Je, hi Taarifa kuwa Mtume Mwamposa 'Kaondolewa' Kawe na sasa anahamia Mbezi Beach Kona Baa ni za kweli?

"Mtume Mwamposa amepewa hadi Jamamosi ( 8 Oktoba, 2022 ) awe ameshaondoka Tanganyika Packers Kawe na sasa atahamia rasmi Mbezi Beach Kona Baa njia ya zamani ya kwenda Goba ambako amenunua Eneo Kubwa sana kwa Juu kwa thamani ya Shilingi Bilioni 3.5 za Kitanzania" amesema Mkazi Jirani na Eneo husika.

Je, kuna mwana JamiiForums yoyote mwenye Taarifa sahihi juu ya hii kwani nilimbishia Mhusika aliyenipa Taarifa hii kutokana na kuwa na PhD ya Ubishi, ila akanihakikishia kuwa Mtume Mwamposa anahamia hapo rasmi.
Hii serikali ya Mzanzibari haiwezi kumvumilia Mwaiposa sababu ya udini
 
Inasikitisha waalimu wa shule za misingi/sekondary wanaishi kama enzi za uwindaji, leo hii badala ya kuwaboreshea mazingira wanaenda kutumia hela miradi ambayo haina tija kwa nchi
Inatija kwa "wanaokula nchi"Hawa hawafiki hata asilimia 10!!
 
Kama serikali inajiandaa kujenga maghorofa pale Tanganyika Packers, na hosteli kwa ajili ya wana michezo, basi Mwamposa kuondoka pale ni suala la muda tu.

Issue ndio ataelekea wapi...
 
Kama upako umesogea kwenye vilima vya kuelekea Goba basi wajiandae kutoka vigimbi wakitoa ile sadaka ya kujimaliza🐒
 
Hii serikali ya Mzanzibari haiwezi kumvumilia Mwaiposa sababu ya udini
Kwani wewe umesahau kuwa Gwajima aliondolewa Tanganyika packers kipindi cha JK baada ya Gwajima kuharibu upepo ?
Ila lile ni eneo la umma si vyema kulitumia kwa mambo ya dini.
Samia ni kiongozi bora sana, hana bifu na mtu, maeneo wazi yote anayaboresha kwa maendeleo na ustawi wa Watanzania.
 
Wanakuja pale ni watu wa dini zote, hivyo linatumika kwa manufaa ya umma. Angeanza na kurudisha maeneo ya wazi yaliyoporwa na CCM
 
Miradi ya ujenzi katika maeneo yaliyokuwa wazi inazidi kutamalaki.
 
"Mtume Mwamposa amepewa hadi Jamamosi ( 8 Oktoba, 2022 ) awe ameshaondoka Tanganyika Packers Kawe na sasa atahamia rasmi Mbezi Beach Kona Baa njia ya zamani ya kwenda Goba ambako amenunua Eneo Kubwa sana kwa Juu kwa thamani ya Shilingi Bilioni 3.5 za Kitanzania" amesema Mkazi Jirani na Eneo husika.

Je, kuna mwana JamiiForums yoyote mwenye Taarifa sahihi juu ya hii kwani nilimbishia Mhusika aliyenipa Taarifa hii kutokana na kuwa na PhD ya Ubishi, ila akanihakikishia kuwa Mtume Mwamposa anahamia hapo rasmi.
Possibly maana kuna mradi wa NHC. Na watu wamesha book apartments hata kabla haujaanza.
 
Kama unakumbukumbu ziara ya mama samia miezi kadhaa nyuma hapo kawe alitoa maagizo kuhusu matumizi ya eneo la iliyokua Tanganyika packers
Ungepungukiwa nini kama ungeweka hapa hicho alichosema Mhe SSH?
 
Mnyakyusa anakuja kwadanganya ni Mtume na watu wanakubali? kweli wabongo wengi Wana changamoto ya afya ya akili
 
Walimu wa Tanzania Awana umoja! Madudu wanayofanyiwa na Chama Chao na Serikali Akuna Mwalimu wa Kenya au South Africa angekubali. Angalia ata Benki yao Mwalimu Bank aina faida Kwa Walimu wa Tanzania😭.Haki yako aiombwi, Haki yako unaidai na kuipambania Freedom is not Free.Tatizo CWT ni tawi la CCM so pole yao
Huo ni uongo bwana, hakunaa, ni uongoo
 
Inasikitisha waalimu wa shule za misingi/sekondary wanaishi kama enzi za uwindaji, leo hii badala ya kuwaboreshea mazingira wanaenda kutumia hela miradi ambayo haina tija kwa nchi
Makazi ya Bei nafuu kwa wananchi siyo Jambo muhimu!!?..hao walimu wachangamkie hayo makazi,serikali haipo kwa ajili ya walimu peke yake
 
Back
Top Bottom