Ngosha Mashine JF-Expert Member Joined Sep 21, 2017 Posts 665 Reaction score 1,360 Jan 11, 2025 #1 Nimekutana na mdada mmoja Mbeya town anashawishi watu kujiunga na mfumo wa (FIC) Financial Intelligence Centre Hii unaweka hela inakuwa inaongezeka kila siku kwa kubet kinyume, nimeshituka kidogo nimewaza kina kynda na qnet walivyoliza watu Sasa sijui serikali inajua kinachoendelea maana wabongo wengi uelewa mdogo isije ikawa ni yale yale tovuti yao hii www.fic.gov.za
Nimekutana na mdada mmoja Mbeya town anashawishi watu kujiunga na mfumo wa (FIC) Financial Intelligence Centre Hii unaweka hela inakuwa inaongezeka kila siku kwa kubet kinyume, nimeshituka kidogo nimewaza kina kynda na qnet walivyoliza watu Sasa sijui serikali inajua kinachoendelea maana wabongo wengi uelewa mdogo isije ikawa ni yale yale tovuti yao hii www.fic.gov.za
uhurumoja JF-Expert Member Joined Mar 2, 2014 Posts 9,616 Reaction score 22,521 Jan 11, 2025 #2 Serikali haitakusaidia Kila kitu mengine ni kujiongeza kwa akili yako
B BabaPKendrick1532 New Member Joined Sep 11, 2024 Posts 3 Reaction score 3 Jan 11, 2025 #3 uhurumoja said: Serikali haitakusaidia Kila kitu mengine ni kujiongeza kwa akili yako Click to expand... Jibu zuri sana
uhurumoja said: Serikali haitakusaidia Kila kitu mengine ni kujiongeza kwa akili yako Click to expand... Jibu zuri sana
trudie JF-Expert Member Joined Jan 15, 2014 Posts 3,668 Reaction score 8,745 Jan 11, 2025 #4 Umeweka hiyo tovuti hapa makusudi kiufupi na wewe upo kwenye huo mfumo. Anyway lipia tangazo hili maana unaweza kuwapata watu humu wa kudanlodi pesa.
Umeweka hiyo tovuti hapa makusudi kiufupi na wewe upo kwenye huo mfumo. Anyway lipia tangazo hili maana unaweza kuwapata watu humu wa kudanlodi pesa.
AfricaUnited JF-Expert Member Joined Jul 31, 2010 Posts 2,367 Reaction score 1,293 Jan 11, 2025 #5 Huyo hajui anachokiongea ,hio ni website ya taasisi ya africa kusini ya kupambana na utakatishaji fedha .sasa unamaanisha nini au sio watu wema kwa nchi yetu haka kweli unajisajili hapo......tupe taarifa unajisajili kwa website hani . Upigaji
Huyo hajui anachokiongea ,hio ni website ya taasisi ya africa kusini ya kupambana na utakatishaji fedha .sasa unamaanisha nini au sio watu wema kwa nchi yetu haka kweli unajisajili hapo......tupe taarifa unajisajili kwa website hani . Upigaji
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 Jan 11, 2025 #6 Za kuambiwa changanya na za kwako... Cc: Mahondaw