GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
"Mtume Mwamposa amepewa hadi Jamamosi ( 8 Oktoba, 2022 ) awe ameshaondoka Tanganyika Packers Kawe na sasa atahamia rasmi Mbezi Beach Kona Baa njia ya zamani ya kwenda Goba ambako amenunua Eneo Kubwa sana kwa Juu kwa thamani ya Shilingi Bilioni 3.5 za Kitanzania" amesema Mkazi Jirani na Eneo husika.
Je, kuna mwana JamiiForums yoyote mwenye Taarifa sahihi juu ya hii kwani nilimbishia Mhusika aliyenipa Taarifa hii kutokana na kuwa na PhD ya Ubishi, ila akanihakikishia kuwa Mtume Mwamposa anahamia hapo rasmi.