Je, Hayati Mkapa hakuwa na Chawa? Sioni wanaomkumbuka

Kwani unadhani maza watu wanamkubali au wanataka madaraka pekee?
Huyu mama hata wanawake wenzie wanavyomsifia unaona kabisa ya usoni tu.

Wanawake wenzie wanakuambia mama samia hoyee.. wakati nyumbani maji hayatoki, sukari hamna, umeme hakuna, vyakula havishikiki si vitunguu wala nyanya. Na hapa muathirika wa kwanza ni mwanamke mwenyewe.

Sent from my SM-A225F using JamiiForums mobile app
 
Ndiyo wakati Wasukuma wameingia kwa pupa kwenye sekta nyeti kuliko wakati wowote ule.
 
wanamfurahisha lakini hawapo pamoja naye, ni hawa akina Lucas Mwashambwa na Johnthebatist n.k
 
Kanda ya Ziwa hàwana Ukabila kama ile jamii ya akina Mbowe,Lema,Mnyika nk KANDA ya ziwa wanamchagua mtu kwà sifa zake na si kwà kabila lake niko Chato kwenye kumbukizi ya Shujaa MAGUFULI RIP Magufuli
 
Kanda ya Ziwa hàwana Ukabila kama ile jamii ya akina Mbowe,Lema,Mnyika nk KANDA ya ziwa wanamchagua mtu kwà sifa zake na si kwà kabila lake niko Chato kwenye kumbukizi ya Shujaa MAGUFULI RIP Magufuli
Sgang acha uongo tumeshuhudia miaka mitano iliyopita
 
Ameshasahaulika !
Kinachofanya mtu akumbukwe ni legacy yake sio habari ya Chawa wala kunguni ! 🙏
 
Neno chawa limeanzishwa na mama Samia,,harafu haya mam I yakusifuwa kijingajinga yamelewt na watu wa pwani,,kikwete zaidi na sasa Samia
 
Mkapa alikufa akiwa kama nani ? ( Jibu ni Raia uki-stretch sana Rais Mstaafu)

JPM alikufa akiwa sitting president....; hii ni very rare...; sisemi kwamba akumbukwe au asikumbukwe huo ni utashi wa mtu binafsi na hauna shida kama Kodi hazitumiki katika kumbukizi.... Lakini kusema kifo cha Mkapa (Mstaafu) na JPM (Kiongozi wa Taasisi) havipo sawa...
 
Mlala kwangu mimi alikuwa raisi bora kabisa ambaye aliijeshimisha ikulu na nchi kwa ujumla.hakuwa na uchawa wala hata akina Mondi walikuwa hawagusi ikulu.yeye alipigiwa kampeni JKN tu basi.uchawa umeanza awamu ya tano na hii ya sita ila ya tano pamoja na kuwa na chawa ilikuwa haitabiliki.umaweza kuwa chawa na ukatumbuliwa.
 
Yaani aisee.....people ziko kimaslahi sana.

Jamaa aliwapa favour sana watu wakateuliwa ubalozi, ukurugenzi, uwaziri, ubunge, umakamu n.k lakini woote wamemtupa
Ndoa ujue watz ni wanafiki hasa hawa wa kijani mpaka wanakera sana wananchi.mama kajaza machawa subiri muda ukifika atajua chawa si watu
 
nadhani watu hawamjui mkapa vizuri.

Yule baba hakuwahi kuoeleka na hakupenda watu wa kujipendekeza.
Alikuwa mtu seruous sana
jamaa kwenye kampeni akawaita wapinzani malofa hahahahaha yule jamaa bhana alikuwa mbabe mbabe kama magu
 
Ndoa ujue watz ni wanafiki hasa hawa wa kijani mpaka wanakera sana wananchi.mama kajaza machawa subiri muda ukifika atajua chawa si watu
Hahahaaa.......wajifunze waache kujali Machawa badala yake maslahi ya Taifa tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…