Je, hii kauli aliyotamka mkuu wa mkoa wa Dar es salaam ni sahihi kwa taifa?

Taratibu boss, Hujajibu swali langu naomba nirudie tena kama mnawapeleka watu mahakamani na jela je hizo mahakama na jela za hao watu ni private ambazo umma hautakiwi uzijue kisa kavunja Sheria? Let's say huyo pole pole alivunja sheria mkamkata je mahakama gani hiyo iliendesha kesi yake? Na mdude nyagali nae sawa alivunja hizo sheria na akakamatwa na police je mahakama ipi iliendesha kesi yake na akahukumiwa kwenda gereza lipi? Boss hatukatai mtu kufungwa na mfungwa hajawahi kusahaulika hata siku moja ndiyo maana tunawatembelea na kuwapelekea sabuni wanafamilia
 
gentleman,
nimeshaeleza jambo la msingi,
sina haja ya kupoteza wakati kwenye porojo nyingine.

mjeuri akiuke sheria na abaki kutegemea public sympathy 🐒
 
Tara
gentleman,
nimeshaeleza jambo la msingi,
sina haja ya kupoteza wakati kwenye porojo nyingine.

mjeuri akiuke sheria na abaki kutegemea public sympathy

gentleman,
nimeshaeleza jambo la msingi,
sina haja ya kupoteza wakati kwenye porojo nyingine.

mjeuri akiuke sheria na abaki kutegemea public sympathy 🐒
Mkuu maelezo yako Yapo chini sana na Nina wasiwasi na upeo wako katika kutetea jambo jema na baya pole sana,karibu kesho mahakamani kwenye mapokezi ya mwenyekiti wetu TAL kama hutojali
 
Watu wenye vichwa modeli ya tunguli kama alivyo Chalamila wana akili mbovu kabisa
 
Tatizo wala sio Chalajinga, tatizo ni hao wanaomsikiliza na kumpigia makofi baada ya kutamka kauli ambazo hata ukiweka madaraka pembeni kiubinadamu hazifai hata kidogo
 
Tara



Mkuu maelezo yako Yapo chini sana na Nina wasiwasi na upeo wako katika kutetea jambo jema na baya pole sana,karibu kesho mahakamani kwenye mapokezi ya mwenyekiti wetu TAL kama hutojali
sawa gentleman upeo wangu upo chini na wa kwako upo juu ya sheria za nchi ,

sasa kiuka sheria, kanuni na taratibu zilizopo halafu utaona kama public sympathy itakusaidia 🐒
 
Ameeleza kuwa atampeleka mahakamani na atafungwa.

Kwa hiyo familia yake itamsahau kwa muktadha wa kwamba atakuwa jela.

Chalamila ana mengi ya ovyo, na pengine hata hili hakulisema vizuri kwa sababu hata jela watu wanatembelewa na familia zao.

Lakini hapa naona kama umelikuza hili sana.

Kama kweli una nia naye huyu, tafuta jingine hata kwenye hotuba hiyo hiyo hukosi, ana mengi sana ya ajabu huyu.
 
sawa gentleman upeo wangu upo chini na wa kwako upo juu ya sheria za nchi ,

sasa kiuka sheria, kanuni na taratibu zilizopo halafu utaona kama public sympathy itakusaidia 🐒
Twende taratibu mkuu, mtu akikiuka sheria mkamate kwa taratibu za kisheria tatizo sasa hivi mapolisi wengi mnawatoa kule greenguard wa CCM mnawapachika vitengo na Nina ushahidi na hilo jambo kuhusu hao green waliopitishwa vitengo hawajui hata PGO ni nini😀..kiufupi kama nikikosea nikamate nipeleke mahakamani tupambane kisheria tatizo lenu sheria ni zero ndo maana mkikamata mnaua...Ila kesha mkuu naomba uje viunga vya mahakama kumpokea TAL
 
sawa gentleman upeo wangu upo chini na wa kwako upo juu ya sheria za nchi ,

sasa kiuka sheria, kanuni na taratibu zilizopo halafu utaona kama public sympathy itakusaidia 🐒
Twende taratibu mkuu, mtu akikiuka sheria mkamate kwa taratibu za kisheria tatizo sasa hivi mapolisi wengi mnawatoa kule greenguard wa CCM mnawapachika vitengo na Nina ushahidi na hilo jambo kuhusu hao green waliopitishwa vitengo hawajui hata PGO ni nini😀..kiufupi kama nikikosea nikamate nipeleke mahakamani tupambane kisheria tatizo lenu sheria ni zero ndo maana mkikamata mnaua...Ila kesha mkuu naomba uje viunga vya mahakama kumpokea
Twende taratibu mkuu, kwa hiyo hapa unataka kusema yule Lissu ambaye yupo gerezani kwa kutamka neno KUKINUKISHA na huyu bwana CHALAMILA aliyesema neno FAMILIA ITAMSAHAU nani anatakiwa kuwa magereza?
 
Yuko sahihi, MTU kusema ukweli wa matendo yake ni sahihi.
Acha waendelee kupoteza watu Hadi pale akili zitukae Sawa tukinukishe.
 
Mimi sijamuongelea Lissu, sijawahi kusema Lissu anatakiwa kuwa jela, kwa nini unaleta mfano wa Lissu kuulinganisha na Chalamila?

Ninesema tu kuwa katika clio hii, hoja ya mtu kupitea ineelezwa katika muktadha wa mtu kufungwa jela baada ya kuoelekwa mahakamani, hakuna issue ya ajabu kihivyo hapo.

Kwqmba si hoja ya kupotezwa kwa kutekwa.

Chalamila juna sehemu nyingi za kumkamata, lakini si hapo.

Lissu katokea wapi hapa?
 
Ok,karibu kesho mahakamani kumpokea mh TAL kama hutojali mkuu
 
Inasikitisha sana...
Na huyo ndiyo mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama kwa mkoa wa Dar


Cc: Mahondaw
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…