Je,hatukuambiwa umeme wa gesi ya Mtwara ukikamilika tatizo la umeme litakuwa historia?

Nakumbuka kuhusu gesi tuliahidiwa mengi makubwa zaidi ya hayo.
We acha tu mkuu. Binafsi niliamini kabisa mradi wa gesi ukikamilika shida ya umeme itakuwa historia. Cha ajabu tumeletewa habari nyingine as if hakujawahi kuwa na stori za umeme wa gesi.
 
Wizara hiyo inahitaji mtu aliyesoma. Si Mswahili kama January Makamba. Ila kwa sababu ya NAPOTISM yuko hapo ki maslahi and knows nothing. Tuvumilie kukaa gizani as long as huyo jamaa yuko huko!
 
Hivi unawaamini hawa CCM,
Hiki chama kilishapoteza Dira kitambo tu.
Wamebakiza mipasho mingi tu,utendaji zero.
 
Kwa hiyo tulishindwa kuuliza kipi kimetokea hadi gesi imekuwa ya mabeberu ghafla?
Awamu niliyokwambia hapo juu ilikuwa ukihoji, mambo mawili hadi matatu yalikukuta;
1. Utapimwa mkojo ili upewe kesi ya dawa za kulevya
2. Ulete cheti cha kuzaliwa cha babu yako ili uthibitike siyo raia
3. Upotelee kusikojulikana
 
By the way kwani huo umeme ukikamilika?
 
Ccm waongo sana hiki chama ata kipewe miaka 100 hakuna tofauti kitaleta kwa maendeleo ya mtu
 
Daaah
 
Lakini huyo kiongozi wa mchongo si alituambia " akili za kuambiwa changanya na za kwako"? Au wewe popoma+++?
 
Tulibiwa enzi za Profesa Muhongo.
 
Wanasiasa sio ndugu zako,ndugu zako ni familia yako,usijisumbue kuwaamini hao mamamluki walamba asali
 
Si tuliambiwa na 'jpm' kuwa gesi hatuna chetu mabeberu wamegawana !?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…