Je, hi Taarifa kuwa Mtume Mwamposa 'Kaondolewa' Kawe na sasa anahamia Mbezi Beach Kona Baa ni za kweli?

Hii serikali ya Mzanzibari haiwezi kumvumilia Mwaiposa sababu ya udini
 
Inasikitisha waalimu wa shule za misingi/sekondary wanaishi kama enzi za uwindaji, leo hii badala ya kuwaboreshea mazingira wanaenda kutumia hela miradi ambayo haina tija kwa nchi
Inatija kwa "wanaokula nchi"Hawa hawafiki hata asilimia 10!!
 
Kama serikali inajiandaa kujenga maghorofa pale Tanganyika Packers, na hosteli kwa ajili ya wana michezo, basi Mwamposa kuondoka pale ni suala la muda tu.

Issue ndio ataelekea wapi...
 
Kama upako umesogea kwenye vilima vya kuelekea Goba basi wajiandae kutoka vigimbi wakitoa ile sadaka ya kujimalizašŸ’
 
Hii serikali ya Mzanzibari haiwezi kumvumilia Mwaiposa sababu ya udini
Kwani wewe umesahau kuwa Gwajima aliondolewa Tanganyika packers kipindi cha JK baada ya Gwajima kuharibu upepo ?
Ila lile ni eneo la umma si vyema kulitumia kwa mambo ya dini.
Samia ni kiongozi bora sana, hana bifu na mtu, maeneo wazi yote anayaboresha kwa maendeleo na ustawi wa Watanzania.
 
Wanakuja pale ni watu wa dini zote, hivyo linatumika kwa manufaa ya umma. Angeanza na kurudisha maeneo ya wazi yaliyoporwa na CCM
 
Miradi ya ujenzi katika maeneo yaliyokuwa wazi inazidi kutamalaki.
 
Possibly maana kuna mradi wa NHC. Na watu wamesha book apartments hata kabla haujaanza.
 
Kama unakumbukumbu ziara ya mama samia miezi kadhaa nyuma hapo kawe alitoa maagizo kuhusu matumizi ya eneo la iliyokua Tanganyika packers
Ungepungukiwa nini kama ungeweka hapa hicho alichosema Mhe SSH?
 
Mnyakyusa anakuja kwadanganya ni Mtume na watu wanakubali? kweli wabongo wengi Wana changamoto ya afya ya akili
 
Huo ni uongo bwana, hakunaa, ni uongoo
 
Inasikitisha waalimu wa shule za misingi/sekondary wanaishi kama enzi za uwindaji, leo hii badala ya kuwaboreshea mazingira wanaenda kutumia hela miradi ambayo haina tija kwa nchi
Makazi ya Bei nafuu kwa wananchi siyo Jambo muhimu!!?..hao walimu wachangamkie hayo makazi,serikali haipo kwa ajili ya walimu peke yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…