Ulevi wa madaraka. Jamaa anajiona ana hakimiliki ya pumzi za watuShalom shalom watanzania! Naomba niende moja kwa moja kwenye hoja.
Hivi ni sahihi kwa mkuu wa mkoa wa mji mkubwa wa dar es salaamu tena uliojaa matukio ya watu kutekwa,kupotezwa Hadi kuuliwa kutoa kauli hiyo mbele ya kadamnasi ya umma? Hivi hii kauli angeitoa kiongozi yeyote wa upinzani angekuwa salama kweli hata kwa nusu saa baada ya hapo? Je sasa hivi suala la kupotezwa Tanzania limekuwa jambo la kawaida ndani ya utawala huu kiasi kwamba Hadi mkuu wa mkoa anasimama kifua mbele kwa kujiamini kuwa atampoteza Hadi familia yake imsahau?
Nina maswali mengi sana ya kujiuliza ndani ya kauli hii ya mkuu wa mkoa ila ngoja kwanza nitulie na mke wangu mama wawili tulee watoto wetu maana nchi ishakuwa ngumu hii
Inasikitisha sana! Na haya matamko Yao utaona yanapita tu kama hakuna kilichotokea ila subiri sasa wakina madeleka na heche watamke utasikia wanahatarisha usalama wa nchi kuleta ugaidiUlevi wa madaraka. Jamaa anajiona ana hakimiliki ya pumzi za watu
Kama hauko upande wa wenye mamlaka sheria itakuhusu ndio sisi raiaHapa una maanisha Kuna sisi tunaishi tu Tanzania na Kuna wao wenye Tanzania Yao si ndiyo?
Ni sahihi kabisa mkuu! Ni sawa na boss wako kakupangia majukumu yako ya kazi ni kigamboni alafu mkuu wa mkoa anakwambia majukumu yako ya kazi ni Kibaha alafu ukienda kigamboni dereva unapotezwa Hadi familia inakusahau aiseeeeeKanuni ya kawaida inakataa dereva kumsikiliza mkuu wa mkoa badala ya Tajiri yake. Aliyemwajiri huyo dereva na kumlipa mshahara ni Tajiri, siyo mkuu wa mkoa.
Waswahili husema "Amlipaye mpiga Zumari ndiye huchagua wimbo"
Acha kuokoteza maneno km mwanamke wa uswahilini, wapumbavu wasioitii serikali lazima washughulikiwe kulialia humu haisaidii mkatii sheria bila shurutiShalom shalom watanzania! Naomba niende moja kwa moja kwenye hoja.
Hivi ni sahihi kwa mkuu wa mkoa wa mji mkubwa wa dar es salaamu tena uliojaa matukio ya watu kutekwa,kupotezwa Hadi kuuliwa kutoa kauli hiyo mbele ya kadamnasi ya umma? Hivi hii kauli angeitoa kiongozi yeyote wa upinzani angekuwa salama kweli hata kwa nusu saa baada ya hapo? Je sasa hivi suala la kupotezwa Tanzania limekuwa jambo la kawaida ndani ya utawala huu kiasi kwamba Hadi mkuu wa mkoa anasimama kifua mbele kwa kujiamini kuwa atampoteza Hadi familia yake imsahau?
Nina maswali mengi sana ya kujiuliza ndani ya kauli hii ya mkuu wa mkoa ila ngoja kwanza nitulie na mke wangu mama wawili tulee watoto wetu maana nchi ishakuwa ngumu hii
We ni poyoyo kwl, huyo dereva hajui sheria na taratiby za nchi? Umtii tajiri kuliko RC? Haya waendelee kuwatii halafu we uwalishe watoto wake. Serikali ndiyo imempa leseni, hata huyo tajiri serikali ndiyo imempa leseni ya kufanya biashara, acheni kushindana na serikali serikali inaweza kukufungia hiyo biashara yako na ukafa maskiniKanuni ya kawaida inakataa dereva kumsikiliza mkuu wa mkoa badala ya Tajiri yake. Aliyemwajiri huyo dereva na kumlipa mshahara ni Tajiri, siyo mkuu wa mkoa.
Waswahili husema "Amlipaye mpiga Zumari ndiye huchagua wimbo"
Ngoja kwanza, Mkuu unafikiri ni jambo sahihi kumpoteza au kumuua mtu asiyetii sheria bila kumpitisha kwenye hizo sheria?Acha kuokoteza maneno km mwanamke wa uswahilini, wapumbavu wasioitii serikali lazima washughulikiwe kulialia humu haisaidii mkatii sheria bila shuruti
Twende taratibu mkuu, Hivi Magufuli terminal umeona Ina mazingira rafiki ya kuwapatia huduma zote abiria,madereva pamoja na wafanyabiashara wa pale ndani na nje? Unazikumbuka changamoto zilizokuwepo kipindi cha stendi ya ubungo je zikianza na hapo nani atawajibika au ndiyo mtaanza kuwatupia mipira wenyeviti wa serikali za mtaa?We ni poyoyo kwl, huyo dereva hajui sheria na taratiby za nchi? Umtii tajiri kuliko RC? Haya waendelee kuwatii halafu we uwalishe watoto wake. Serikali ndiyo imempa leseni, hata huyo tajiri serikali ndiyo imempa leseni ya kufanya biashara, acheni kushindana na serikali serikali inaweza kukufungia hiyo biashara yako na ukafa maskini
Yes,
Shalom shalom watanzania! Naomba niende moja kwa moja kwenye hoja.
Hivi ni sahihi kwa mkuu wa mkoa wa mji mkubwa wa Dar es salaamu tena uliojaa matukio ya watu kutekwa, kupotezwa Hadi kuuliwa kutoa kauli hiyo mbele ya kadamnasi ya umma? Hivi hii kauli angeitoa kiongozi yeyote wa upinzani angekuwa salama kweli hata kwa nusu saa baada ya hapo?
Je sasa hivi suala la kupotezwa Tanzania limekuwa jambo la kawaida ndani ya utawala huu kiasi kwamba Hadi mkuu wa mkoa anasimama kifua mbele kwa kujiamini kuwa atampoteza Hadi familia yake imsahau?
Nina maswali mengi sana ya kujiuliza ndani ya kauli hii ya mkuu wa mkoa ila ngoja kwanza nitulie na mke wangu mama wawili tulee watoto wetu maana nchi ishakuwa ngumu hii
Taratibu mkuu, Ben saanane,Soka,mdude na balozi polepole wapo gereza gani? Maana hiyo kauli yake ya familia itamsahau huenda hayo magereza ndipo walipo hao niliowataja hapoYes,
mkuu wa mkoa yupo sahihi 100%,
kwa kukiuka sheria,
mtu anaweza kuhukumiwa kifungo jela na familia yake ikamsahau kabisa kama ambavyo wengi wamesahaulika magerezani π
kwani gentleman,Taratibu mkuu, Ben saanane,Soka,mdude na balozi polepole wapo gereza gani? Maana hiyo kauli yake ya familia itamsahau huenda hayo magereza ndipo walipo hao niliowataja hapo