Je, hii historia ya Afrika tunayofundishwa ndiyo yenyewe?

Macompyuta jr

Member
Joined
Sep 18, 2020
Posts
18
Reaction score
4
Katika pitapita zangu mtandaoni nimewahi kukutana na watu wengi wakilalamika kuhusu kufichwa kwa historia halisi ya Afrika na kufundishwa historia ya wakati wa ukoloni jambo hili nililipenda sana hasa kutokana kuwa mimi ni mtu nayependa kufukunya mambo mbalimbali, nilivyotafakari nikaona hii mada nikiileta jukwaa la historia JamiiForums basi naweza pata watu wa kunisapoti katika mjadala wangu.

1. Ugunduzi wa sarafu ya Kilwa huko Australia
Wengi tunaliskia bara hili la Australia mahali lilipo nidhani ni Mashariki mwa Afrika wanahistoria waliweza kugundua hii sarafu huko. Mnapo May 11 2019 gazeti la The Guardian liliweza kuandika hii habari na kujaribu kuelezea ni namna gan hili suala linaweza badilisha historia ya Afrika katika ile habari wanajaribu kusema kuwa huenda sarafu hiyo aidha ilipelekwa huko na Wareno waliofika Pwani ya Afrika Mashariki miaka hiyo.

Ndugu zangu mimi si msomi wa historia ila hapa lengo langu ni kuanzisha mada kwa wanahistoria na wengine wote hivo naomba mchango wenu katika mada hii ili tuweze kuelimishana zaidi kuhusu Afrika yetu

Hii ndio link ya taarifa kuhusu sarafu ya kilwa
 
Pagumu hapo mzee kuanza maana hata kutafuna kidogo ujaanza. Nimeipenda mada.
 
Hakuna ukweli wowote
 
Watu weusi walienda usa new world mda mtefu sana kabla hata ya christopher Columbas ila wazungu huficha ukweli
 
Walienda na ungo au,bombadia kukata atlantic ni kutwa nzima hakuna kisiwa hakuna kujaza mafuta
 
Ujui chochote ww acha ubishi ninajua mambo mengi na vitu vingi sana na ufahamu mkubwa kuliko ww usibishane na mm mansa Mussa alifika portugal ,uturuki alienda na ugo ???queen sheba alifika israel na akarudi Afrika ethiopia na Mimba juu ya king sule alienda na ugo??acha ubishi waa Afrika walifika visiwa vya caribian mda mterefu sana kabla hata ya mzungu kufika na kama ujui hata uyo Christopher Columbas alivyofika aliwakuta watu weusi tayari wapo...unabisha bisha nn
 
Hujui kitu wewe hapo juu umeongelea usa ghafla unaanza kuongelea portugal na israel km mia moja toka egypt. hujui umbali toka africa mpaka usa,narudia hujui,
 
tujaribu kuendelea na uchunguzi huu wa kihistoria nitajaribu kidogo kuangalia mada ya ugunduzi wa bara la amerika pia nadharia kuwa watu wa kwanza wa amerika afrika naanza kama hivi
  • Ugunduzi wa bara la amerika
  • Wengi wetu tumejifunza kwamba Columbus ndo mtu wa kwanza kufika amerika akiwa kama mtu wa kwanza kutoka nje ya bara kufika huko lakini pia zipo nadharia nyingi zinazopingana na hili swala la yeye kuwa mtu wa kwanza kufika akitokea bara jingine kuwahi kufika aidha inasemekana wapo watu wengi wa zamani sana kuwahi kufika huko moja wapo ni hawa hapa chini
kennwick man Maendeleo katika utafiti wa maumbile tangu kazi ya kwanza ilifanyika kwa Kennewick Man imefanya uwezekano wa kuchambua DNA ya zamani (inayojulikana kama aDNA). Mnamo Juni 2015, matokeo mapya ya uchambuzi kama huo wa aDNA yalitangazwa, ikidokeza kwamba mabaki hayo yana uhusiano wa karibu zaidi na Wamarekani wa kisasa kuliko watu wengine wowote wanaoishi. Profaili yake ya maumbile ilikuwa karibu sana na ile ya washiriki wa Makabila ya Shirikisho la Uhifadhi wa Colville. Kati ya makabila matano ambayo mwanzoni ilidai Kennewick Man kama babu, washiriki wao ndio pekee waliotoa sampuli za DNA kwa tathmini. Ukosefu wa genomes kutoka kwa watu wa asili wa Amerika ya Kaskazini imefanya iwe vigumu kujua jamaa wa karibu wa Kennewick Man kati ya makabila ya Amerika ya Kiamerika. Kikundi chake cha Y-DNA haplogroup ni Q-M3 na DNA yake ya mitochondrial ni X2a, alama zote za maumbile zisizo za wazazi zilizopatikana karibu tu kwa Wamarekani wa Amerika.

Binadamu wa zamani Luzia aliyeishi miaka 11000 iliyopita huko Brazil amejaribiwa kwa maumbile na hana dna ya Kiafrika. Mwanzoni wananthropolojia walidhani alikuwa akihusiana na Waaustralia. Kutumia mpangilio wa dna luzia inaonyeshwa kuwa na huduma za mongoloid.

Novemba 2018, wanasayansi wa Chuo Kikuu cha São Paulo na Chuo Kikuu cha Harvard walitoa utafiti ambao unapingana na madai ya kuonekana kwa mwili wa Australia na Melanesian wa Luzia. Kutumia mpangilio wa DNA, matokeo yalionyesha kuwa Luzia alikuwa na huduma za Mongoloid
Wa kwanza anasema kwamba sisi ni wazao wa watu wa Asia Mashariki ambao walivuka Bering Strait - wakati huo ilikuwa bado imeunganishwa na Amerika ya Kaskazini - na ikashuka kwenda Amerika Kusini.
Lakini katika miaka ya 1990 nadharia mpya iliundwa.
Ukweli kwamba maeneo ya Amerika pia yalikuwa na watu wakubwa, wa kwanza kuondoka Afrika, walivuka Asia, na wangekuja moja kwa moja Amerika hadi walipofika Brazil.
Wazo hilo liliibuka kwa sababu watafiti walichunguza vipimo vya fuvu la kichwa la Luzia na kugundua kuwa ilikuwa pana kuliko wenyeji na inafanana zaidi na ile ya Waafrika. Lakini matokeo ya utafiti yalionyesha kuwa Luzia atahitaji sura mpya. Ile ya sasa, yenye pua na midomo minene, ilitengenezwa kwa msingi wa wazo kwamba ilitoka kwa watu wa Kiafrika. Lakini uchambuzi wa DNA umeonyesha kuwa nambari ya maumbile ya watu wa Lagoa Santa ni sawa na ile ya watu wote wa kiasili wa Amerika, na kwa hali hii sifa zingekuwa tofauti
chazno paul chen university of Michigan professor of history

Uwepo wa raman za kale zaid

Tangu alfajiri ya wakati, watu wamevuka bahari kwenye mitumbwi kwa kutumia mikondo ya uso wa bahari, wakitafsiri upepo mzuri na kutazama nyota.
Ni watu wa Kiafrika tu ambao hawangeweza kuvuka bahari ya Atlantiki Kusini, ambayo hapo awali ilijulikana kama Bahari ya Aethiopia au bahari ya Ethiopia kabla ya 1492, mwaka wa ugunduzi wa Amerika na Columbus.
Ni kweli kabisa.
Lakini itakanushwa kila wakati au kuhojiwa kwa sababu "ugunduzi" wa Amerika na Christopher Columbus mnamo 1492 ni hadithi ya ubeberu ya euro.
Amerika zinaonekana kwenye ramani za Uropa, ambazo zilitangulia kile kinachoitwa ugunduzi wa Amerika.
Wazungu walisafiri kwa meli na ramani sahihi ambazo zilionyesha maeneo yao
Pacific kutoka Vancouver hadi "Straits of Magellan" ilionekana kwenye Waldseemueller (1507) kabla ya Balboa "kugundua" Pasifiki.

Amazon ilionekana kwenye Piri Reis (1513 [1501]) kabla ya Orellana "kugundua" mto.

Pwani ya Atlantiki ya Amerika Kusini ilionekana kwenye ramani ya Andrea Bianco ya 1448 kabla ya Columbus "kugundua" bara.
Inasemekana pia columbus alitengeneza meli yake iliyomuwezesha kwenda amerika na dunian kwa ujumla kutaka africa yani africa ya magharibi hata hivyo inasemekana pia alijifunza mbinu za urambaji (navigation) kutoka africa.
haya ni baadhi ya maneno maandihi machache ambayo nimeyapata wakati nikijaribu kufatilia hili swala, ikumbukwe mimi sio mwanahistoria ila ni mtu nayependa kufatilia maswali ya kihistoria kwasabab historia ina madhara kwenye maisha yetu ya sasa ni ruksa kunikosoa nilipokosea kwa ajili ya kuenga na si kubomoa karibuni sana kwa wajuzi wa jamii forum

Hakuna hata historia moja ya kweli iliyoletwa na watu weupe yaani Yuropiani kuanzia siasa hata dini zote zimetengenezwa kwa sababu ya kuufanikisha utumwa na baadaye ukoloni na sasa ukoloni mamboleo unaendelea. Kanisa ndilo pia limetumika sana kutuumiza sisi waafrika ndiyo maana makasisi wa kanisa walishiriki kwa asilimia zaidi ya 100 kufanya biashara ya utumwa hili kupata faida ya wao na serikali. Ndiyo maana hata sasahivi ukienda Zanziba pale kanisa kuu la kasedro la Anglikana utakuta ndani ya kanisa ndiyo palikuwa soko kuu la watumwa. Na hii ilikuwa kwa makanisa yote.
Saa inakuja na imefika Mungu wa Buntu atasimama tena Afrika tutaijua amani.
 
1. Ugunduzi wa sarafu ya Kilwa huko Australia
Wengi tunaliskia bara hili la Australia mahali lilipo nidhani ni Mashariki mwa Afrika wanahistoria waliweza kugundua hii sarafu huko. Mnapo May 11 2019 gazeti la The Guardian liliweza kuandika hii habari na kujaribu kuelezea ni namna gan hili suala linaweza badilisha historia ya Afrika katika ile habari wanajaribu kusema kuwa huenda sarafu hiyo aidha ilipelekwa huko na Wareno waliofika Pwani ya Afrika Mashariki miaka hiyo.
Ngoja nipendelee home kwetu kama ifuatavyo:-

Zipo historia zinazoweza kufichika lakini historia hiyo haiwezi kuwa ya Kilwa!!

Na wakati mwingine sio kufichika bali ni kwavile Waafrika wenyewe hatuna utamaduni huo wa kuelezea historia zetu, na matokeo yake wanaacha Wageni ndio waeleze historia hizo!

Nitakupa mfano mdogo tu: Vita fupi kabisa kupata kutokea duniani ni ile Vita kati ya Zanzibar na Uingereza!

Vita hii imetokea kiasi cha miaka 125 TU iliyopita, kwa maana nyingine Waafrika waliokuwa hai kipindi hicho wengine walishuhudia hadi Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar!!

Hata hivyo unaweza kupata Waafrika wachache sana au huenda wasiwepo kabisa wanaoweza kukusimulia vita hii from ORIGINAL Source... yaani, mathalani mtoto aliyezaliwa mwaka 1940 akawa amesimuliwa na baba yake aliyekuwepo wakati vita hiyo inatokea!!

Tena nimerudi nyuma sana kuzungumzia Vita ya Zanzibar na Uingereza iliyotokea 1896 manake unaweza kupata taabu hata kupata simulizi ya Tanganyika Mutiny iliyotokea 1964 wakati by 1964 tayari Tanganyika na Zanzibar tulishakuwa na wasomi angalau wa kujua kusoma na kuandika!!!

Kutokana na hilo ndio maana ni taabu sana kupata historia ya Afrika hususani kwa nchi na maeneo ambayo yalichelewa kufikiwa na wageni wenye silika ya kuhifadhi historia!!

Lakini kama nilivyosema hapo awali, historia ya Kilwa haiwezi kufichika kwa sababu Kilwa ilianza kupokea wageni kutoka Uajemi na Arabia zaidi ya miaka 1000 iliyopita!!

Ingekuwa umewahi kufika Kilwa, kuna sehemu inaitwa KIlwa Kisiwani!!

Wakati hata vizazi zaidi 500 vya mababu wa Karl Peters havijazaliwa, tayari Kilwa Kisiwani ilikuwa ndo LARGEST commercial center along the Indian Ocean from Mogadishu to Sofala (Mozambique) chini ya Sultanate of Kilwa.

Na kwavile miji ya bara ama ilikuwa haifahamiki kabisa au mingi yake ilikuwa less developed, ni sahihi kabisa kusema kwa wakati huo Kilwa Kisiwani ilikuwa ndo largest commercial city in East, Central and Southern Africa!!!

Wakati huo ambao hata vizazi zaidi ya 500 nyuma vya Karl Peters vilikuwa havijazaliwa, tayari Kilwa ilikuwa inafanya biashara kubwa kati yake na Bara Arabia, Uajemi na India bila kusahau mainland.

Ushawishi wa Kilwa ulipanuka sana kiasi kwamba hata Malindi ya Kenya pamoja na baadhi ya maeneo ya Msumbiji let alone Zanzibar; yote hayo yalikuwa chini ya Kilwa Sultanate!

Kwa kuzingatia historia hiyo ya kweli ambayo hadi kesho imeacha alama zake pale Kilwa Kisiwani, HAISHANGAZI hata kidogo kusikia kuna sarafu inayokisiwa kuwepo kabla ya Karne ya 15 na imepatikana Australia kwa sababu by 15C Kilwa ilikuwa kwenye peak kabla Wareno hawajaingia kuiharibu!!
 
yah ninachojaribu kuongelea kwenye huu uzi ni kuhusu historia ya afrika tunayoijua sasa hivi kama ndo sahihi ndo maana najaribu kutafta kweli mbalimbali lakini cha ajabu waafrika ndo wa kwanza kunipinga aidha ni kushukuru kwa mcahngo wako wa muhimu
 
Hakuna hata historia moja ya kweli iliyoletwa na watu weupe yaani Yuropiani kuanzia siasa hata dini zote zimetengenezwa kwa sababu ya kuufanikisha utumwa na baadaye ukoloni na sasa ukoloni mamboleo unaendelea. Kanisa ndilo pia limetumika sana kutuumiza sisi waafrika ndiyo maana makasisi wa kanisa walishiriki kwa asilimia zaidi ya 100 kufanya biashara ya utumwa hili kupata faida ya wao na serikali. Ndiyo maana hata sasahivi ukienda Zanziba pale kanisa kuu la kasedro la Anglikana utakuta ndani ya kanisa ndiyo palikuwa soko kuu la watumwa. Na hii ilikuwa kwa makanisa yote.
Saa inakuja na imefika Mungu wa Buntu atasimama tena Afrika tutaijua amani.
uko sahii 100%
 
Hujui kitu wewe hapo juu umeongelea usa ghafla unaanza kuongelea portugal na israel km mia moja toka egypt. hujui umbali toka africa mpaka usa,narudia hujui,

Ww ndo hujui narudia tena we ndo ujui kitu
 
angalia distance we kilaza ndio uende na mtumbwi.hujui kitu bongolala wee
Screenshot_2020-09-30-21-48-44-42.png
 
Watu weusi walienda usa new world mda mtefu sana kabla hata ya christopher Columbas ila wazungu huficha ukweli
Sasa kinachowazuia nyinyi waafrika ku rewrite hiyo historia ni nini kama sio ujinga wa kukaa na kuishia kulaumu ovyo ovyo kama mgombea wa ccm
 
Back
Top Bottom