Je, haya yalikuwa ya kweli kuhusu Rais Gaddafi na Libya?

Je, haya yalikuwa ya kweli kuhusu Rais Gaddafi na Libya?

Hiyo ambayo haiweiz hata kupanga kodi, kupeleka au kuzuia majeshi kwenda vitani?
Hivi familia za waingereza wengine mbona wao cake ya taifa hawaili ni kijifamilia kimoja kimejimilikisha nchi na makoloni yake
 
Hapo Egpty sababu raisi aliechaguliwa kidemokrasia haendani nao kapinduliwa sasa hivi kuna dictator na hakuna uchaguzi na husikii kelele popote sababu ni dictator wao, hizi porojo za Demokrasia ni pale tu maslahi yao yakiguswa.
Kabisa kabisaaa
 
Hivi familia za waingereza wengine mbona wao cake ya taifa hawaili ni kijifamilia kimoja kimejimilikisha nchi na makoloni yake
Bajeti ya misaada ya Uingereza kwa mwaka ni dola bilioni 15, bajeti ya ufalme wao kwa mwaka ni dola million 100.
 
Ila inaweza kumuidhinisha waziri MKUU napia nisirikali ya kifalme
Kumuidhinisha waziri mkuu chukulia kama vile makamu wa Rais wa Marekani anavyomuidhinisha Rais mpya wa Marekani kila baada ya uchaguzi mkuu.
 
Bila kusahau sasa tuna sheria za kuwalipa wenza wa wastaafu pesa ya umma na wakati huo huo watoto wa maskini Wana kaa chini kwenye shule za Elimu bure.
Hamna hoja hapo hao wazee wastaafu wanajulikana waligombania hizo nafasi ama waliteuliwa

Familia ya kifalme inapigiwa kura nanai yakua pale inapokua ndio hoja yamsingi au wao pekee ndio wanastahili kule waingereza wengine wote?
 
Kumuidhinisha waziri mkuu chukulia kama vile makamu wa Rais wa Marekani anavyomuidhinisha Rais mpya wa Marekani kila baada ya uchaguzi mkuu.
Usinambie nichukulie anamuidhinishaje kiongozi wa kisiasa wakati hana mamlaka ya kisiasa kama mnavyoaminishwa

Umetolea mfano marekani marekani ipi hii hii ya biden ama

Kama ndio hio nayo wala sio yakuitaja sababu nawao wenyewe hawajui hata demokrasia imekaaje kaaje kama hao waingereza
 
Hamna hoja hapo hao wazee wastaafu wanajulikana waligombania hizo nafasi ama waliteuliwa

Familia ya kifalme inapigiwa kura nanai yakua pale inapokua ndio hoja yamsingi au wao pekee ndio wanastahili kule waingereza wengine wote?
Mkuu ile ni Constitutional monarchy,sasa unataka mfalme au Malkia wachaguliwe kupitia kura kinyume na utaratibu na katiba yao ?
 
Rwanda ilikuwa katika mkwamo wa kisiasa na kijamii,kwa jamii kuu mbili ndani ya taifa hilo kupigana wenyewe kwa wenyewe.

Pk alikuja katika kipindi sahihi,shida kubwa iliyupo Rwanda ni ukimbizi.Pia tabia na hurka ya viongozi wa Afrika kupenda madaraka inaitafuna Rwanda hivyo PK kwa sasa ni tishio kwa ustawi wa Rwanda na sio mkombozi tena.
Siku zake nae zinahesabika pia
 
Hujajibu hoja kwanza kabla ya kuleta hizi dana dana zako
Pia leta ushahidi wa hayo ulokua unayaongea
Tatu kama mnapata kila mnachotaka mnashida gani tena
Walivyokua wanaishi awali na sasa kipi kama ungekua wewe ndio ingekua sawa
Watu kwao mpaka paka amekua kama kuku yaani ukimuona paka yule unamuanzishia umkamate umle
Walichofanya ufaransa na shoga zake kule libya sio chakuungwa mkono ila sababu wanayopitia haya madhila ni waislam basi ndio maana mnaunga mkono sana
USHAANZA LAWAMA KAMA MWANAMKE WA KIZANZIBAR.......KWANI WALIOMUUA GADAFI WAFARANSA....
ANGALIA CLIP YAKE WAKATI WANAMUUA
 
Hujajibu hoja kwanza kabla ya kuleta hizi dana dana zako
Pia leta ushahidi wa hayo ulokua unayaongea
Tatu kama mnapata kila mnachotaka mnashida gani tena
Walivyokua wanaishi awali na sasa kipi kama ungekua wewe ndio ingekua sawa
Watu kwao mpaka paka amekua kama kuku yaani ukimuona paka yule unamuanzishia umkamate umle
Walichofanya ufaransa na shoga zake kule libya sio chakuungwa mkono ila sababu wanayopitia haya madhila ni waislam basi ndio maana mnaunga mkono sana
Na waislamu wwabantu wa darfur wanaouliwa na WARAABU wa janjaweed unaunga mkono???
 
Kama unaamini huo ni upuuzi ...vita vya wenyewe kwa wenyewe hata America vimepigana miaka na miaka rudi kusoma historia.

Mara nyingi sababu kubwa ya kuuana Africa na waarabu ni political intervention hao wazungu ndio wameleta hizo taratibu zao za demokrasia ,sijui vyama vying ili kugawa watu .

America wamepigana sana kwa ushamba wao kasome American civil wara.

Vita kubwa kma Somalia , Congo ni ujinga wa mzungu kulazimisha utawala wake wa kijanga wa demokrasia kwa kupandikiza watawala wanaowataka..Huko mashariki ya kati ndio wameharibu kabisa .
Huo Sasa si ndio ujinga wa Waafrika aliosema Trup

Nenda wewe Muafrika ukawashawishi wazungu wapigane kama watakusikiliza
 
Back
Top Bottom