jiwe angavu
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 20,419
- 39,217
Ulitaka uitwe wewe mtume..acha wivu mtoto wakiume.Mnyakyusa anakuja kwadanganya ni Mtume na watu wanakubali? kweli wabongo wengi Wana changamoto ya afya ya akili
Pale Tanganyika packers Serikali imelichukuwa eneo lake inaanzisha mradi wa Nyumba za Bei nafuu
Hujui kitu. Bila afya na elimu usitegemee maendeleo ya nchi. Ni Afrika tu mwl na dakitari anadharaulika. Inasikitisha sanaMakazi ya Bei nafuu kwa wananchi siyo Jambo muhimu!!?..hao walimu wachangamkie hayo makazi,serikali haipo kwa ajili ya walimu peke yake
Una uhakika na usemacho?Inasikitisha waalimu wa shule za misingi/sekondary wanaishi kama enzi za uwindaji, leo hii badala ya kuwaboreshea mazingira wanaenda kutumia hela miradi ambayo haina tija kwa nchi
Waalimu wana makazi ya ovyo sana tena sana. Nenda hata nyumba za waalimu wa vyuo ni magofu, madarasa ya vyuo utadhani vibanda umizaUna uhakika na usemacho?
ili mwamposa aishi ni lazima wapumbavu kama wewe muwepo wajinga ni chakula cha wajanjaUlitaka uitwe wewe mtume..acha wivu mtoto wakiume.
Hujui wangapi wameponywa matatizo yao na Mtume wakinyakyusa.
#MaendeleoHayanaChama
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Akili Kubwa sana hii. Hongera mno Mkuu.Kama ningekuwa na uwezo wa kushauri serekali ingejenga pale soko kubwa la kimataifa ili kuondolea kariakoo mzigo mkubwa
Pumbavu.Bilioni 3.5 za Zimbabwe au?
Wacha aende aendelee kuwatapeli wajinga wajinga."Mtume Mwamposa amepewa hadi Jamamosi ( 8 Oktoba, 2022 ) awe ameshaondoka Tanganyika Packers Kawe na sasa atahamia rasmi Mbezi Beach Kona Baa njia ya zamani ya kwenda Goba ambako amenunua Eneo Kubwa sana kwa Juu kwa thamani ya Shilingi Bilioni 3.5 za Kitanzania" amesema Mkazi Jirani na Eneo husika.
Je, kuna mwana JamiiForums yoyote mwenye Taarifa sahihi juu ya hii kwani nilimbishia Mhusika aliyenipa Taarifa hii kutokana na kuwa na PhD ya Ubishi, ila akanihakikishia kuwa Mtume Mwamposa anahamia hapo rasmi.
Kwamba Mradi wa nyumba za bei nafuu hauna tija?Inasikitisha waalimu wa shule za misingi/sekondary wanaishi kama enzi za uwindaji, leo hii badala ya kuwaboreshea mazingira wanaenda kutumia hela miradi ambayo haina tija kwa nchi
Ndiyo hauna tija ukilinganisha na makazi ya waalimuKwamba Mradi wa nyumba za bei nafuu hauna tija?
JK achomoii ,,nikikumbuka Hilo neno nafurahi SanaTulia Hapa Hapa Ukweli Utajulikana
Wakanyaga Mafuta Na Maji JF Wapo
Si wanalipwa mishahara Kama wengine,wapange/wajengeHujui kitu. Bila afya na elimu usitegemee maendeleo ya nchi. Ni Afrika tu mwl na dakitari anadharaulika. Inasikitisha sana
Ukweli uko wapi?? Useme basi!!Huo ni uongo bwana, hakunaa, ni uongoo
Kila mtume akiondolewa kawe huwa mwisho wake unafika.Huyo Poti huenda madudu yake serikali hailewiKama amenunua eneo lake, ni jambo la heri zaidi maana atakuwa huru kufanya shughuli zake
Hata kama hajahamishwa ila siku zinahesabika lazima atahama kwasababu Serikali ya Rais Samia Suluhu itaanza kutekeleza mradi wake wa nyumba za bei nafuu kwa watanzania zijulikanao kama "SAMIA HOUSING SCHEM" Ni jambo jema pia kama amefanikisha kununua eneo lake sisi waumini wake tunaona kama atakua amepiga hatua kubwa kwa kua na eneo la kudumu mungu ni mwema"Mtume Mwamposa amepewa hadi Jamamosi ( 8 Oktoba, 2022 ) awe ameshaondoka Tanganyika Packers Kawe na sasa atahamia rasmi Mbezi Beach Kona Baa njia ya zamani ya kwenda Goba ambako amenunua Eneo Kubwa sana kwa Juu kwa thamani ya Shilingi Bilioni 3.5 za Kitanzania" amesema Mkazi Jirani na Eneo husika.
Je, kuna mwana JamiiForums yoyote mwenye Taarifa sahihi juu ya hii kwani nilimbishia Mhusika aliyenipa Taarifa hii kutokana na kuwa na PhD ya Ubishi, ila akanihakikishia kuwa Mtume Mwamposa anahamia hapo rasmi.