Jasmoni Tegga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2020
- 12,624
- 24,751
Soma vizuri Romans 2:11-16, utaelewaUnaweza muhukumu mtu kwa asichokijua?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Soma vizuri Romans 2:11-16, utaelewaUnaweza muhukumu mtu kwa asichokijua?
Siyo mahali kwa sababu hakupo, ni sehemu ya kuhadithika tu.Mbinguni sio mahali kama kariakoo mbagala sinza, china, au usa.
That's an allegation. Now, will you prove it for us?Siyo mahali kwa sababu hakupo, ni sehemu ya kuhadithika tu.
Mbinguni hakuwezi kuwa mahali kama hakupo.
Anachomaanisha ishi mbingu yako hapa hapa duniani.Kwa nini mtu ^aishi maisha mazuri^ hapa duniani, kama hakuna mbingu? It doesn't make sense. Does it? From which source do you derive morality?
Hakika wewe ni mpakwa mafuta. Hiki ndicho kinachotakiwa, watu wasiishi kwa sababu ya ahadi fulani, au ili waje walipwe. Kwa kufanya hivyo maisha yao yote yanakua ni unafiki na kupitia hizo dini wanakua wanajifunza unafiki tuHuyo Musa hakuwapo, na hakuna mtu yeyote atakayekwenda mbinguni.
Kwa sababu habari za kuwapo mbinguni ni hadithi tu. Hakuna mbingu ambayo mtu yeyote ataenda.
Wewe ishi maisha yako vizuri hapahapa duniani, usisubiri mbingu.
Ili iweje, kwa mfano--kama hakuna mbingu ya mbinguni? Again, IT SIMPLY DOESN'T MAKE SENSE!Anachomaanisha ishi mbingu yako hapa hapa duniani.
Umeanza vizuri sana, ila huu mstari wa mwisho umetia nakshi isiyo sahihi.Mbinguni wale wataenda kwa BWANA ni mwenye huruma. Nkmejibu tuu kama lay man
Mawazo ya Mungu hayachunguziki, kwa sababu Mungu hayupo.Mawazo ya Mungu hayachunguziki kirahisi, vipi kama Yuda aliyemsaliti Yesu, machoni pa wanadamu anaonekana ni mkosaji then ikawa opposite [emoji848]
kwanza kabla sijakujibu jiulize, kabla ya Musa watu waliishije?Kaini alimuua ndugu yake na lilitambuliwa kama kosa,Nuhu alijitenga na uovu uliofanywa na watu wengine,how did he know kuwa walikuwa wanakosea,Sodoma na Gomora na mengine mengi yaliyokea kabla ya kushushwa kwa sheria pale Sinai.Wakuu habarini za jioni
Nipo napitia Bible hapa kuna kitu kimenitatiza kidogo
Swali langu..wakati mussa yupo mlima sinai akiwa anapokea amri za mungu.
Huku jamii alioiacha walianza kuchonga sanamu kuabudu
Je hawa watu walitenda dhambi? Kwa kuabudu miungu wengine
Sasa km walitenda dhambi...
Inakuwaje walitenda dhambi wakati kosa lilifanyika wakati sheria zinaandaliwa na walikuwa hawajui
Ahsanten ni hayo tu kwa leo
^...nina faida gani? Wasipofufuliwa wafu, na tule, na tunywe, maana kesho tutakufa.^ 1 Corinthians 15:32Hakika wewe ni mpakwa mafuta. Hiki ndicho kinachotakiwa, watu wasiishi kwa sababu ya ahadi fulani, au ili waje walipwe. Kwa kufanya hivyo maisha yao yote yanakua ni unafiki na kupitia hizo dini wanakua wanajifunza unafiki tu
🤣🤣🤣🤣ukifikiri kwa kimakini matatizo yote yameletwa kwa uzembe wa kuto tiiLogically wale walitenda dhambi ya usaliti. Mpaka wanaondoka misri waliaminishwa na Moze kwamba BWANA ndio anawakomboa kutoka utumwani.
Mpaka wanavuka bahari ya shamu waliaminishwa na Moze kwamba BWANA ndio aliwavusha.
Mpaka wanalishwa mana waliaminishwa na Moze kwamba BWANA ndio aliewalisha.
Mpaka wanatibiwa kwa kusimamisha yule nyoka jangwani waliaminishwa na Moze kwamba BWANA ndio aliwaponya.
Na waliimba na kumtukuza huyo BWANA kwa nguvu zote. Sasa inakuwaje BWANA waliyemwani, kumsifu, kumtukuza, kumshukuru nk wanamgeuka na wakati Moze aliwaambia wamsubiri atarudi?
Wale hawakuwa wavumilivu, hawakuwa waaminifu, hawakutii maagizo ya kiongozi wao na wala hawakuwa na shukrani ya dhati.
Mbinguni wale wataenda kwa BWANA ni mwenye huruma. Nkmejibu tuu kama lay man