo kwa Afrika ana deal na Itel kama brand Ambassador,bado shows nyingi ndani ya Africa na hii yote imetokana na kujitanua. Hawa akina Upendo Nkone, Rose Mwando wa napiga sana hela Kenya kuliko hata TZ kwa nyimbo zao kupigwa maredioni na mauzo kwenye Digital Platforms.

Kwa hiyo hata mtu akibisha Harmonize hawezi kumzidi Mondi kwa hela,neno lake ndio kweli litamzuia Harmonize hasimzidi Mondi kwa hela? Mimi naamini hela zina ongezeka kutoka na juhudi na mipango yako. Kama umeweka juhudi na una mipango mizuri, sio Diamond tu hata Bakheresa anaweza akamzidi.
 
mond kaanza kushindanishwa na kiba muda tu,mimi nazungumzia pesa na mafanikio,upo wakati alihisiwa kuwa na pesa watu wakabeza wakiwataja mr nice na TID nk,lakini leo hakuna ubishi,sasa utakuwa ni upumbavu kuamini harmonize hawezi kumvuka diamond kisa mond kaanza kupata pesa kitambo.

ni kweli hazipo.

acheni unafiki bana,mond ameshikwa mkono na kaanza kuvimba kukataa unyonyaji baada ya kuona anaweza kusimama akaenda,kwanini mnataka kuaminisha watu alishindana na wabaya wake akiwa bado kinda!!!ili apewe sifa asizostahili ama?

usimzungumzie mond huyu anayejiita simba,mzungumzie yule rais wa wasafi,halafu zungumzia kunyimwa airtime ndio tutakuelewa.usifanye mchezo na kuzimiwa tochi wewe.

hapa sasa unamtaja diamond mkubwa kabisa,ambaye ana nguvu tayari,sawa na huyu harmonize useme eti sasa hivi ananyimwa airtime,itawezekanaje mtu ni mkubwa tayari kuliko media yoyote!!!

nani sasa hapati airtime hapa!!mond ni wa kupewa airtime huyu?? aliishatoka huko toka 2014.

hatuiti kubana ni mambo ya kibiashara tu,wewe unanyanyuliwaje bure??
davido aliishahojiwa akasema nyimbo zake zinaimbwa na wazungu maana hulipa mpaka $2500 kwa DJ wa majuu kupiga track zake,sasa kwa kupasuka huku aje akubebe wewe tu kizembe upitie mgongo wake!!!,sio mbinguni hapa.

watu wanataka matokeo ya kupambana kwake vita,kama bado wasanii wakiitwa nje anaimbia sebureni,atapigiwa makofi kwa kununua gari kubwa tu na si kingine.

kuna fitna na biashara,sisi wabongo tunapenda sana kubebwa kwenye maslahi,sasa wenzetu hawana hiyo mambo.

kutoboa masoko ya watu kwa aina ya muziki wa nchi nyingine ni kazi sana,fanyeni biashara hapa bongo inatosha.
Sijaona msanii yoyote kwa hawa waliopo anayeweza kumfikia Diamond labda diamond mwenyewe afeli yeye kama yeye au aache mziki.Diamond kawazidi Sana wasanii wenzake kwenye upande wa mentality asilimia kubwa ya wasanii wa ndani wamelizika na soko la ndani ndio maana hata huyo harmonize hana hata show 1 ya nje ukitoa Kenya labda na congo ambako kashindwa kupata idadi kubwa ya watu , Mondi mpaka sasa kafanya shows asilimia 95 karibia nchi zote za Africa kasoro Africa kasikazini kwa Waarabu hapa juzi tu kafanya show uwanjani ivory coast level ya diamond ni kubwa Sana na ni msanii hard worker kitu ambacho wasanii wengi hawana mfano Alikiba alikuwa ana nafasi kubwa ya kufanya vizuri kimataifa ila kwa uzembe wake kabaki hapo hapo na karudi nyuma kwa hatua kubwa.Mondi kawekeza Sana Kwenye Media, Wasafi bet, na sasa anarekebisha hotel yake aliyonunua mikocheni iwe ya nyota tano ukitoa mambo mengi diamond ni balozi wa makampuni makubwa mengi hapa nchini na nje ya nchi na kingine ambacho ni kikubwa ambacho kinambeba Sana Diamond ni kitendo chakuwa na die hard fans wengi wanajulikana kama wafuasi wake kitu ambacho wasanii wengi walikuwa maarufu kipindi Cha nyuma kama TID, MR Nice n.k walikuwa hawana.Diamond asitokea wimbo wowote kwa mwaka mzima lakini ataendelea kupata shows na atajaza kama kawaida kama vile katoa nyimbo.
 
Sijaona msanii yoyote kwa hawa waliopo anayeweza kumfikia Diamond labda diamond mwenyewe afeli yeye kama yeye au aache mziki.
usimalize maneno yote ndugu yangu.music umebadilika sana.
Diamond kawazidi Sana wasanii wenzake kwenye upande wa mentality asilimia kubwa ya wasanii wa ndani wamelizika na soko la ndani ndio maana hata huyo harmonize hana hata show 1 ya nje ukitoa Kenya
soko la mziki wa diamond nje ya nchi ni kenya peke yake,wala usijidanganye kuna nchi nyingine anafanya maajabu,hata hapo uganda anapata changamoto wana sapoti vya kwao,sasa kama ni hapo kenya hata harmonize na alikiba wanafanya vyema tu.anawazidi kwa hatua ambazo zipo hata hapa ndani tz.
labda na congo ambako kashindwa kupata idadi kubwa ya watu , Mondi mpaka sasa kafanya shows asilimia 95 karibia nchi zote za Africa kasoro Africa kasikazini kwa Waarabu hapa juzi tu kafanya show uwanjani ivory coast level ya diamond
kama kuna maisha sana na anaingiza hela nzuri asingekuwa anashinda madale hapo,kila siku angekuwa anatoka kufata hela africa tu kuna mataifa 53,ukitoa nigeria na congo mataifa 50 anawezakwenda kuchukua hela.kafanya kujaribu ila matokeo si kama unayoyaandika hapa.
ni kubwa Sana na ni msanii hard worker kitu ambacho wasanii wengi hawana mfano Alikiba alikuwa ana nafasi kubwa ya kufanya vizuri kimataifa ila kwa uzembe wake kabaki hapo hapo na karudi nyuma kwa hatua kubwa
karudi nyuma!!!
unamlinganishaje kiba wa 2012 na huyu wa leo??halafu mafanikio kwako nini nini labda?kila mtu ana vipaumbele vyake,ndio maana hata sasa haimbi kwa pupa au atembee na upepo unavyovuma no.
.Mondi kawekeza Sana Kwenye Media, Wasafi bet, na sasa anarekebisha hotel yake aliyonunua mikocheni iwe ya nyota tano ukitoa mambo mengi diamond ni balozi wa makampuni makubwa mengi hapa nchini na nje ya nchi na kingine ambacho ni kikubwa ambacho kinambeba Sana Diamond ni kitendo chakuwa na die hard fans wengi wanajulikana kama wafuasi wake kitu ambacho wasanii wengi walikuwa maarufu kipindi Cha nyuma kama TID, MR Nice n.k walikuwa hawana.Diamond asitokea wimbo wowote kwa mwaka mzima lakini ataendelea kupata shows na atajaza kama kawaida kama vile katoa nyimbo.
diamond hana diehard fans ana machawa,angalia app yake ya kununua nyimbo iliishia wapi!!
 
usimalize maneno yote ndugu yangu.music umebadilika sana.

soko la mziki wa diamond nje ya nchi ni kenya peke yake,wala usijidanganye kuna nchi nyingine anafanya maajabu,hata hapo uganda anapata changamoto wana sapoti vya kwao,sasa kama ni hapo kenya hata harmonize na alikiba wanafanya vyema tu.anawazidi kwa hatua ambazo zipo hata hapa ndani tz.

kama kuna maisha sana na anaingiza hela nzuri asingekuwa anashinda madale hapo,kila siku angekuwa anatoka kufata hela africa tu kuna mataifa 53,ukitoa nigeria na congo mataifa 50 anawezakwenda kuchukua hela.kafanya kujaribu ila matokeo si kama unayoyaandika hapa.

karudi nyuma!!!
unamlinganishaje kiba wa 2012 na huyu wa leo??halafu mafanikio kwako nini nini labda?kila mtu ana vipaumbele vyake,ndio maana hata sasa haimbi kwa pupa au atembee na upepo unavyovuma no.

diamond hana diehard fans ana machawa,angalia app yake ya kununua nyimbo iliishia wapi!!
Bro umenijibu kishabiki Sana
 
Back
Top Bottom