Kipangaspecial
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 20,778
- 28,722
Jamaa akisikia neno Israeli anawaza labda huenda ni sehem fulani ipo far east hukoHujui kitu wewe hapo juu umeongelea usa ghafla unaanza kuongelea portugal na israel km mia moja toka egypt. hujui umbali toka africa mpaka usa,narudia hujui,
Je huoni kwa mantiki hiyo tunaweza kusema wale walioandika walikuwa more intelligent than our fore fathers ?waafrica hawajawai kufundishwa ukwel.tatizo wazeee wetu walikuwa sio waandishi
simanishi ivo. wazee hawakufikiria mbele miaka wengine watajifunza nii wao ni hadithi tu ukihadisiwa ukiwa haupo imetoka iyo.sasa masimulis yanayo tembea huanza kubadilisha maana lakin maandishi kamwe maana haibadilik. ss saiv tunaambulia vimichoro tu historia yetu wenyewe lakin tumeandikiwa yachekesha sanaJe huoni kwa mantiki hiyo tunaweza kusema wale walioandika walikuwa more intelligent than our fore fathers ?
angalia distance we kilaza ndio uende na mtumbwi.hujui kitu bongolala wee
View attachment 1586104
Sasa kinachowazuia nyinyi waafrika ku rewrite hiyo historia ni nini kama sio ujinga wa kukaa na kuishia kulaumu ovyo ovyo kama mgombea wa ccm
We ni kilaza sana ujue naona aibu kubishana na wewe toa hizo evidence popoma wee slave trade ndio ilikupeleka new worldYani katika watu wasio jielewa ww ndo no moja walikuwa awasafiri kwa mitumbwi acha ubishi narudia tena ujui chochote ufahamu wako ni mdogo sana kuhusu historia ya Afrika ujui chochote eti mitumbwi ivi ww afrika unaichukulia poa sana afrika narudia tena Watu weusi walifika New World kabla ya wazungu kufika kama una bisha endelea kubisha ila kama unataka kujua nitakuja na evidence zote nikutoe uwo ujinga wako wa kuwaza negative kusu Afrika...evidence zipo.
historia ya darasani si ya kweli
Jamaa akisikia neno Israeli anawaza labda huenda ni sehem fulani ipo far east huko
watu wa west africa walikuwepo marekani kabla hata ya Columbus 1492Watu weusi walienda usa new world mda mtefu sana kabla hata ya christopher Columbas ila wazungu huficha ukweli
We ni kilaza sana ujue naona aibu kubishana na wewe toa hizo evidence popoma wee slave trade ndio ilikupeleka new world
Weka hapa hizo evidence acha siasaElimu uliyopewa ni ya kipuuzi na kijinga kabisa kusu Afrika nakuja nazo izo evidence.
Weka hapa hizo evidence acha siasa