Je, hawa watu wa wataenda mbinguni?

Je, hawa watu wa wataenda mbinguni?

Logically wale walitenda dhambi ya usaliti. Mpaka wanaondoka misri waliaminishwa na Moze kwamba BWANA ndio anawakomboa kutoka utumwani.

Mpaka wanavuka bahari ya shamu waliaminishwa na Moze kwamba BWANA ndio aliwavusha.

Mpaka wanalishwa mana waliaminishwa na Moze kwamba BWANA ndio aliewalisha.

Mpaka wanatibiwa kwa kusimamisha yule nyoka jangwani waliaminishwa na Moze kwamba BWANA ndio aliwaponya.

Na waliimba na kumtukuza huyo BWANA kwa nguvu zote. Sasa inakuwaje BWANA waliyemwani, kumsifu, kumtukuza, kumshukuru nk wanamgeuka na wakati Moze aliwaambia wamsubiri atarudi?

Wale hawakuwa wavumilivu, hawakuwa waaminifu, hawakutii maagizo ya kiongozi wao na wala hawakuwa na shukrani ya dhati.

Mbinguni wale wataenda kwa BWANA ni mwenye huruma. Nkmejibu tuu kama lay man
 
Huyo Musa hakuwapo, na hakuna mtu yeyote atakayekwenda mbinguni.

Kwa sababu habari za kuwapo mbinguni ni hadithi tu. Hakuna mbingu ambayo mtu yeyote ataenda.

Wewe ishi maisha yako vizuri hapahapa duniani, usisubiri mbingu.
Hakika wewe ni mpakwa mafuta. Hiki ndicho kinachotakiwa, watu wasiishi kwa sababu ya ahadi fulani, au ili waje walipwe. Kwa kufanya hivyo maisha yao yote yanakua ni unafiki na kupitia hizo dini wanakua wanajifunza unafiki tu
 
Mawazo ya Mungu hayachunguziki kirahisi, vipi kama Yuda aliyemsaliti Yesu, machoni pa wanadamu anaonekana ni mkosaji then ikawa opposite [emoji848]
Mawazo ya Mungu hayachunguziki, kwa sababu Mungu hayupo.

Kama unabisha, thibitisha Mungu yupo.
 
Wakuu habarini za jioni

Nipo napitia Bible hapa kuna kitu kimenitatiza kidogo

Swali langu..wakati mussa yupo mlima sinai akiwa anapokea amri za mungu.
Huku jamii alioiacha walianza kuchonga sanamu kuabudu

Je hawa watu walitenda dhambi? Kwa kuabudu miungu wengine

Sasa km walitenda dhambi...
Inakuwaje walitenda dhambi wakati kosa lilifanyika wakati sheria zinaandaliwa na walikuwa hawajui

Ahsanten ni hayo tu kwa leo
kwanza kabla sijakujibu jiulize, kabla ya Musa watu waliishije?Kaini alimuua ndugu yake na lilitambuliwa kama kosa,Nuhu alijitenga na uovu uliofanywa na watu wengine,how did he know kuwa walikuwa wanakosea,Sodoma na Gomora na mengine mengi yaliyokea kabla ya kushushwa kwa sheria pale Sinai.

Christianity has the answer for this question. I can spend the whole day trying to elaborate but unfortunately we don't have the whole day. This is a partial explanation.

Binadamu ameumbwa akiwa na sehemu tatu which are body, soul and spirit. This spirit wasn't created from anywere, it was the part of God's spirit that was breathed in us and gave us life. That spirit of GOD desire things of GOD all the time because it is part of him. The Soul and the body on the other hand desires things of the flesh (Mambo ya mwili) ambayo mara nyingi yanakinzana na mambo ya rohoni(ie Mungu).
So from this we know that understanding right from wrong didn't come from understanding the law.it comes from within and the people who allowed to be led by spirit were regarded as Good people and those who gave in into desires of their flesh were always seen as bad people since their actions most of the time led to causing pain or harm to other people.For instance even today in some societies which do not know about world religions they know that killing one another is not right.

According to the Bible, even those who died after the law was given regardless of their good status as the Bible present them to us. they didn't go to heaven, they simply went to paradise until Jesus Christ aliposhukia kizimu siku alipofuka na kwenda kuwafanya wawe righteous mbele ya macho ya Mungu kwa sababu wakati walipoishi walimtumainia Mungu na kumwamini hivyo kumwamini Kristu pia.(This is a very wide topic, we will leave this to another time).

in short this is one of the reasons why Jesus Christ came, to stop people from relying on keeping the law in hope of their salvation. He knew it is impossible for man to reach the standard of righteousness that GOD requires simply by keeping the law. he came and introduced The Holy Spirit who will dwell within those who believe in him(Jesus Christ), and this Holy Spirit will transform this man from inside out, changing his desire from those of the flesh and being led by the spirit and hence having the power over sin.

according to the Bible, WE ARE SAVED BY GRACE NOT BY THE WORKS OF THE LAW.
 
Mbona Hawa Wenzangu Wanajua Kabisa,Sheria Zishatungwa Na Bado Wanabudu sanamu,Wameweka Sanamu Mbele Ya Nyumba Ya Ibada.Huku Wakiabudu Miungu.Mungu Baba,Mungu Mwana Na Mungu Roho Mtakifu.
 
Hakika wewe ni mpakwa mafuta. Hiki ndicho kinachotakiwa, watu wasiishi kwa sababu ya ahadi fulani, au ili waje walipwe. Kwa kufanya hivyo maisha yao yote yanakua ni unafiki na kupitia hizo dini wanakua wanajifunza unafiki tu
^...nina faida gani? Wasipofufuliwa wafu, na tule, na tunywe, maana kesho tutakufa.^ 1 Corinthians 15:32
 
Logically wale walitenda dhambi ya usaliti. Mpaka wanaondoka misri waliaminishwa na Moze kwamba BWANA ndio anawakomboa kutoka utumwani.

Mpaka wanavuka bahari ya shamu waliaminishwa na Moze kwamba BWANA ndio aliwavusha.

Mpaka wanalishwa mana waliaminishwa na Moze kwamba BWANA ndio aliewalisha.

Mpaka wanatibiwa kwa kusimamisha yule nyoka jangwani waliaminishwa na Moze kwamba BWANA ndio aliwaponya.

Na waliimba na kumtukuza huyo BWANA kwa nguvu zote. Sasa inakuwaje BWANA waliyemwani, kumsifu, kumtukuza, kumshukuru nk wanamgeuka na wakati Moze aliwaambia wamsubiri atarudi?

Wale hawakuwa wavumilivu, hawakuwa waaminifu, hawakutii maagizo ya kiongozi wao na wala hawakuwa na shukrani ya dhati.

Mbinguni wale wataenda kwa BWANA ni mwenye huruma. Nkmejibu tuu kama lay man
🤣🤣🤣🤣ukifikiri kwa kimakini matatizo yote yameletwa kwa uzembe wa kuto tii
 
Back
Top Bottom