Je, haya yalikuwa ya kweli kuhusu Rais Gaddafi na Libya?

Mnatutia doa watanzania kwenye suala la uelewa.........ulichojibu sicho ulichoulizwa
 
Mkuu ile ni Constitutional monarchy,sasa unataka mfalme au Malkia wachaguliwe kupitia kura kinyume na utaratibu na katiba yao ?
Kwahio tumekubaliana kwamba uingereza hakuna demokrasia?

Maana hawa hawa ndio wanaompigia kelele Khamenei wa iran kua hachaguliwi kwa kura

Sasa je malkia anachaguliwa kwa kura kama wanavyoshinikiza kwa wenzao?


Hoja yangu nikwamba kama wao wana katiba na utaratibu wao hata china iran korea nk wana utaratibu wao na katiba zao wanatakiwa waziheshimu pia
 
Isijekua wewe umeuzidi ujinga wangu

Mtoa mada hajatoa maelekezo kama hayo unayosema wewe wewe umempa tu kama ziada

Ila hata kama umempa ziada basi bado hoja zako hazina mantiki

Kwamaana Myanmar sio waarabu wala waafrika ila wanauana muda mrefu sana tuuuu

Philippines napo kuna watu wanauana mpaka leo

Mexico pia kuna watu wanauana mpaka leo hiii

Hayo mataifa nlokutajia watu wanauana kwa bastola kila leo nahao ni wachache wapo wengine tele

Hao nlokutajia naomba unijuze ni waarabu wawapi ama waafrika wa sehemu gani?
 
Ndio umeongea nini yaani maana sijakuelewa
 
Kunawengine walipindua lakn wao hawakupinduliwa mf
Meles Zenawi
Jerry Lawlings
Fidel Castro
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…