Je, hii historia ya Afrika tunayofundishwa ndiyo yenyewe?

Je, hii historia ya Afrika tunayofundishwa ndiyo yenyewe?

Hujui kitu wewe hapo juu umeongelea usa ghafla unaanza kuongelea portugal na israel km mia moja toka egypt. hujui umbali toka africa mpaka usa,narudia hujui,
Jamaa akisikia neno Israeli anawaza labda huenda ni sehem fulani ipo far east huko
 
Je huoni kwa mantiki hiyo tunaweza kusema wale walioandika walikuwa more intelligent than our fore fathers ?
simanishi ivo. wazee hawakufikiria mbele miaka wengine watajifunza nii wao ni hadithi tu ukihadisiwa ukiwa haupo imetoka iyo.sasa masimulis yanayo tembea huanza kubadilisha maana lakin maandishi kamwe maana haibadilik. ss saiv tunaambulia vimichoro tu historia yetu wenyewe lakin tumeandikiwa yachekesha sana
 
angalia distance we kilaza ndio uende na mtumbwi.hujui kitu bongolala wee
View attachment 1586104

Yani katika watu wasio jielewa ww ndo no moja walikuwa awasafiri kwa mitumbwi acha ubishi narudia tena ujui chochote ufahamu wako ni mdogo sana kuhusu historia ya Afrika ujui chochote eti mitumbwi ivi ww afrika unaichukulia poa sana afrika narudia tena Watu weusi walifika New World kabla ya wazungu kufika kama una bisha endelea kubisha ila kama unataka kujua nitakuja na evidence zote nikutoe uwo ujinga wako wa kuwaza negative kusu Afrika...evidence zipo.
 
Sasa kinachowazuia nyinyi waafrika ku rewrite hiyo historia ni nini kama sio ujinga wa kukaa na kuishia kulaumu ovyo ovyo kama mgombea wa ccm

Ujui kitu ww kaa kimya kinachotuzui mbona kipo wazi tuu sema omba ujuzwe na sio kupanic panic..
 
Yani katika watu wasio jielewa ww ndo no moja walikuwa awasafiri kwa mitumbwi acha ubishi narudia tena ujui chochote ufahamu wako ni mdogo sana kuhusu historia ya Afrika ujui chochote eti mitumbwi ivi ww afrika unaichukulia poa sana afrika narudia tena Watu weusi walifika New World kabla ya wazungu kufika kama una bisha endelea kubisha ila kama unataka kujua nitakuja na evidence zote nikutoe uwo ujinga wako wa kuwaza negative kusu Afrika...evidence zipo.
We ni kilaza sana ujue naona aibu kubishana na wewe toa hizo evidence popoma wee slave trade ndio ilikupeleka new world
 
We ni kilaza sana ujue naona aibu kubishana na wewe toa hizo evidence popoma wee slave trade ndio ilikupeleka new world

Elimu uliyopewa ni ya kipuuzi na kijinga kabisa kusu Afrika nakuja nazo izo evidence.
 
Weka hapa hizo evidence acha siasa

Sasa hivi izi ndo evidence
IMG_9955.jpg
n
 
Attachments

  • IMG_9954.jpg
    IMG_9954.jpg
    146.6 KB · Views: 1
  • IMG_9958.jpg
    IMG_9958.jpg
    176.6 KB · Views: 1
  • IMG_9957.jpg
    IMG_9957.jpg
    153.1 KB · Views: 1
  • IMG_9956.jpg
    IMG_9956.jpg
    134.2 KB · Views: 1
Soma vizuri hapo utaelewa mana unabisha bisha tuu kusu afrika afrika ilikuwa ipo vzr sana acha kubisha bisha ww umecremishwa uko kusu Christopher Columbas ndo mtu wakwanza kulijua bara la Amerika na ww umeamini una ufahamu mdogo sana wewe...
 
Na kwa taarifa yako Viking wa Norway ndio watu walio kuwa vzr sana katika maswala ya navigation alikuwa masails wazuri mno mpaka Afrika wao ndo wakwanza kufika na ndo watu wa kwanza kulijua bara la Amerika na sio Christopher Columbas,Columbasi ni mtu wa nne kulijua bara la America
 
Wa kwanza ni Viking wapili ni Wachina na wa tatu ni wa Afrika na wa nne ndo uyo Christopher Columbas ni mtu wa nne ila kwakuwa ni mzungu ndo wakatulete creimisha uwongo na uzandiki tuu
 
Sibishani tena na ww mana ujui lolote una ufahamu mdogo sana kuhusu historia kuhusu hii dunia unayo yajua ni kuhusu mambo ya shule tuu uliyomezeshwa uko shuleni kwenu nimemaliza nimemaliza endelea kutukana una ruhusiwa.....
 
IMG_9959.jpg

IMG_9960.jpg

IMG_9961.jpg

IMG_9962.jpg
 
Attachments

  • IMG_9965.jpg
    IMG_9965.jpg
    128.3 KB · Views: 1
  • IMG_9963.jpg
    IMG_9963.jpg
    135.9 KB · Views: 1
  • IMG_9964.jpg
    IMG_9964.jpg
    129.2 KB · Views: 1
Endelea tena kubisha na hapa mbona upo kimya..
 
Weka hapa hizo evidence acha siasa

Ukiendelea kubisha tena nakuja na Evidence ambazo ndo zitakufanya ujione ww ni mweupe sana kichwani yani ukinibishia hapa sasa ndo nitakuja na nondo izo ambazo zitakufanya uache ubishi na uwe unapenda kuelimishwa...
 
Back
Top Bottom