Je, hi Taarifa kuwa Mtume Mwamposa 'Kaondolewa' Kawe na sasa anahamia Mbezi Beach Kona Baa ni za kweli?

Je, hi Taarifa kuwa Mtume Mwamposa 'Kaondolewa' Kawe na sasa anahamia Mbezi Beach Kona Baa ni za kweli?

Waalimu wana makazi ya ovyo sana tena sana. Nenda hata nyumba za waalimu wa vyuo ni magofu, madarasa ya vyuo utadhani vibanda umiza
Serikali ya Rais Samia Suluhu imeboresha makazi ya walimu imejenga nyumba za walimu elfu 42 na bado utekelezaji unaendelea mama amewakumbuka walimu na wale waliokua na mishahara midogo wameongewa acha makasiliko
 
Waalimu wana makazi ya ovyo sana tena sana. Nenda hata nyumba za waalimu wa vyuo ni magofu, madarasa ya vyuo utadhani vibanda umiza
ETI WANAJENGA NYUMBA ZA BEI JUU,KWANINI WASIJENGE NYUMBA
ZA WATU WA KAWAIDA

ova
 
Ulitaka uitwe wewe mtume..acha wivu mtoto wakiume.

Hujui wangapi wameponywa matatizo yao na Mtume wakinyakyusa.

#MaendeleoHayanaChama

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Acheni uongo na ujanjaujanja. Mnajuwa fika kuwa huyo Mwamposa hajawahi hata ponya mjusi, itakuwa binadamu. Viini macho na uzugaji mwingi huku akiwaibia wenye shida kuliko yeye!
 
Back
Top Bottom