mond kaanza kushindanishwa na kiba muda tu,mimi nazungumzia pesa na mafanikio,upo wakati alihisiwa kuwa na pesa watu wakabeza wakiwataja mr nice na TID nk,lakini leo hakuna ubishi,sasa utakuwa ni upumbavu kuamini harmonize hawezi kumvuka diamond kisa mond kaanza kupata pesa kitambo.
ni kweli hazipo.
acheni unafiki bana,mond ameshikwa mkono na kaanza kuvimba kukataa unyonyaji baada ya kuona anaweza kusimama akaenda,kwanini mnataka kuaminisha watu alishindana na wabaya wake akiwa bado kinda!!!ili apewe sifa asizostahili ama?
usimzungumzie mond huyu anayejiita simba,mzungumzie yule rais wa wasafi,halafu zungumzia kunyimwa airtime ndio tutakuelewa.usifanye mchezo na kuzimiwa tochi wewe.
hapa sasa unamtaja diamond mkubwa kabisa,ambaye ana nguvu tayari,sawa na huyu harmonize useme eti sasa hivi ananyimwa airtime,itawezekanaje mtu ni mkubwa tayari kuliko media yoyote!!!
nani sasa hapati airtime hapa!!mond ni wa kupewa airtime huyu?? aliishatoka huko toka 2014.
hatuiti kubana ni mambo ya kibiashara tu,wewe unanyanyuliwaje bure??
davido aliishahojiwa akasema nyimbo zake zinaimbwa na wazungu maana hulipa mpaka $2500 kwa DJ wa majuu kupiga track zake,sasa kwa kupasuka huku aje akubebe wewe tu kizembe upitie mgongo wake!!!,sio mbinguni hapa.
watu wanataka matokeo ya kupambana kwake vita,kama bado wasanii wakiitwa nje anaimbia sebureni,atapigiwa makofi kwa kununua gari kubwa tu na si kingine.
kuna fitna na biashara,sisi wabongo tunapenda sana kubebwa kwenye maslahi,sasa wenzetu hawana hiyo mambo.
kutoboa masoko ya watu kwa aina ya muziki wa nchi nyingine ni kazi sana,fanyeni biashara hapa bongo inatosha.
Kwanza kuna sehemu tunasema hajashikwa mkono mbona kwenye show yake ya miaka kumi aliwa shukuru Papa Misifa na BOB Junior. Ila level za kimataifa Mondi alishikwa mkono na Sallam ila SIO BURE ,collabo yake na Davido,Sallam alitaka dollar 5000 ili amuunganishe na bado hizi Collabo na Neyo,Rick Ross hela zimemtoka kutoka mfukoni mwake so jamaa amefight mwenyewe kwa hela yake kuleta mafaniko yake.
Kwani Diamond amekataa kushindanishwa, haya mmeshindanisha then what?au msanii ana gain nini kwa kushindanishwa na Diamond?Matokeo yake mnajenga madaraja ambayo haya wasaidii wasanii.
Kwa hiyo ukishatoka tokea 2014 hustahili kupewa airtime au akina Wizkid hawastahili kupewa airtime manake ni wa long tokea hala at your boy 2011.Hivi leo hii Mario hasipopewa airtime, unahisi itakuwaje manake Mario first hit yake kaitoa miak 5 iliyopita na 2014 Mondi kwenye game ana miaka 5 tokea atoe first hit yake.
"watu wanataka matokeo ya kupambana kwake vita,kama bado wasanii wakiitwa nje anaimbia sebureni,atapigiwa makofi kwa kununua gari kubwa tu na si kingine."
Kuhusu matokea Mondi unataka afanye nini?Wakati kutwa wanamwita kashuka, akikupa mkono ana ondoka na nyota yako halafu kesho wanamwita mbinafsi sasa mtashirikiana vip bila kupena mikono au may be kuna njia ya wireless wanayoijua wao.
Kuhusu kufanya biashara hapa bongo ni sawa na kummaliza msanii tuu,bongo tunapenda bure hatusupport wasanii wetu hasa kwenye Digital Platforms.Mfano Mario bongo kishamaliza kuishika kuendelea kukomaa na soko hili ataishia kukopwa tu.
Mziki una hela sana nje ya nchi mfano Mondi moja ya nchi anayopiga hela ndefu ni Kenya,mpaka kuingia mkataba binafsi ya Kampuni kubwa ya Safaricom kibiashara ambalo lilikuwa deal kubwa mpaka wasanii Wakenya wakamaind, hiyo kwa Afrika ana deal na Itel kama brand Ambassador,bado shows nyingi ndani ya Africa na hii yote imetokana na kujitanua. Hawa akina Upendo Nkone, Rose Mwando wa napiga sana hela Kenya kuliko hata TZ kwa nyimbo zao kupigwa maredioni na mauzo kwenye Digital Platforms.
Kwa hiyo hata mtu akibisha Harmonize hawezi kumzidi Mondi kwa hela,neno lake ndio kweli litamzuia Harmonize hasimzidi Mondi kwa hela? Mimi naamini hela zina ongezeka kutoka na juhudi na mipango yako. Kama umeweka juhudi na una mipango mizuri, sio Diamond tu hata Bakheresa anaweza akamzidi.