Je, hawa waandishi wa hivi vitabu vinavyohusu mazuri ya Hayati Magufuli wote wanatumiwa na wafuasi wake?

Je, hawa waandishi wa hivi vitabu vinavyohusu mazuri ya Hayati Magufuli wote wanatumiwa na wafuasi wake?

RNA

JF-Expert Member
Joined
Mar 27, 2013
Posts
1,647
Reaction score
2,803
Habari jf ,tuweke hisia pembeni.

download (3).jpeg
download (2).jpeg
download (1).jpeg


Je, wanatumika au shujaa anastahili sifa zake?
 
Mwamba, Mzalendo, Jiwe kwelikweli tena la pembeni.
Mzalendo wa kweli aliyepambania kwa vitendo uhuru wetu wakiuchumi.
Aliposema tunaweza alimaanisha kweli tunaweza.
Rest In Power Magufuli
 
Jamaa anajua sana, Ukiwa kiongozi bora Afrika ni vigumu kudumu.Kutokana na waliojimilikisha bara la Afrika.
 
Chadema bhana, yani mtu amekufa miaka miwili iliyopita lakini bado mnamuonea wivu
 
Back
Top Bottom