Je, hi Taarifa kuwa Mtume Mwamposa 'Kaondolewa' Kawe na sasa anahamia Mbezi Beach Kona Baa ni za kweli?

Je, hi Taarifa kuwa Mtume Mwamposa 'Kaondolewa' Kawe na sasa anahamia Mbezi Beach Kona Baa ni za kweli?

Makazi ya Bei nafuu kwa wananchi siyo Jambo muhimu!!?..hao walimu wachangamkie hayo makazi,serikali haipo kwa ajili ya walimu peke yake
Hujui kitu. Bila afya na elimu usitegemee maendeleo ya nchi. Ni Afrika tu mwl na dakitari anadharaulika. Inasikitisha sana
 
Inasikitisha waalimu wa shule za misingi/sekondary wanaishi kama enzi za uwindaji, leo hii badala ya kuwaboreshea mazingira wanaenda kutumia hela miradi ambayo haina tija kwa nchi
Una uhakika na usemacho?
 
"Mtume Mwamposa amepewa hadi Jamamosi ( 8 Oktoba, 2022 ) awe ameshaondoka Tanganyika Packers Kawe na sasa atahamia rasmi Mbezi Beach Kona Baa njia ya zamani ya kwenda Goba ambako amenunua Eneo Kubwa sana kwa Juu kwa thamani ya Shilingi Bilioni 3.5 za Kitanzania" amesema Mkazi Jirani na Eneo husika.

Je, kuna mwana JamiiForums yoyote mwenye Taarifa sahihi juu ya hii kwani nilimbishia Mhusika aliyenipa Taarifa hii kutokana na kuwa na PhD ya Ubishi, ila akanihakikishia kuwa Mtume Mwamposa anahamia hapo rasmi.
Wacha aende aendelee kuwatapeli wajinga wajinga.
 
Inasikitisha waalimu wa shule za misingi/sekondary wanaishi kama enzi za uwindaji, leo hii badala ya kuwaboreshea mazingira wanaenda kutumia hela miradi ambayo haina tija kwa nchi
Kwamba Mradi wa nyumba za bei nafuu hauna tija?
 
Serekali ya mkoa siyo wajinga pale sas HV ishakiwa Ni stand maalumu Kuna magari elf elf Mia moja yanatoka buza kwenda kawe ,mbaggala kawe ,acha kawe tegeta Ni noma sana

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Ungejua mfumo wa elimu ulivyombovu ungejionea huruma mkuu.
 
Vijana someni theology tafuta na mbinu za mazingaombwe muanzishe makanisa mpige pesa bila stress sijui tra kufanyaje mapato mule hakuna efd machine
 
Kama amenunua eneo lake, ni jambo la heri zaidi maana atakuwa huru kufanya shughuli zake
Kila mtume akiondolewa kawe huwa mwisho wake unafika.Huyo Poti huenda madudu yake serikali hailewi
 
"Mtume Mwamposa amepewa hadi Jamamosi ( 8 Oktoba, 2022 ) awe ameshaondoka Tanganyika Packers Kawe na sasa atahamia rasmi Mbezi Beach Kona Baa njia ya zamani ya kwenda Goba ambako amenunua Eneo Kubwa sana kwa Juu kwa thamani ya Shilingi Bilioni 3.5 za Kitanzania" amesema Mkazi Jirani na Eneo husika.

Je, kuna mwana JamiiForums yoyote mwenye Taarifa sahihi juu ya hii kwani nilimbishia Mhusika aliyenipa Taarifa hii kutokana na kuwa na PhD ya Ubishi, ila akanihakikishia kuwa Mtume Mwamposa anahamia hapo rasmi.
Hata kama hajahamishwa ila siku zinahesabika lazima atahama kwasababu Serikali ya Rais Samia Suluhu itaanza kutekeleza mradi wake wa nyumba za bei nafuu kwa watanzania zijulikanao kama "SAMIA HOUSING SCHEM" Ni jambo jema pia kama amefanikisha kununua eneo lake sisi waumini wake tunaona kama atakua amepiga hatua kubwa kwa kua na eneo la kudumu mungu ni mwema
 
Back
Top Bottom