mtongwe
JF-Expert Member
- Dec 16, 2016
- 1,652
- 4,468
Mnatutia doa watanzania kwenye suala la uelewa.........ulichojibu sicho ulichoulizwaHistoria ina tabia ya kujirudia katika matukio kadhaa.Kilicho tokea Libya 2011 ni muendelezo wa kujirejea kwa historia.
Gadaffi alipindua serikali halali ya mfamle Idris wa I mwaka 1969,naye akapinduliwa 2011
Omary Bashir alipindua nchi,Naye alipinduliwa.
Thomas Sankara alipindua nchi,Naye alipinduliwa na Bless compaore,Compaore nae alipinduliwa.
Miltoni Obote alipindua nchi,Naye akaliwa kichwa na Idd Amin .mifano ni mingi sana.