Je hii inawezekana ina ukweli?

Je hii inawezekana ina ukweli?

Ngosha Mashine

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2017
Posts
665
Reaction score
1,360
Nimekutana na mdada mmoja Mbeya town anashawishi watu kujiunga na mfumo wa (FIC) Financial Intelligence Centre

Hii unaweka hela inakuwa inaongezeka kila siku kwa kubet kinyume, nimeshituka kidogo nimewaza kina kynda na qnet walivyoliza watu

Sasa sijui serikali inajua kinachoendelea maana wabongo wengi uelewa mdogo isije ikawa ni yale yale tovuti yao hii www.fic.gov.za
 
Serikali haitakusaidia Kila kitu mengine ni kujiongeza kwa akili yako
 
Umeweka hiyo tovuti hapa makusudi kiufupi na wewe upo kwenye huo mfumo. Anyway lipia tangazo hili maana unaweza kuwapata watu humu wa kudanlodi pesa.
 
Huyo hajui anachokiongea ,hio ni website ya taasisi ya africa kusini ya kupambana na utakatishaji fedha .sasa unamaanisha nini au sio watu wema kwa nchi yetu haka kweli unajisajili hapo......tupe taarifa unajisajili kwa website hani .

Upigaji
 
Back
Top Bottom