passion_amo1
JF-Expert Member
- Dec 3, 2023
- 1,828
- 3,922
Wao pia wanasema hawakubali tangu uhuru chama kimoja kiongoze mpaka mtu anazeeka.Siwezi kaa nchi ambayo toka mtu anazaliwa Hadi anapata watoto et rais Ni museven nawaza waganda wamewezaje
wanasema wasingekubali hilo.
Waganda si mimi.